Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,521
- 42,659
Unaweza jilinganisha akili zako za kushikiwa na za genius Ben Sanaane!!
Ha ha ha Genius Ben huyu mwenye elimu ya India ama mwingine??
Hivi u genius mnaupima kwa viwango vipi?
Unaweza jilinganisha akili zako za kushikiwa na za genius Ben Sanaane!!
Mkuu anajuwaje agent wa CDM ?.Akienda ACT atakuwa Agent wa CHADEMA.
Huyo mbeba sumu anamfata Zitto huko huko aliko akammalize? au?
Huyo akibaki chadema au hata ahamie wapi hana impact yoyote. Huyo na anaejiita Yericko Nyerere mimi nawaona wapiga porojo tu, hawana zaidi, porojo zao zinaanzia na kuishia JF.
Alichokiandika fb
Familia yangu ya Facebook,Marafiki wa
karibu na wa mbali kwenye mitandao na nje
ya mitandao,Salaaam!
Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi
Mungu na kwa dhamira ya kweli,moyo
usiotetereka katika hali yoyote
kimapambano,Ndani ya masaa 72
nitatangaza Maamuzi.
Nitawaomba mniunge mkono katika maamuzi
hayo.Ni makini na sahihi.Yatakua matamu na
machungu kwa baadhi ya watu.Nimedhamir
ia...!
The storm will pass,the spring will come.
Let the nature of patience be an
encouragement as you continue to wait.
Aluta Continua,Victory Ascerta....
Ben Saanane
Vip unataka ndoa na mimiacha kujipendekeza peleka pu55y hukooo
Kama ben saa nane atakwenda act, zitto awe makini. Siwezi kumuamini huyu kijana kamwe! Huenda anakwenda act kwa mkakati maalumu! Believe me.
Ha ha ha Genius Ben huyu mwenye elimu ya India ama mwingine??
Hivi u genius mnaupima kwa viwango vipi?
Vip unataka ndoa na mimi
Porojo zao zinamzidi mshikaji wako Wa Msoga?
Kwa jinsi nilivyo ona Thread zako huko facebook, Jambo hili ni la Kweli.
Kwa uwezo wa kutoa hoja tu ni wazi kuwa hulingani na Ben, na siasa zinahitaji hoja.Akilelewa vizuri Ben ni mwanasiasa makini sana ajaye.
huyo jamaa kumbe ni msaka tonge,
Sina hakika kama habari hizo zina ukweli, wacha niwe tomasso katika Hilo. Ninachofahamu Ni kwamba Ben anakubalika kwa viongozi WA chadema jimbo la Rombo, mkutano mkuu WA wilaya Ben Ana kura za kufa mtu. Nategemea Ben kutangaza Nia, ila kama anaenda huko wacha tusubiri. Changamoto kwa Ben Ni moja Tu, ambayo Ni kutofahamika kwa wananchi. Anaweza kumaliza Hilo tatizo kwa kushirikiana na viongozi WA chama