Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

mchange, inaonekana wewe bado upo hicho kikundi AMBACHO MWENZAKO SAANANE AMEAMUA KUTOKA NA KUTUELEZA UKWELIIII. Sasa zamu yenu wewe na Zito kutoka pia, na kutubu kwa dhambi zenu za kukisaliti chama......

kwani hicho kikundi kipo?au Ben Saanane baada ya kushitukiwa kama alivyosema Mchange aliamua kukimbia nacho.
 
Habari, nimeona mchango wangu huu niuanzishie uzi ili tujadiliane kwa mapana..



hapa inaonyesha hukua na nia thabiti ya ukombozi na ni mtu uliyekata tamaa,yaani 2015 ni safari ndefu?basi kwa taarifa yako ukombozi uko karibu hasa baada ya wasaliti wazuia ukombozi kama ninyi kuvuliwa nguo.


mlipokuwa mnatoa kashfa kwa slaa na mbowe hapa jamvini mlikuwa na facts?


hili ndio unalijua leo?wakati wenzenu wanaendelea na m4c nyie mnaongelea kumuweka zitto madarakani,iko wapi team work unayoisema?


inakuaje ujitenganishe na saanane tena baada ya yeye kukiri ukweli juu ya uhuni wenu?ni kweli tunawaogopa wote kwa ujumla wenu,lakini ukiacha saanane aliyekiri makosa yake hadharani nyie mliobaki ni wa kuogopwa kuliko kimeta(anthrax)


haya yalioko kwenye bold yalisemwa na zitto pia,sielewi kwa nini mnapinga kumtambua saanane..naamini ukweli utajulikana sooon


saanane ameshakiri hilo liloko kwenye bold!sio kawaida kwa mgombea kusikiliza na kupuuza hasa kwenye taarifa zinazohusu kuenguliwa kutoka kwenye uchaguzi...labda wewe ndiye uliyekuwa mgombea wa kimkakati.

.
kwa nini kila mara unapinga kuwasiliana au kukutana na saanane?kwa kinywa chako unakubali hili ndio lilkuwa genge lenu la wachumia tumbo na wasaliti wa chama!halafu unataka kutuaminisha kuwa harakati zenu ndio zilianzia hapa,je ukiletewa ushahidi wa harakati zenu kabla ya hapa utapinga?
4
itaje hiyo ID fake ya saanane....si umeamua kuweka ukweli hadharani.

katiba ya chama na dhamiri yako inakuambia nini mara unapogundua kuna mamluki ana ''kazi maalum'' ndani ya chama chako au kundi lako?








nilitegemea ushutushwe na maneno ya vitisho vya kichawi vilivyoletwa na bosi wako TUNTEMEKE MKUU(zitto)


bado unaendeleza kashfa kwa viongozi wa chama..kweli hii ni hulka yenu.kama uliweza kugundua hili saa ya kishushushu basi nachelea kuamini na wewe ulikuwa na kifaa chako cha ushushushu ulichopewa na TUNTEMEKE MKUU(pengine cha kupiga ramli)

2
ina maana wewe si mmoja wa hilo kundi la washawishiwa??hii hawaondolei makosa hata kidogo,wewe ulitaka kundi lijianzishe lenyewe?hivi ben ana miaka mingapi na wale walioshawishiwa wana umri gani?sioni kama ben ana kosa kwani aliwashikia bastola?




nadhani ulikubaliana na dhamira ya ben kwani ilishabihiana na dhamira yako!



majuto ni mjukuu!!haya tuambie basi Zitto(TUNTEMEKE MKUU) alikujibu nini na baada ya kukujibu uliendelea kumshauri nini?



kwa nini mnakanusha kuonana na saanane ?hapa nakumbuka petro alimkana yesu mara ya tatu na jogoo likawika!! Ben Saanane njoo uthibitishe huku.



aliyedhalilika ni 'TUNTEMEKE MKUU' na nyie mnaomtetea bila kujenga hoja.hakuna anyepinga kuwa saanane sio msaliti lakini kinachoendelea kuudhi ni upuuzi mnaofanya wa kukanusha haya.njooni haraka muombe radhi kwa umma!


ndio ....zitto anasingiziwa uchawi!!


.
huwezi kuacha kwa kuwa umelishwa yamini kwa mganga...chezeya mtu imeaga kwao wewe!!thubutu kumsaliti uone kama kuna kiroboto kitaishi hapo kwenu.



zitto keshachafuka na chama kinasonga kwa nguvu ya umma!kwa hiyo mliona kumchafua Dr slaa mngekiacha chama salama...shame on u!


nimefuatilia post za mijadala hii na kuona aliyeanza kujihami dhidi ya kifo ni zitto na sio saanane.
tabia hii inaitwa delusion of persecution a delusion that one is being attacked, harassed, persecuted, cheated, or conspired against.




mwisho naomba urudi kwa zitto akupe cha kuandika kwani hujajibu hoja ya saanane.sana sana umethibitisha kuwa alichosema ni kweli.mbaya sana badala ya kuomba msamaha kwa sisi wananchi bado mnaendeleza propaganda zenu za TUNTEMEKE style....ondokeni chadema mkajiunge na mafisadi wa magamba.......

MNAZIDI KUMPA CREDIT MCHANGE NDUGU ZANGU....HAYA MAMBO MENGINE NAWASHAURI MKAJIPANGE SAWA SAWA, VINGINEVYO MTAZIDI KUAIBIKA NA KUKIAIBISHA CHAMA.

SAA NANE AMEKIRI KUWA ANATUMIKA, KILICHOTOKEA HAPA MCHANGE AMESEMA KUWA SAA NANE AMEKUWA AKIJITUMIKISHA, LENGO LAKE LIKIWA NI KUONYESHA KUWA KUNA MAKUNDI NDANI YA CHADEMA.....

NASHAURI TURUDINI KWENYE MJADALA WETU MAARUFU, KWANINI SLAA ANAZICHUKUA KADI ZA WANACHAMA WA CCM WANAOHAMIA CHADEMA NA YEYE YAKE ANAWATUNZIA WAJUKUU ZAKE?.
 
sio rahisi kumtenganisha BEN SAA NANE na hiyo PM7 kwa kuwa ushahidi wa vidhibiti ambavyo mchange anasema anao unamgusa moja kwa moja BEN SAA NANE, ukiamua kumtetea hapa bila kujua ukweli utakuwa unapoteza muda tu, saa nane ameonyesha kukimbia kivuli chake na sasa amekubali kutumika kumchafua zitto tena anatumika vibaya sana.

.........

Mlikuwa wapi siku zote hizo msiyaseme hayo hadi msubiri Ben aje kuwaumbua hapa? na baada ya siku mbili ndio mnajipanga kuja kumchafua badala ya kujibu hoja zake?

Hivi mnajua hiki mnacho kifanya sasa nia hatari zaidi kwa upande wenu kuliko Ben? Ben ameonekana hapa kuwa smart zaidi yenu na hata hivi viroja mnavyo kuja navyo sasa inathibitisha uwezo wenu mdogo mlionao...
 
Malinda
Nimeuliza swali kwa wale wanao msafisha Zitto maana wamekubali kwa maandishi yao kuwa kuna kikundi kilicho anzishwa ndani ya chama kinacho muunga Zitto, na Juliana Shoza amekiri kuwa kuna kikundi kinacho muunga Zitto.

Na mm nikamuuliza kwa kuwa amekiri yeye mwenyewe kuwa anamuunga Zitto. Je haoni kuwa ametengeneza kikundi cha uasi ndani ya chama?

Naomba hili swali ajibu J.Shoza siyo wewe Malinda maana nimeona kila swali linalo ulizwa kwake unajibu wewe, ila kama wewe ni Shoza tuambie mapema ili tujue.
 
mchange, inaonekana wewe bado upo hicho kikundi AMBACHO MWENZAKO SAANANE AMEAMUA KUTOKA NA KUTUELEZA UKWELIIII. Sasa zamu yenu wewe na Zito kutoka pia, na kutubu kwa dhambi zenu za kukisaliti chama.......[/QUOTE

SAA NANE NI MNAFIKI SANA, TENA MNAFIKI WA KIMATAIFA.
 
Saa nane ni zaidi ya mchawi,mimi nimewahi kumkuta pale ubungo plaza na kundi lake akinywa viroba,ni hatari sana huyu kijana.........

Wewe ni mwongo tu,ID Yako ya Tar 19 December 2012,wewe ni mtetezi wa masalia.Ben amekiri kuwa katika hilo kundi,hajakataa.

Amejitoa kukinusuru chama.....Kina Mchange na Zitto na Juliana Shonza,wamejitokeza baada ya kuumbuliwa.Wasingeumbuliwa wangeendelea kuwa wanachama watiifu wa kundi hilo.

Wote wana makosa.What was their mission? hakuna msafi hata mmoja hapo...wanakera sana,watu tunahangaika wao huko wanakuja kutuzingua....Tumwamini nani sasa?
 
:drama:!Saa Nane,SaaTisa ,SaaKumi ,basi anzisheni chama chenu ,halafu yaishe,huku mliko hakuwafai.Ina kera
 
hilo zengwe lote limepangwa na mzee.huyo ben alitumika tu ili kuwaingiza mkenge vijana afu baadae awaexpose waonekane hawafai target hasa ikiwa ni zito na lengo ikiwa ni kumfanya aonekane hafai kugombea urais kupitia chadema.FOLLOW THE MONEY TRAIL,hizo pesa za kufacilitate vikao vyao lilikua ni fungu anapewa huyo ben na huyo mzee ili awakamate vizuri hao kina machage.
Anaporudi kusema kuwa anakiri kuwa alikua akisaliti chama wakati ndo yeye alianzisha kundi hilo hapo ndo anapowapiga changa la macho wasiopembua masuala .hii inaonyesha chadema walivyo na kiu kubwa ya madaraka hasa huyo mzee.
Tulidhani kina lowasa ndo vinara wa hayo mambo kumbe humo chadema ndo wako more advanced hasa huyo mzee.

pole samaki pole....wanavyokushika kiuno....poleee samaki poleee....walivyo washika naniii.....! Amakweli ukweli unauma. Lakini sasa mlikuwa wapi?au mlitaka kuja kuona nini ambachi si kwa manufa ya chama? Sasa mnaamua kuanzisha thread za kuzidi kujichafu na kukichafua chama kwa manufa ya nani? Acheni U..P..U..MB...A...V..U mmeshakuwa wakubwa,kwani mnashindwa kuheshmu vikao vya chama ili kuweza kutoa kinacho wasibu huko kwenye vikao! Mnatoa picha gani kwa wanachama wenu na taifa kwa ujumla? Wa..sh..en..zi kabisa ny.iny..i na wote mlio anzisha thread za kuchafuana ingali mnatambua kuna taratibu za kuchua ktk chama! Letini malalamiko yenu ili taratibu za kichama ziweze kufuatwa.
 
Hii vita baina ya vijana wa CDM ambao wote walijiita makamanda INALENGA NINI HASA? Wanatumiwa na akina nani? Its real frustrating coz personnely I fail to understand all that is revolving.

Between the two, one might be true;

1. Hii vita inapiganwa na wana CDM (wanavyojitambulisha), kwa maslahi ya viongozi waliomo CDM? Lengo likiwa ni kumalizana wenyewe kisiasa kwa kutumia vijana wao?Zitto, Slaa, Mbowe et al, mbona inaonekana kama mnajenga nyumba moja lakini mwagombea fito? Ni nani kati yenu is behind this? Mkumbuke kuwa mmebeba matumaini ya Watanzania zaidi ya 60% ambao tayari mfumo uliopo umewakatisha tamaa ya kuishi, ambao tayari ndugu,jamaa,kaka,dada.mjomba wamepoteza maisha na kujeruhiwa na harakati za CDM za kuwakomboa. Mjue kuwa Watanzania wanamakovu ambayo you are the only one to heal. When time comes, WATABABADILIKIA!

2. Vijana wanatumiwa na CCM kuisambaratisha CDM kwa kuwachonganisha viongozi na wananchi kupitia vijana wa CDM. Mangula,Nape and Kinana might be behind this. KWamba ionekane kuwa CDM wote ni waganga njaa ya uongozi. Hii CCM watafanikiwa zaidi endapo wataendelea kuwapa ajira za tender ya kukagua magari na ku-supply office equipment kwa vijana wa CDM ambao wengi wanategemea kuishi kwa kutengeneza majungu ndani ya chama.



Ben Saanane, Mtwange et al, tuacheni. Mlishirikiana vizuri, sasa kama yamewashinda kufa nayo motoni.sio kuja hapa kuvuruga watu. KAma hamuwezi kuonana na kutatua masuala yenu, basi mtafute ulingpo mtwangane weeeeeeeeeee ili tupate mshindi. Otherwise Achane utoto. Yaani mmekuwa kama enzi zetu za utoto ambao manaramba sukari,then ikija gundulika na kichapo kikaanza kutembea, mnaanza kutajana.

UZURI WA MALUMBANO YENU HAYAATHIRI WANA-MAGEUZI SABABU WANAJUA KUWA WOTE NI WAGANGA NJAA TU HAPO.MNACHOFANYA NI KUTAFUTA NAMNA YA KUPATA POSHO KWA UNAYEMTUMIKIA.

2013: NI TASA!
 
Taswira,
Wewe umejulia wapi kwamba Dr. Slaa anamwogopa Mchange? Au ndiyo yale yale ya kuchafua uongozi wa chama?

Jana kuna mtu alisema hapa kuwa mshambuliwa no 1 anajiandaa kuja kujibu mapigo akiwa na vijana wake wenye ID mpya kanzia saa 2 usiku,Naona dada July na huyu mwenye post 120 nao wamejiunga jana,what a coincidence!
 
Mlikuwa wapi siku zote hizo msiyaseme hayo hadi msubiri Ben aje kuwaumbua hapa? na baada ya siku mbili ndio mnajipanga kuja kumchafua badala ya kujibu hoja zake?

Hivi mnajua hiki mnacho kifanya sasa nia hatari zaidi kwa upande wenu kuliko Ben? Ben ameonekana hapa kuwa smart zaidi yenu na hata hivi viroja mnavyo kuja navyo sasa inathibitisha uwezo wenu mdogo mlionao...

Kwani hapa ni wapi?Mbona unasema ni hatari?
Ben ameunda kikundi,wenzake wamemtosa mpango wake.Yeye akaamua kukimbia kutokana na kushitukiwa mchezo wake.Sasa amekuja mapema hapa Jf kinafiki kuwaharibia wenzake ili hali yeye ndiye msaliti mkubwa.
Kumbuka ben amekuja kuleta hapa kukiwa na kila dalili ya yeye kuumbuliwa baada ya muda wa mwezi mzima kuandamwa hapa mtandaoni.
SHutuma za TISS na kutumika ndizo ben anazozibeba na nikweli amekili kutumika.Zitto anahusika vipi na hizi mada?
 
Taswira,

Kwa namna unavyopost, tarehe uliyojiunga na mwelekeo wa posts zako ulivyo, ninaamini kuwa ID ya 21 imeshapaikana

Cc Exaudi Mamuya, Ben Saanane, Yeriko Nyerere
 
Jana kuna mtu alisema hapa kuwa mshambuliwa no 1 anajiandaa kuja kujibu mapigo akiwa na vijana wake wenye ID mpya kanzia saa 2 usiku,Naona dada July na huyu mwenye post 120 nao wamejiunga jana,what a coincidence!
Unaweza kufikiria zaidi ya hapa.Ulitegemea watakaa kimya?
 
Taswira,

Kwa namna unavyopost, tarehe uliyojiunga na mwelekeo wa posts zako ulivyo, ninaamini kuwa ID ya 21 imeshapaikana

Cc Exaudi Mamuya, Ben Saanane, Yeriko Nyerere

Hii sio ya 21 soma idad ya member wa Jf mm utajua ni wangapi
 
mda ndio utawaambia!siasa za bongo zinachosha sana?inavoonekana kuna something behind!ila mda ukifika kilakitu hakitokuwa siri tena!tukajengeni chama jamani tukikaa na marumbani haisaidii zaidi ya kuwakatisha watu tamaa!
 
Back
Top Bottom