Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Ben Saanane ni kijana mwerevu, ana haki zake kama Mtanzania mwingine kujiunga na chama chochote cha siasa kwa utashi wake. Naamini kama amekubaliana na mission pamoja na vission ya ACT ya uwazi, uwajibikaji, uzalendo na kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa zima, basi si ajabu akajiunga ACT

Siasa ni safari, Dr Slaa alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA

Lissu alikuwa NCCR sasa yuko CHADEMA
Lema alikuwa TLP sasa yupo CHADEMA
Zitto alikuwa CHADEMA, sasa yupo ACT

Kwa hiyo si ajabu kwa Ben Saanane kuhamia chama chenye dira na muelekeo cha ACT
Sote tungekuwa namna hii,demokrasia nchi hii ingekuwa ya kuigwa!
 
Wacha porojo wewe.

Barabara za lami zaidi ya wote wa kabla yake, tena wachanganye pamoja.

Kila ukijibu ntakupa kimoja, mpaka utie akili.
barabara za lami zingejengwa tu hata kama wewe ajuza ungekuwa pale magogoni. Mipango ya mzee mkapa ile.
 
Sioni tofauti ya huyo Ben na Zitto wote ni vijana wanafiki wanaotaka kujijenga wenyewe baadala ya kujenga chama, wote ni vijana wapenda sifa na wenye visasi,Ben saa nane baada ya kuenguliwa BAVICHA alitengeneza makundi yaliyotulete kiongozi mbovu, Ben saanane ofsi yake ipo facebook kama ilivyo Zitto kabwe, Ben saanane na Zitto ni vijana wanaojiona kuwa ni wao tu wenye uwezo wa kuongoza hivyo hawa ndege warukao pamoja wakaijenge ACT yao genge la wasaliti.
 
Ben Sanane Ni Mnafiki Kuliko Mbowe Na Zitto Ni Teja Wa Madaraka Alopitiliza.Hayuko Kwa Ajili Ya Chama Wala Nchi Yeye Ni Yeye Ben Kaa Ben Huyu Bwana Mi Namfahamu Sna Ni Mbishi Na Panya Mwenye Kung'ata Na Kupuliza Ben Sanane Ni Mfano Wa Warombo Na Hali Zao Za Ukabila Na Ubinafsi Ulopitiliza

Hahahaa
Naona unatutukana sasa!
 
Akili ndogo ya ZZK ni ipi na unafananisha na nani??

Huwa sipendi ushabiki wa vyama ila ZZK, CDM mtamkuza zaidi na mwisho mtaona yuko anakotaka.

Kwa mtu makini sana anayeijuwa vyema Chadema basi ni rahisi kuelewa Chadema inaingiza Mamluki ACT kipindi hiki ili kumsambaratisha kabisa Zitto Kabwe.

Inahitaji akili pana sana kuliewa hili na sijajuwa bado Chadema iliwezaje kujipenyeza mpaka idara yetu ya usalama wa Taifa na ina informers wake idarani.

Maisha ya Zitto kisiasa siku zake zinahesabika, kuna mkakati mzito ambao kwa akili ndogo za Zitto kamwe hawezi kuushtukia.

Dunia nzima ukishatumika kwenye mission za kijasusi kinachofuata wanakueliminate.
 
Akili ndogo ya ZZK ni ipi na unafananisha na nani??

Huwa sipendi ushabiki wa vyama ila ZZK, CDM mtamkuza zaidi na mwisho mtaona yuko anakotaka.

Wewe ni mpumbavu wa kwanza maana wa mwisho ana afadhari, ni nani aliyekwambia mimi ni Chadema? au wenye haki ya kushiriki mijadara hapa jukwaa la siasa ni wanachama wa vyama pekee?
 
Mpaka sasa Ben Saanane hajatokeza kwenye uzi huu? Hivi kweli ameamua kuharibu CV yake? ...
 
Kamanda wa Vita Jemedari Big Ben Wa Saanane, Karibu CCM kamanda tutakupa nafasi ya kugombea ubunge Rombo
 
Mpaka sasa Ben Saanane hajatokeza kwenye uzi huu? Hivi kweli ameamua kuharibu CV yake? ...

Ben mnambania sana Chadema anashindwa kutimiza ndoto zake Ben tunamuhitaji Bungeni ni kiongozi shupavu
 
We ni mpumbavu wa kwanza nani anakwambia watu wakitaka kujiunga na chama wametumwa. We huko uliko umetumwa na nani, kwa masilahi gani??

Kama huna chama hujui siasa ndo maana unaona kama mteule katika maandiko. Hu si uchangiaji unaofanya ni mamvi tu. Ukitaka usikosolewe mpeka kwa mke wako.

Wewe ni mpumbavu wa kwanza maana wa mwisho ana afadhari, ni nani aliyekwambia mimi ni Chadema? au wenye haki ya kushiriki mijadara hapa jukwaa la siasa ni wanachama wa vyama pekee?
 
Kamanda wa Vita Jemedari Big Ben Wa Saanane, Karibu CCM kamanda tutakupa nafasi ya kugombea ubunge Rombo
 
itakuwa maajabu yaani mtu ahame chama kisa kanyimwa nafasi ya kugombea ubunge ...kwanza kura za maoni bado pili anatakiwa apambane ashinde...ingekuwa ameshinda kura za maoni na chama kikamweka mtu wa pili hata mimi ningemsapport 100% lakini hata uchaguzi bado mmmmmh
 
Ningejua wewe ndo mwamzilishi wa hii thread nisingefungua
 
sio kweli. na hata kama ingekuwa kweli kwa nini hao watangulizi wake hawakufanya? hujiulizi haya? mnaona wivu mpaka kwa barabara mnazozipita wenyewe. wapuuzi kabisa nyie.

Hilo neno kwani lazima uweke? ??? Huwezi sifia rais moja kwa kuwabeza watangulizi wake. Kila rais kafanya mambo mazuri na mabaya kwa wakati wake. Nikirudi kwenye barabara % kubwa ni fedha za mkopo ndio sababu deni la taifa lime-double. Tukisema alipe kabla hajamaliza muda wake ataweza?
 
We ni mpumbavu wa kwanza nani anakwambia watu wakitaka kujiunga na chama wametumwa. We huko uliko umetumwa na nani, kwa masilahi gani??

Kama huna chama hujui siasa ndo maana unaona kama mteule katika maandiko. Hu si uchangiaji unaofanya ni mamvi tu. Ukitaka usikosolewe mpeka kwa mke wako.

I see! kumbe tusio na vyama hatujui siasa? sasa ni kwa nini mnataka tuwapigie kura vyama vyenu?
 
Naamini Ben Saanane anaupeo mkubwa zaidi ya Zitto, ni Mwanaharakati na Mwanamapinduzi zaidi ya Zitto, ni kiongozi zaidi ya Zitto. siamini kama ataweza kujiunga na ACT na kuwa chini ya Zitto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom