Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.

Lazima Ben atakuwa mtu hatari sana, kautafuta umaarufu mpaka kaupata.
 
Mmeyataka wenyewe kwahiyo kubalini matokeo wala msijaribu hata mara moja kukimbia hoja mliyoianzisha wenyewe.

Wahenga wanasema achekaye mwishoni ndiye hucheka zaidi. Mwambieni ndugu yenu Nahum Nnauye aache kuulizia elimu za watu wenye rekodi zilizotukuka wakati yeye amefanya kuunga unga na partex!
...Mkuu afadhali angeungaunga. Mi nilishtuka niliposikia alipata point 29 halafu ana Masters. alifanyajefanyaje? anaweza akawa na siri ya kuwasaidia wenzake waliofeli mwaka huu.
 
Ni kweli unachosema hata ukiangalia CV ya Lema imejaa utata mtupu.

Dr Slaa ana PhD halafu hana B.A wala M.A

Ni kuvumiliana tu.
Ritz kujifanya kujua kila kitu ndicho kinachoonyesha jinsi ulivyo watupu kichwani.
Wewe unashangaa Dr. Slaa kupata PhD bila B.A wala M.A??? kwani wapi imeandikwa kwamba lazima awe na bachelor degree na masters ndipo asome PhD???

Kuna watu wamepata Masters baada ya kuhitimu FTC na hawakusoma Bachelor degree!! Inategemea tu umeisomea hiyo Phd au Masters nchi gani, na wao wana vigezo vyao wanavyoazingatia si kama huku kwetu. Mathalani nchi kama za Holland, Canada na Germany hawana complications za kijinga kama hapa kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndiyo Ben akiwa kazini,utampenda..............

Naomba MODERATORS kama mnatenda haki mfanye kazi yenu ipasavyo,Hii ni name caling.Nimeshasema sihusiki na hii ID.Kama ni yangu naomba muunganishe na mnipe ban otherwise naomba

1:Mfungie huyu alieleta uongo kwa mujibu wa kanuni za JF pamoja na wote walioleta groundless insinuation kuhusu hii ID

2:Tafadhali kama inawezekiana Fanyeni verification ya ID ya Greenwich.

NB:Wanaotoa claims ni watu wasiojiamini na walioshindwa katika hoja. Greenwich asante sana kwa kusimamia unachoamini.Bravo kamanda!
 
Last edited by a moderator:
Ben saa 8 is a disaster,yuko tayari afanywe lolote ili mradi apate hata ujumbe wa nyumba kumi,naona sasa chadema wanamtembeza majukwaani nchi zima wakimgharamia kwa kila kitu!

Ameanza kupata kile alichokuwa ana kitafuta kwa hali yoyote ile na katika mazingira yoyote ambacho ni platform, deluted fame, match to CDM internal election and MP. My foot
 
siasa bana, sasa kwanini Nape akisema inaonekana upuuzi ila akisema Ben sio upuuzi?
rationale iko wapi kama hoja ililetwa hapa jamvini ikasemekana ni upuuzi kwasababu ilitoka kwa Nape basi hata hii iltoka kwa huyu mtoa mada juu ya majibu ya saanane ni upuuzi. so far hakuna mantiki ya kujadili juu ya elimu bali maswala mengie ya msingi.

so far katiba yetu inasema ili m agombee uongozi lazima awe amemaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mana hiyo hata aliyefika sekondari kavuka lengo.

Coz Ben ana akili kuliko Nape
 
Zamani matokeo kama ya Nape tungemwita Kopo au debe tupu

Kiswahili D, Civics F Halacha CCM ndio wamemuweka kua muenezi, utaeneza nini Wakati Kiswahili hujui na elimu ya raia hujui ndio mana unaishia kutukana tu.
 
Please give us a break!
Unacho ongea dada hakipo duniani popote pale!Narudia tena kupata maji ni haki yangu maana nalipa kodi!Inachotakiwa ni serikali kuniletea maji then kuni bill mm mtumiaji na nchi nyingi zinafanya hivi!Hamna hiyo sijui ni"improvise then DC to prove the project"

  • :bounce:

Serikali inayojivua kuwapa watu wake PUBLIC GOODS haifai kuwepo madarakani!

tatizo unaish kwa kukariri ila ingekuwa unaish kama mtu unayependa kuifanya dunia mahali bora na sustainable pa kuish huwez kuwaza namna yako.

ukitaka kuamini muulize ''Mzee wa mianzi bomba"" alivyofanya na mpaka leo kama kijiji chao hakina maji ama la. tushirikiane na serikali ili kutulea maendeleo na sio kukaa pembeni kama mamwinyi. sasa nyie subirini huruma muone kama itawajia kwa wakati.
 
Ameanza kupata kile alichokuwa ana kitafuta kwa hali yoyote ile na katika mazingira yoyote ambacho ni platform, deluted fame, match to CDM internal election and MP. My foot

Traitor....Si ungekuja na ID yako?I thoght you were bold enough kuwafuata wenzako walikohamia.

Huu mjadala ambao umeletwa na Greenwich hauongelei Internal Election.Can you respect that instead of showing insecurity and an attention-seeking desire to make things about you and yours? If you have nothing to contribute to the subject matter, please clear off instead of talking irrelevantly . Freedom of speech does not mean you must comment on every topic verbosely and irrelevantly.Behave yourself Mr.PRESIDENT.
 
Last edited by a moderator:
tatizo unaish kwa kukariri ila ingekuwa unaish kama mtu unayependa kuifanya dunia mahali bora na sustainable pa kuish huwez kuwaza namna yako.

ukitaka kuamini muulize ''Mzee wa mianzi bomba"" alivyofanya na mpaka leo kama kijiji chao hakina maji ama la. tushirikiane na serikali ili kutulea maendeleo na sio kukaa pembeni kama mamwinyi. sasa nyie subirini huruma muone kama itawajia kwa wakati.

Unachanganya mambo ama kwa kutojua usemalo ama kwa makusudi baada ya kuona ahadi zenu HAZITEKELEZEKI!

Kupata maji kwa watz toka kwenye serikali inayokusanya kodi zetu ni HAKI YETU na wala HATUOMBI!Kama wameshindwa waseme hivyo!
 
tatizo unaish kwa kukariri ila ingekuwa unaish kama mtu unayependa kuifanya dunia mahali bora na sustainable pa kuish huwez kuwaza namna yako.

ukitaka kuamini muulize ''Mzee wa mianzi bomba"" alivyofanya na mpaka leo kama kijiji chao hakina maji ama la. tushirikiane na serikali ili kutulea maendeleo na sio kukaa pembeni kama mamwinyi. sasa nyie subirini huruma muone kama itawajia kwa wakati.

Nadhani wewe ndiye unaishi kwa kukariri dada wewe gfsonwin. Hili liko dhahiri kwamba serikali yenu ya ccm imeshindwa kabisa kuwahudumia watanzania.
So fara sisi kama wananchi tunafanya mambo mengi sana kuisaidia serikali mambo ambayo kimsingi yalipaswa kufanywa na serikali.
Jambo la kwanza na muhimu zaidi tunalipa kodi, tena kwa taarifa zilizopo mwezi wa november na december 2012 TRA wameweza kukusanya kodi inayofikia kiasi cha shilingi trilioni moja kwa mwezi, sas utaona kuwa fedha zipo za kuweza kuhudumia wananchi katika miradi yao ya kijamii kama maji, afya na elimu kwa kutaja chache.

Wakati sis tunalipa kodi na kujitolea kuisaidia serikali nyie wa ccm na serikali yenu mnakwiba fedha zetu na kwenda kuzificha nje ya nchi, mnatengeneza miradi feki na kila aina ya hujuma katika fedha za umma. sasa tumefika mahali tunasema hatuwezi kukaa kimya ccm wanafuja fedha zetu na huduma za kijamii zinadorora, lazima tuwalazimishe kutuhudumia kwakuwa huo ni wajibu wao.

Wananchi walijitolea kujenga shule za kata na zahanati katika kata na vijiji/mitaa, serikali ilipaswa kutoa vifaa na wataalamu lakini hadi leo hii tunafikia hatua ya 60% ya wanafuzi wanafeli mtihani wa kidato cha nne kwa sababui serikali imeshindwa kabisa kutekeleza wajibu wake, imeshindwa kuandaa na kuajiri walimu, imeshindwa kuandaa na kuajiri watumishi wa sekta ya afya na imeshindwa kabisa kuimarisha na kuwekeza katika upatikanaji wa maabara, maktaba na vifaa tiba pam oja na madawa.

Sasa inapotokea mtu unakuja hapa kuitetea serikali ya hovyo kama hii ni dhahirti kwamba wewe mwenyewe unakuwa wa hovyo pia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom