Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
unaambiwa hawa wote ni wasaliti tu sasa ulifikiri ni kwa nini wasaliti wasisikilizane katika usaliti huo, wanachofanya sasa hivi ni kuumbuana kuhusu maovu yao, tuendelee kuwapa muda watabwabwaja usaliti wao wote hawa wanafiki. Hakuna ovu lisilo na malipo, na malipo ni hapahapa duniani tuBw. Mchange, nina kaswali kamoja tu kadogo.
Kama ulishambaini Saa Nane kuwa mtu wa hatari, mbona uliendelea kuwasiliana naye? Mimi watu kama hao huwa nawapotezea mara moja, lakini inaonekana umeendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na mtu huyu ambaye tangu mwanzo hukumwamini.
Neno uzee halipendi sahihisha usemi wako.Topic Information
There are currently 404 users browsing this thread. (233 members and 171 guests)
- kfatherd,
- Mr. Bigman,
- Soki,
- agwedegwede,
- Dr.W.Slaa,----- Nasikitika kusema kwamba huyu mzee wangu ana matatizo na hawezi uongozi. Alishindwa nini na anashindwa nini kuwasihi wana CHADEMA mkazungumze mabo yenu kwenye vikao? Common sense inaniambia anahisi kujengeka kwa kubomolewa viongozi wenzake. Thank God uongozi wa nchi hii hauko mikononi mwake. Iko wapi busara ya kizee? Masikini CHADEMA
Hapana bado kuna wengine wanatakiwa wafunguke mkuu,idadi yao bado na kila mmoja ana lake jambo la kusema hatuwezi kuchambua haya mambo wakati kuna watu tunasubiri wafunguke humu akiwemo huyo na Zitto.Tulia kwanza mkuu usiwe na haraka hii muvi ni kali inazidi ile ya Escape From Sobibo!!!!!!
Tatizo la hawa vijana ni nini? Mbona wanatoa taswira mabayo si ya kutia moyo katika harakati za kumkomboa mtanzania mnyonge!
wivu wa kike huo
Ni kujidanganya tu. Hakuna vijana wanao mpenda Zitto zaidi yenu.
Upande gani mkuu wa kaskazini au kanda zingine...mwaka huu mtatoana roho.
Wote hapa tunajua Ben alikuwa msaliti kama alivyokiri mwenyewe hapa...
Sasa hawa nao badala ya kujibu hoja juu ya tuhuma zinazowakabil wanakuja na viroja vingine eti Ben ni msaliti, ingali nawao walikuwa kwenye kundi moja na Ben ambao sasa wamebaki huko kama Masalia na wanachofanya sasa ni kujaribu kumchafua Ben ili wao waonekane wasafi tena kwa hoja dhaifu.
Ni kujidanganya tu. Hakuna vijana wanao mpenda Zitto zaidi yenu.
kwanini aliasisi kundi haramu,Ben anakiua chama kwa kusema alikuwa msaliti na amewasaliti wenzie wa kundi la PM7? Unadhani Ben,Zitto na Mchange wanauwezo wa kukiua chama? na kuahikishia wote hao wakiondoka na wafuasi wao wote bado chadema itaendelea kuwa imara na tena itaimarika zaidi kwa kuwa wale wakwamisha harakati watakuwa wamepungua na kama siyo kwisha kabisa.
Ben anakiua chama kwa kusema alikuwa msaliti na amewasaliti wenzie wa kundi la PM7? Unadhani Ben,Zitto na Mchange wanauwezo wa kukiua chama? na kuahikishia wote hao wakiondoka na wafuasi wao wote bado chadema itaendelea kuwa imara na tena itaimarika zaidi kwa kuwa wale wakwamisha harakati watakuwa wamepungua na kama siyo kwisha kabisa.
Juliana shonza naona alikimbia baada ya kuona kikundi niha kihuni,Muasisi Ben saanane.
Saanane kumbe mchumia tumbo
ukiweka ushabiki pembeni ,hebu jiulize huyo ben pesa ya kuwa PAYMASTER wa kikundi hicho alikua anatoa wapi na waliokuwa wakimpa walimpa kwa malengo gani.
Kumbuka kwa mujibu wa machage kipindi hicho ben akifanya juu chini kumnasa zito ili awe anawafadhili na zito akawa anateleza hakamatiki.
Hapa pia inatakiwa huyo ben atuambie au kuonyesha kama aliwahi kumnasa huyo zito.
Kunasehemu umeona zitto amejulishwa kuhusu hicho kikundi??au hiho kikundi kilikuwa kinajipanga kukutana na zitto wamwambie adhima yao?War of interest. Hapa wote wachumia tumbo tuu Hakuna msafi ata Zitto pia Kama Zitto alikuwa Anajua kuna hujuma Kama hizo zinaendelea dhidi ya cdm alitoa taarifa wapi? Je CC ya cdm Kama mpo Huku je Zitto alishawahi kuripoti usaliti huo? Nimjuavyo Zitto hu publish kila anachokiamini na kukifanya kwenye social media ila hili la saa nane hajaripoti wala ku publish why??? Wote Hawa ni wa kufukuzia mbali
Unaamini wanachofanya hawa vijana ni sahihi? I doubt it!