Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Umofia wana JF,

Habari nilizoponyezewa na rafiki wa karibu na ben saanane,ameniambia jamaa anataka kuamia ACT kwa sababu ameona kuna kila dalili ya kunyimwa jimbo la rombo

Lisemwalo lipo, Ben Saanane kuja huku!
 
Last edited by a moderator:
Ayatollah ZZK alifukuzwa chadema sasa yupo ACT na CCM
Ben Saanane ni kijana mwerevu, ana haki zake kama Mtanzania mwingine kujiunga na chama chochote cha siasa kwa utashi wake. Naamini kama amekubaliana na mission pamoja na vission ya ACT ya uwazi, uwajibikaji, uzalendo na kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa zima, basi si ajabu akajiunga ACT

Siasa ni safari, Dr Slaa alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA

Lissu alikuwa NCCR sasa yuko CHADEMA
Lema alikuwa TLP sasa yupo CHADEMA
Zitto alikuwa CHADEMA, sasa yupo ACT

Kwa hiyo si ajabu kwa Ben Saanane kuhamia chama chenye dira na muelekeo cha ACT
 
Umofia wana JF,

Habari nilizoponyezewa na rafiki wa karibu na ben saanane,ameniambia jamaa anataka kuamia ACT kwa sababu ameona kuna kila dalili ya kunyimwa jimbo la rombo
Mkuu King Kong, April Fools si iliishapita?, hivi inaruhusiwa kuiendeleza hadi leo?!. Kusema ukweli kuna type fulani ya uongo ukiutunga, hata msomaji anaweza kuelewa kabisa, kuwa mwandishi sio timamu!, niliwahi kusema mara nyingi humu, mtu kuwa kichaa, sio lazima hadi aokote makopo!.

Mode, vitu kama hivi kuendelea kuachwa ndivyo vinavyoshusha hadhi ya jf!.
Ben Saanane
ni memba humu, his ability, capability na misimamo yake inafahamika humu!!.

Pasco
 
Familia yangu ya Facebook,Marafiki wa
karibu na wa mbali kwenye mitandao na nje ya
mitandao,Salaaam! Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi
Mungu na kwa dhamira ya kweli,moyo usiotetereka katika hali
yoyote kimapambano,Ndani ya masaa 72 nitatangaza
Maamuzi. Nitawaomba mniunge mkono katika maamuzi
hayo.Ni makini na sahihi.Yatakua matamu na machungu kwa
baadhi ya watu.Nimedhamiria...! The storm will pass,the
spring will come. Let the nature of patience be an
encouragement as you continue to wait. Aluta Continua,Victor
y Ascerta.... Ben
 
Umofia wana JF,

Habari nilizoponyezewa na rafiki wa karibu na ben saanane,ameniambia jamaa anataka kuamia ACT kwa sababu ameona kuna kila dalili ya kunyimwa jimbo la rombo

Kwa hiyo ACT ndio wanaogawa majimbo?.
 
Saanane ni Jemedari wa Ukweli, bonge la Strategist, hana tamaa za kijinga, hupanga karata zake kwa umakini mkubwa ... Kamwe hawezi kuhama CHADEMA ...
 
Hawezi kwenda ACT yeye ndo aliyeharibu mipango ya Zitto,ila huwezi jua jamaa kigeugeu sana,na hata siku moja haitatokea chadema wampe uongozi huyo jamaa haaminiki
 
Ben Saanane ni kijana mwerevu, ana haki zake kama Mtanzania mwingine kujiunga na chama chochote cha siasa kwa utashi wake. Naamini kama amekubaliana na mission pamoja na vission ya ACT ya uwazi, uwajibikaji, uzalendo na kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa zima, basi si ajabu akajiunga ACT

Siasa ni safari, Dr Slaa alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA

Lissu alikuwa NCCR sasa yuko CHADEMA
Lema alikuwa TLP sasa yupo CHADEMA
Zitto alikuwa CHADEMA, sasa yupo ACT

Kwa hiyo si ajabu kwa Ben Saanane kuhamia chama chenye dira na muelekeo cha ACT

Wote uliowataja hawaitwi wasaliti isipokuwa Zitto tu
 
Huenda hizi ni habari za kuaminika,since ben saanane yuko humu tulitegemea angekanusha,but he opt to be silence meaning the rumours are confirmed
 
Ben Saanane ni kijana mwerevu, ana haki zake kama Mtanzania mwingine kujiunga na chama chochote cha siasa kwa utashi wake. Naamini kama amekubaliana na mission pamoja na vission ya ACT ya uwazi, uwajibikaji, uzalendo na kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa zima, basi si ajabu akajiunga ACT

Siasa ni safari, Dr Slaa alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA

Lissu alikuwa NCCR sasa yuko CHADEMA
Lema alikuwa TLP sasa yupo CHADEMA
Zitto alikuwa CHADEMA, sasa yupo ACT

Kwa hiyo si ajabu kwa Ben Saanane kuhamia chama chenye dira na muelekeo cha ACT

Ben kuhamia chama kingine ni haki yake ya msingi, silisemei hilo. lakini hicho unachosema kinamhamisha "mission" za chama , hayo ni maneno tuu hata kwenye khanga yapo.
 
Aluta COnt.jpg
 
Umofia wana JF,

Habari nilizoponyezewa na rafiki wa karibu na ben saanane,ameniambia jamaa anataka kuamia ACT kwa sababu ameona kuna kila dalili ya kunyimwa jimbo la rombo
kwa hii sheria mpya ya mitandao sasa hivi unatakiwa uwe jela!
 
Kukiacha chama kwa sababu ya kukosa madaraka ni tatizo kubwa, naonyeha nia yako kubwa ni kusaka madaraka
 
umofia wana jf,

habari nilizoponyezewa na rafiki wa karibu na ben saanane,ameniambia jamaa anataka kuamia act kwa sababu ameona kuna kila dalili ya kunyimwa jimbo la rombo

kwanza siziamini hizo habari, hata kidogo, lakini ikitokea basi hiyo ni haki yake na sioni ubaya wowote. Lakini najua wanafiki hapa jukwani mtamtukana. Mimi nina imani huyu kijana popote atakapo kwenda he will be a valuable asset to any party. Ila ningependa chadema imtambue na wammpe fursa ya kuweza kuwatumikia watanzania, kila siku ipitayo huyu kijana keeps gaining experience and maturity.

Keep it up ben, although we dont see eye to eye on political matters, but i know you have a great future the tanzania political scene and development.

 
Kwani Ben Saaanane ana hadhi gani ya kuchaguliwa kuwa mbunge? Yeye uwezo wake unaishia kubeba sumu tu


Watu duni Kama nyie msemacho ni Kama kinyesi tu kitokanacho na kuvimbiwa baas...

Zitto alipokua CDM mlimpondea Sana Leo mnamwita shujaa na si ajabu Ben akienda ACT mkaanza msifia na kusahau hiki unachosema.....


Huna tofauti na bata anayeharisha na kuridi tena kuchambua kinyesi chake kutafuta chakula.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom