Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Na hili tumesema toka 2012 lakini wapi hawa jamaa wakazania siasa za majitaka wakati walikuwa wakilia na CCM ilipokuwa ikiwazungumzia Slaa na Mbowe.

Yaani sasa hivi ukimuuliza mtu yeyote Chadema inapigania nini? hawajui lakini waulize UKAWA aaah Katiba Mpya na Daftari la Kupiga kura, sasa jamani kweli hizi ndizo sera za kuuza kukupeleka IKULU au hata Ubunge? zimetumika kwenye uchaguzi wa Halmashauri bado CCM imeshika zaidi ya asilimia 50. na hoja ya katiba inapungua makali watu watazoea na itakuja kuwa kawaida hapo sasa muda hakuna wao wamekalia Zittooo Zittooo kumbe ndio wanampandisha Chat!

Kama taasisi,,wameshindwa kuhandle this Zitto Saga properly, kiujumla kama taasisi. Hasira,chuki, kejeli na mengineyo yalitawala kuliko hekima na busara. CCM wanagombana kila siku,,hata kutemana(Mzee Mang'ula),,but they go about their business quietly and candidly. Having said that,,Chadema lazima wajifunze kuhandle critical situations more properly so as not to tarnish the chama's image.

I highly doubt Chadema kuchukua nchi hii kwa uongozi walionao. For me, Mbowe is stuck at the moment, he has no idea how to take Chadema forward.( With Mnyika or Lissu or anyone of that caliber) we will see Chadema taking power in 2020.

Again tutasema mwaka huu 2015,,na tutapuuzwa.
 
Subilia anataka kutangaza jimbo la kugombea through UKAWA,au fikra zako zilikupeleka wapi wewe?
 
CCM huwa wanawaambia wanawaambia wananchi watawafanyia nini? Kwa mara ya mwisho kuwasikia ilikuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2010 ambapo vyama vyote vilinadi sera zao baada ya hapo sijawasikia tena.

Usijitoe ufahamu mzee,,Nape na Kinana wamezunguka nchi nzima kuanzia 2014( Mtwara wameongelea bei ya korosho na gesi mpaka majuzi huko Loliondo kuongea na wafugaji na wakulima juu ya migogoro ya ardhi),,,siasa hazifanywi kwenye mitandao tu mzee. M4C ilikuwa inashuka kwa wananchi wa eneo husika na kuongelea matatizo ya eneo husika.

Dr slaa anapata muda wa kwenda kumtembelea Gwajima,,hajawai hata siku moja kusimama sehemu kuongea na waendesha bodaboda,,au hata kutoa speech kwenye universities.

Wimbo wa katiba na daftari la kudumu,,hata CCM wanaweza kuuimba,,,tena wanakwambia huko mtaani ni mwenyeketi wao ndo ameanzisha mchakato huo wa katiba.
 
Huwezi changia bila kutoa lugha ya kejeli au ya maudhi?

Katika hao unaowapa big up nani kaongea na hizo jumuia ukizozitaja?

Usihemke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom