Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
- #41
Aha ha ha haaaaa!!!!!
ADC.
Ukitaka kumkimbiza huyo Tume ya Katiba muulize tu mauaji ya viongozi wa dini yanayoendelea Zanzibar
Last edited by a moderator:
Aha ha ha haaaaa!!!!!
ADC.
Ni kweli unachosema hata ukiangalia CV ya Lema imejaa utata mtupu.
Dr Slaa ana PhD halafu hana B.A wala M.A
Ni kuvumiliana tu.
Ni kweli unachosema hata ukiangalia CV ya Lema imejaa utata mtupu.
Dr Slaa ana PhD halafu hana B.A wala M.A
Ni kuvumiliana tu.
Juliana Shonza,
Haka kabinti ndiyo kiboko ya Chadema.
Kakitokeza tu Pro-Chadema JF karibia wote mapovu yanawatoka.
Ni kweli mkuu bila kuvumiliana hatutafika. Kuna watu ni maprofesa lakini hawakusoma A'level! Waliunga hadi wakapata uprof
Leo unalipwa posho shilingi ngapi?
Ndiyo maana mnampoteza Nape kwa kumdanganya hivi.Wewe ndiye mjuaji huko CCM ndiyo maana sishangai wanafunzi laki 3 kupata sifuri.
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.
Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na mbingu na ardhi.
Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.
Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.
Ni kweli unachosema hata ukiangalia CV ya Lema imejaa utata mtupu.
Dr Slaa ana PhD halafu hana B.A wala M.A
Ni kuvumiliana tu.
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.
Mkuu Ritz,wafuasi wake wanamuita wanasiasa msomi.Ni kweli unachosema hata ukiangalia CV ya Lema imejaa utata mtupu.
Dr Slaa ana PhD halafu hana B.A wala M.A
Ni kuvumiliana tu.
Juliana Shonza,
Haka kabinti ndiyo kiboko ya Chadema.
Kakitokeza tu Pro-Chadema JF karibia wote mapovu yanawatoka.
Huyu Nahum Nnauye amesoma masters ya utawala alafu kafanya thesis ya maswala ya kupiga kura.
Hivi na hao mzumbe wako serious kweli??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyu Nahum Nnauye amesoma masters ya utawala alafu kafanya thesis ya maswala ya kupiga kura.
Hivi na hao mzumbe wako serious kweli??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums