Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Wekeni akiba ya maneno.
Mnayajua ya Ben?
Asipoenda ACT,nyie mliomtukana na kumbeza mtafanyaje?
 
Hakuna cha kutafakari mahali sahihi kwa ben ni ACT pekee,huko chadema walimuona mavi,wakamnyanyasa sana leo vipi wanalialia eti kamanda,chadema waache unafiki na kwa style hii wataondoka wengi sana

Una ushahidi wa hayo manyanyaso aliyofanyiwa Chadema?Ulete,usipouleta hutakua tofauti na Shoga a.k.a mngese
 
Hadi Wakati huu bado nafurahia utulivu wa Ben Saanane naona watu wameporomosha yao ya moyoni na jamaa katulia tu. Hayo masaa aliyoyasema yakifika na atakachokitolea hayo maamuzi mazito yatawaacha wazi wengi hapa, hasa ambao hawakuweka akiba ya maneno.

Bavicha kumejaa waropokaji...
 
Last edited by a moderator:
Ben ni mtu makini nalisema hili baada ya kutafakari kwa kina, na katu awezi kukiama chama makini kama CHADEMA.
 
Wekeni akiba ya maneno.
Mnayajua ya Ben?
Asipoenda ACT,nyie mliomtukana na kumbeza mtafanyaje?

Heheh mkuu ukitaka kujua unafiki wa 'marafiki' wanaokuzunguka tangaza ubaya wako...

Hapo ndipo utagundua umezungukwa na vinyamkera kiasi gani na si marafiki...
 
Siku zote huwa nawaambia vijana waache kucheza ngoma wasizozielewa,wasishabikie ugomvi wasiouelewa hasa unaohusisha vijana wenzao maana bado wanasafari ndefu ktk harakati zao.

Alianza yule wa kitengo cha ajali,amefuata huyu wa kitengo cha sumu na baadae yule wa kitengo cha kiherehere @Yeriko.

Nashauri Zitto akae mbali na hawa mamluki.
 
pamoja na madhaifu ya Ben lakini ana akili kuliko Bavicha wote na hili nalisema wazi.Ben ni mtu ambaye mnaweza mkajadili nae jambo bila kuweka matusi na mihemko tofauti na Bavicha wengine kama CHADEMA KWANZA Mungi na Crashwise.
Ben hata asipohama Chadema lakini hampamfai pale pana wafaa wale wa matusi na wa ndio mzee,Ben anawazidi akili Bavicha wengi hawawezi kumpa nafasi.....
Nikweli kabisa hata mumeo Afande Kagenzi ana akili sana ndio maana alitaka kumuua Dr Slaa
 
Ben ni mtu makini nalisema hili baada ya kutafakari kwa kina, na katu awezi kukiama chama makini kama CHADEMA.
Kama kweli Ben ni mtu makini lazima atahama CDM, mtu makini siku zote huangalia maslahi yake kwanza. CDM wanamtumia tu.
 
Amini usiamini mkuuu, ni pigo kubwa sana kumpoteza kijana makini kama Ben Saanane hapa ni lazima tujitafakari.

aende tu ameondoka zitto ambaye watanzania wote wanamjua sembuse huyu Ben anayajulikana JF na fb anaye hama ahame tu .atuachie Chadema yetu mbozi tutachukua majimbo kiroho safi hawa wapuuzi wanahama waende tu ...
 
Last edited by a moderator:
haa haa hatujawahi pata rais wa hovyo tanganyika tangu tupate uhuru kama jk. Watanganyika t.ulichemka.

Tuoneshe wa kabla ya Kikwete kafanya nini ambacho Kikwete hajafanya zaidi. Utakuja na porojo tu, lakini huna cha kuonesha.
 
yupo kwa nini asiseme neno
 

Attachments

  • 1428487331676.jpg
    1428487331676.jpg
    73 KB · Views: 246
Tuoneshe wa kabla ya Kikwete kafanya nini ambacho Kikwete hajafanya zaidi. Utakuja na porojo tu, lakini huna cha kuonesha.

Ni kweli, hao wengine walifanya lakini JK kaboresha. RICHMOND, EPA, ESCROW, MAUAJI YA ALBINO.
 
Siku zote huwa nawaambia vijana waache kucheza ngoma wasizozielewa,wasishabikie ugomvi wasiouelewa hasa unaohusisha vijana wenzao maana bado wanasafari ndefu ktk harakati zao.

Alianza yule wa kitengo cha ajali,amefuata huyu wa kitengo cha sumu na baadae yule wa kitengo cha kiherehere @Yeriko.

Nashauri Zitto akae mbali na hawa mamluki.
haa haa mkuu hapo ni sawa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom