Captain Phillip
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 894
- 538
sasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.
nani sasa anayetapa tapa kati yetu...mmesema BEN alikuwa Msaliti wa chama akiungana na kina mchange, nikawaeleza namna alivyokuwa anafanya shuhuli zake dhidi yetu, nimekuwekeeni na email ili mumuone alivyokuwa MNAFIKI na mpishi wa maneno mfano wa mashangingi walioshindikana...
vyovyote ilivyo, na vyovyote itakavyokuwa na kutafsiriwa, SAA NANE ni miongoni mwa vijana dhaifu katika siasa za taifa letu ambao kama hatutawaangalia vema wanaweza kurudisha nyuma harakati zetu.
SAA NANE anaongopa mpaka anajisahau kuwa anaongopa...
hi hebu muulizeni kama alikuwa muasi wa chama,
1. ALIELEZA SABABU ZA YEYE KUKIASI CHAMA?.
2.NI KITU GANI KIMEMBADILISHA KUTOKA KWENYE UASI NA KUBADILIKA GHAFLA NA KUUACHA UASI.
3. NI NJIA GANI ILITUMIKA KWA YEYE KUJIBADILISHA KUUACHA USALITI NA KUWA MWEMA.
4. JE NI KWELI KUSEMA TU AMEACHA USALITI KUNATOSHA KUMUAMINI KUWA SIO MSALITI TENA KAMA KWELI ALISALITI?.
Niseme tu hapa hadharani tena,
SAA NANE hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii, saa nane amefurahia matunda ya serikali ya nchi hii katika umri wake huo huo mdogo alio nao.
Saa nane hana uhalali wa kunishutumu mimi kuwa nakivuruga chama nilichokipigania kwa nguvu zangu, akili zangu na muda wangu.
kama alikuwa hajui ni kwamba CHADEMA ni sababu kuu ya mimi kutokumaliza DEGREE YANGU YA KWANZA MPAKA LEO...
NI kwa sababu ya mapenzi yangu ya CHADEMA ndio maana nilichukua MKOPO WA ADA YANGU YA CHUO kwenda kuwalipa MAWAKALA walinde kura za CHADEMA pale KIBAHA ambapo yeye analipwa mshahara leo kwa kazi yake ya KINAFIKI.
ni kwa sababu ya mapenzi yangu na CHADEMA ndio maana nimeshitakiwa miaka miwili mfululizo pale kibaha na si saa nane wala anayemtuma aliyeeza kuja hata kunidhamini.
SAA NANE ni mnafiki tu, mimi ni muathirika wa siasa za CHADEMA ndani ya NCHI hii..leo hii mimi siruhusiwi hata kukanyaga DODOMA UNIVERSITY kwa sababu ya CHADEMA..
sasa anapotokea mjinga mmoja kama yeye aliyelipiwa na serikali DEGREE YA KWANZA MPAKA YA PILI tena NJE YA NCHI akajifanya anaichukia sana serikali na kutetea mageuzi eti dhidi ya wahanga wa mageuzi. mimi namuona amepotea.
mimi nimepoteza nguvu zangu nyingi sana kwenye CHAMA wala SAA NANE hawezi sema anauzalendo na MAPENZI YA DHATI kuliko mimi.
yeye ni MNAFIKI NA ANAENDELEZA UNAFIKI WAKE TU.
ndo maana nalimisi sana mwanahalisiGazeti la mwana halisi si lilifungiwa siku nyingi au kuna mwana halisi lingine?????
Savimbi vipi? hujatajwa dini haijatajwa....!! unatukana!! Jilipue basi....Gamba wee!!Na laana ya migogoro yenu imesababishwa na matusi yenu ya reja reja kwa dini hiyo hiyo mpuuzi wa fikra wewe.
Mchange,Point issasa kama hiyo e mail inaonyesha jinsi vijana wanavyoweza kuungana kutokana na uovu wa ccm, anawezaje kusema alikuwa kwenye kikundi cha kukisaliti chama?.
nani sasa anayetapa tapa kati yetu...mmesema BEN alikuwa Msaliti wa chama akiungana na kina mchange, nikawaeleza namna alivyokuwa anafanya shuhuli zake dhidi yetu, nimekuwekeeni na email ili mumuone alivyokuwa MNAFIKI na mpishi wa maneno mfano wa mashangingi walioshindikana...
vyovyote ilivyo, na vyovyote itakavyokuwa na kutafsiriwa, SAA NANE ni miongoni mwa vijana dhaifu katika siasa za taifa letu ambao kama hatutawaangalia vema wanaweza kurudisha nyuma harakati zetu.
SAA NANE anaongopa mpaka anajisahau kuwa anaongopa...
hi hebu muulizeni kama alikuwa muasi wa chama,
1. ALIELEZA SABABU ZA YEYE KUKIASI CHAMA?.
2.NI KITU GANI KIMEMBADILISHA KUTOKA KWENYE UASI NA KUBADILIKA GHAFLA NA KUUACHA UASI.
3. NI NJIA GANI ILITUMIKA KWA YEYE KUJIBADILISHA KUUACHA USALITI NA KUWA MWEMA.
4. JE NI KWELI KUSEMA TU AMEACHA USALITI KUNATOSHA KUMUAMINI KUWA SIO MSALITI TENA KAMA KWELI ALISALITI?.
Niseme tu hapa hadharani tena,
SAA NANE hana cha kupoteza kwenye siasa za nchi hii, saa nane amefurahia matunda ya serikali ya nchi hii katika umri wake huo huo mdogo alio nao.
Saa nane hana uhalali wa kunishutumu mimi kuwa nakivuruga chama nilichokipigania kwa nguvu zangu, akili zangu na muda wangu.
kama alikuwa hajui ni kwamba CHADEMA ni sababu kuu ya mimi kutokumaliza DEGREE YANGU YA KWANZA MPAKA LEO...
NI kwa sababu ya mapenzi yangu ya CHADEMA ndio maana nilichukua MKOPO WA ADA YANGU YA CHUO kwenda kuwalipa MAWAKALA walinde kura za CHADEMA pale KIBAHA ambapo yeye analipwa mshahara leo kwa kazi yake ya KINAFIKI.
ni kwa sababu ya mapenzi yangu na CHADEMA ndio maana nimeshitakiwa miaka miwili mfululizo pale kibaha na si saa nane wala anayemtuma aliyeeza kuja hata kunidhamini.
SAA NANE ni mnafiki tu, mimi ni muathirika wa siasa za CHADEMA ndani ya NCHI hii..leo hii mimi siruhusiwi hata kukanyaga DODOMA UNIVERSITY kwa sababu ya CHADEMA..
sasa anapotokea mjinga mmoja kama yeye aliyelipiwa na serikali DEGREE YA KWANZA MPAKA YA PILI tena NJE YA NCHI akajifanya anaichukia sana serikali na kutetea mageuzi eti dhidi ya wahanga wa mageuzi. mimi namuona amepotea.
mimi nimepoteza nguvu zangu nyingi sana kwenye CHAMA wala SAA NANE hawezi sema anauzalendo na MAPENZI YA DHATI kuliko mimi.
yeye ni MNAFIKI NA ANAENDELEZA UNAFIKI WAKE TU.
Mchange,Point is
- Kama hiyo ni evidence,IS NOT THE RIGHT EVIDENCE AS THE MATTER IS CONCERNED.Haina uhusiano na usaliti wa CHADEMA.Naweza kuwa mwanachama wa CDM na nikaanzisha NGO yenye lengo hilo.Hujaonyesha kwa namna yoyote katika email hiyo kuwa ilikua ni movement against Chama.
- Nakubaliana na wewe kwamba Saa nane ni dhaifu,wewe ni dhaifu,Zitto ni dhaifu,Shonza ni dhaifu.Kwa hayo mliyoyafanya wote ni wasaliti.Hivi huoni vijana wanahangaika huku mtaani kukisimamisha chama nyie mnaleta mambo ya hovyo,Are u serious? Unajitetea kwa lipi hapa? what?
- Tofauti yako na Ben ni kuwa Ben ni muasi aliyeamua kutubu wewe ni muasi uliyekula viapo kwa Sangoma kutomsaliti Zitto.
- Usilete utetezi wa kutaka sympathy hapa.Unajua kuna watu wamekufa Arusha na Morogoro.Who are you uone degree ni ishu kubwa kuliko watu waliotoa maisha yao.
- SWALI;Ulivyoona Ben ni mtu mbaya kwa chama ,ulichukua hatua gani?
- Post zako za fbuk ulitumwa na Ben?
- Unamfahamu TUNTEMEKE?
pole sana makamu ,nimeanza kusikia unahujumiwa mda mrefu,nina ushahidi wakutosha kuwa kuna dada mmoja ambaye kajiunga chama mwezi wa tatu mwaka huu ndiye katumwa na kiongozi mtendaji wa juu wa chama kuja kukuhujumu uonekane haufai ili huyo dada ndiyo agombee ubunge mpanda 2015
wanasahau kwamba wewe ndio umekijenga chama mpanda mpaka kimefika hapo.
Makamu sikushauri ususie chama,wewe ni kiongozi na mbunge unapaswa kupambana mpaka mwisho kuhakikisha dhuluma na uonevu wowote kwenye chama unafika kikomo.
Askari bora ni yule asiyekimbia vita.
Okota silaha yako,mapambano yanaendelea.jipe moyo mkuu,yana mwisho.
acha upotoshaji, chanzo cha mgogoro Katavi ni kutowajibika kwa Arfi kisa anapumzika 2015(hagombei tena 2015)
naona sasa huyu akimwaga ugali na huyu anamwaga mboga..tusubiri tuone nani mshindwa na nani mshindi
Mchange,Point is
- Kama hiyo ni evidence,IS NOT THE RIGHT EVIDENCE AS THE MATTER IS CONCERNED.Haina uhusiano na usaliti wa CHADEMA.Naweza kuwa mwanachama wa CDM na nikaanzisha NGO yenye lengo hilo.Hujaonyesha kwa namna yoyote katika email hiyo kuwa ilikua ni movement against Chama.
- Nakubaliana na wewe kwamba Saa nane ni dhaifu,wewe ni dhaifu,Zitto ni dhaifu,Shonza ni dhaifu.Kwa hayo mliyoyafanya wote ni wasaliti.Hivi huoni vijana wanahangaika huku mtaani kukisimamisha chama nyie mnaleta mambo ya hovyo,Are u serious? Unajitetea kwa lipi hapa? what?
- Tofauti yako na Ben ni kuwa Ben ni muasi aliyeamua kutubu wewe ni muasi uliyekula viapo kwa Sangoma kutomsaliti Zitto.
- Usilete utetezi wa kutaka sympathy hapa.Unajua kuna watu wamekufa Arusha na Morogoro.Who are you uone degree ni ishu kubwa kuliko watu waliotoa maisha yao.
- SWALI;Ulivyoona Ben ni mtu mbaya kwa chama ,ulichukua hatua gani?
- Post zako za fbuk ulitumwa na Ben?
- Unamfahamu TUNTEMEKE?
nilichokigundua SAA NANE hata safari ya kisiasa bado hajaianza...na ninaiona bright future ya mchange kwenye siasa za tanzania.Mchange na Saanane karibu wanafika mwisho wa safari yao ya kisiasa..... Tuwaache wasafiri salama ingawa ajali inawawinda.
lazima utakuwa na kazi MAALUM na wewe sio bure hata kidogo.
naona umemng'ang'ania mchange as if hauelewi alichokiandika?.
sisi tumeshamuelewa SAA NANE kuwa ni mnafiki
ni dhambikatika imani ya dini yangu kujadiliana na SANAMU(FAKE IDS) come up kwa jina lako tujadiliane sawa sawa, naona unataka kuleta nabishano yasiyo na kichwa wala miguu.
soma vizuri maandiko yangu utanielewa..unless wewe ndo uwe SAA NANE mwenyewe.
hamna kitu na wewe acha ushabiki.... bright future ikowapi kwa mchange zaidi ya ufala na usaliti alioufanya? watoke waende zao ccmnilichokigundua SAA NANE hata safari ya kisiasa bado hajaianza...na ninaiona bright future ya mchange kwenye siasa za tanzania.
kuwa na msimamo ni kitu muhimu kuliko kitu chochote kwenye siasa. hongera zake.
MNAZIDI KUMPA CREDIT MCHANGE NDUGU ZANGU....HAYA MAMBO MENGINE NAWASHAURI MKAJIPANGE SAWA SAWA, VINGINEVYO MTAZIDI KUAIBIKA NA KUKIAIBISHA CHAMA.
SAA NANE AMEKIRI KUWA ANATUMIKA, KILICHOTOKEA HAPA MCHANGE AMESEMA KUWA SAA NANE AMEKUWA AKIJITUMIKISHA, LENGO LAKE LIKIWA NI KUONYESHA KUWA KUNA MAKUNDI NDANI YA CHADEMA.....
NASHAURI TURUDINI KWENYE MJADALA WETU MAARUFU, KWANINI SLAA ANAZICHUKUA KADI ZA WANACHAMA WA CCM WANAOHAMIA CHADEMA NA YEYE YAKE ANAWATUNZIA WAJUKUU ZAKE?.