Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Hakuna Mwanasiasa Tanzania hii aliyekuwa Rais mwenye CV kama ya Kikwete. Hiyo ndiyo tofauti kati yake na makanjanja wa kabla yake.

Hivi vikanjanja vya JF unavipa hadhi hata ya kuvifananisha na Kikwete? ni kama kufananisha tone la maji na bahari.


CV gani anayo?

Hivi kwanini unawavunjia heshima marais wenzie walomtangulia kijinga namna hiyo?

Bado hajatokea rais Wa kupita kiwango cha Nyerere na Mkapa Tanzania hii.
 
nimeona kwenye fb ac take,kasema ndani ya masaa 72 anatarajia kufanya maamuzi magumu.
atatangaza msimamo wake,let's wait and see.
 
Ayatollah mbona aliwahi kusema hamjuwi Saanane hata wakikutana barabarani.
 
Sioni tatizo. Aende anakopataka. Kikubwa atakuwa amejipambanua kuwa sio mnafiki wa kuendelea kuipigia debe Chadema ilhali haipo moyoni mwake. Mimi namtakia kila lenye heri kama kweli, tukutane October Insha allah!
Mkuu leo umeandika mambo ya mana sana tofauti na siku zingine.Inaonekana kabisa umeanza kukomaa kidemokrasia na hii ndio inatakiwa big up MKUU.
 
mleta mada hyo source yako au umeamua tu kujaribu kuspeculate ju ya yale aliyoandika Ben kule facebook?huna lolote,huna source wala nn.
 
Wote uliowataja hawaitwi wasaliti isipokuwa Zitto tu
Kuhama chama si usaliti.

Usaliti ni kufanya kazi zinazopingana na malengo ya chama ukiwa ndani ya chama hicho hicho.

Wanaohama mara wanapoona wametofautiana itikadi na misimamo mingine ya chama si wasaliti.

Msipotoshe maana ya USALITI.

Zitto alikuwa anajenga ACT akiwa CHADEMA. Huu ni usaliti.

Zitto alikuwa anashirikiana na CCM akiwa CHADEMA. Huu ni usaliti.

Hao wengine tuambie walihujumu vyama vyao vya zamani kwa namna gani?
 
CV gani anayo?

Hivi kwanini unawavunjia heshima marais wenzie walomtangulia kijinga namna hiyo?

Bado hajatokea rais Wa kupita kiwango cha Nyerere na Mkapa Tanzania hii.

Weka CV zao na ya Kikwete ujionee tofauti.

Yule hajawa Rais kwa kukisia, kama unabisha muulize Askofu Kilaini, alitangaza kuwa yule ni chaguo la Mungu, hapo sasa.
 
kwa jinsi walivyombania uenyekiti wa Taifa bavicha na watu ambao alikua anawategemea sana(mbowe na slaa) ,ukiongeza na umakini wa Ben Saanane lazima atajiuliza mara mbili kubakia chdema chama ambacho hata demokrasia yake ya ndani kimefeli

kwakweli jf mmeishusha hadhi sana na coment zenu za kisengelema.
 
Last edited by a moderator:
Acheni story za kikuda na kumlisha mtu maneno,Kamanda Ben Saanane alishakanusha huo usaliti kule FB...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ukiwa na lengo la kuwa kiongozi,kisha ukapambana lakini ikaonekana hutapata nafasi unayohitaji kutokana na vigezo halali na ikashindikana then dawa yake ni kuhamia upande mwingine ili upate unachohitaji.Kumbe mafanikio ya SIASA ni kuwa kiongozi pekee.
 
Weka CV zao na ya Kikwete ujionee tofauti.

Yule hajawa Rais kwa kukisia, kama unabisha muulize Askofu Kilaini, alitangaza kuwa yule ni chaguo la Mungu, hapo sasa.

hivi we libibi huna cha maana zaidi ya kusifia ujinga kiiila siku al shabibi we.
 
Acheni story za kikuda na kumlisha mtu maneno,Kamanda Ben Saanane alishakanusha huo usaliti kule FB...

Leo ndo mnamuona kamanda baada ya kutangaza nia ya kuondoka,nyie wachaga msipoangalia na Saccos yenu atabakia King Mbowe na Mkwe wake Mtei
 
Last edited by a moderator:
Nina ujumbe mmoja tu kwa vijana wote bila kujari chama chako, Siasa za Facebook zinawaharibu sana mpaka wanadhani kura zinapigwa na followers wa Facebook.

Lowasa ana wafuasi wengi na anajurikana na wananchi lakini anaitegemea Ccm ndio impe Urais, kama vijana mna akili jiulizeni kwa makini ni kwa nini pamoja na mizengwe yote Lowasa ahami Ccm?

Ally Choki ni mwanamuzi bora kabisa lakini nje ya Twanga pepeta hana lolote, mwenye akili timamu atakuwa amenielewa.

Cc; Pasco
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom