Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.
Mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.
Hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.
Muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.
Lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI
Kinachoonekana wazi,
Ben saanane alitumwa akaunde kikundi cha kufanya mapinduzi ya vijana ndani ya chama(hii idea ulikuwa mtego)
Akishaunda kikundi na kuwahsirikisha hao rafiki zake aliowataja,Ndipo apate nafasi ya kumuomba zitto awafadhili.
bahati mbaya sana Zitto na mungu wake hakuwahi onana na hao watu licha ya ben kufanya jitihada zote kuonana naye.
Moja kwa moja endapo zitto angekutana na hawa vijana angeingia kwenye mkenge wa kisiasa ambao alikuwa ametegewa na Ben saanane kama alivyotumwa na wakuu wake.
Mara baada ya kushindwa kumnasa ZItto njia rahisi ameamua kuja kumchafua zitto hapa jukwaani.
hii ni funga mwaka,wakati makamanda wengine wanahangaika kujenga na kuimarisha chama ninyi mmejikita kuumbuana humu JF shame on you wote ni wanafiki na wasaliti hakuna mkweli kati yenu
Wewe kama makamu mwenyekiti wa Bavicha au mmoja wa member wa kikundi (Manake unajibu kwa authority) ulichukua hatua gani kwa Ben baada ya kugundua mipango yake mibaya kwa chama? Je matusi kwa viongozi wa chama yale ya Juliana shonza na Mwampamba na Mchange kule fbuk pia mlitumwa na Ben?
Mkuu Kimbunga,
Hivi Wassira alijuaje kuwa mwaka 2015 Chadema itasambaratika.
Chadema wataingia kwenye uchaguzi mwaka 2015 na majeruhi makubwa.
Kuna mgogoro mkubwa unakuja kwenye uchaguzi mkuu wa Chadema.
Mkuu Kimbunga,
Hivi Wassira alijuaje kuwa mwaka 2015 Chadema itasambaratika.
Chadema wataingia kwenye uchaguzi mwaka 2015 na majeruhi makubwa.
Kuna mgogoro mkubwa unakuja kwenye uchaguzi mkuu wa Chadema.
NASHAURI TURUDINI KWENYE MJADALA WETU MAARUFU, KWANINI SLAA ANAZICHUKUA KADI ZA WANACHAMA WA CCM WANAOHAMIA CHADEMA NA YEYE YAKE ANAWATUNZIA WAJUKUU ZAKE?.
Slaa ameamua kukaa chonjo kukimbilia CCM kutokana na huu mchezo mchafuanaousimamia ndani ya chama na kuhalilisha malipo.
Mchange huwezi jisafisha kwa huu utumbo!! umekuwa ukionekana live na mabandiko yako kule FB we omba msamaha kwa viongozi usamehewe acha polojo...huo utumbo uliobandika hapa kwanza hauleweki
Mnazidi kuonyesha mko kundi gani. Wazee wenu wako wapi nyie, mnavuana nguo mbele za watu.wewe mnafiki na msaliti mkubwa, hapa leo ni mbivu mbichi, jibunu hizo hoja hapa tuwaelewe na sio kuanza kutunga mashairi ya kuficha matunguri yenu hayo nyie masalia.
Mkuu changia mada. Mimi sio CCM ila nina kadi niliyoitunza kwa kumbu kumbu kama anavyofanya slaaHalafu hata Mchange inabidi sasa achague upande,Ukiona watetezi wako wanatoka CCM inabidi ujifikirie mara mbili? Je unafit Chadema.?
Movie bado inaendelea...
Naisubiria thread ya Mbowe, Slaa, Josephine...dah!!
JF where we dare to talk openly!!