Dr. Ng'ida D. Mollel
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 191
- 38
Walipata kunena... KILA ZAMA NA WASALITI WAKE...
mwita bana sasa unataka kuniambia kwamba wanafunzi hawa mnaowashirikisha kwenye hizi siasa zenu wakakoasa masomo ni kosa la ccm na waalimu wake??
hebu fungueni akili nyie CDM muangalie swala la wadogo zenu kufeli kwamba linahitaji jitihada kutoka kwenu, mngepoteza nguvu zenu kuwahubiria kupenda kusoma na kuskiliza waalimu wao kuwa na tabia njema sidhan kama wangefika huku.
sitoshangaa mkafanya hii ndio moja ya kauli mbiu ya kapeni zenu kwamba hamuoni serikali ya cm imewafanya watoto wenu wamefeli wote?? huku mkisahau kwamba bado hamjaongeza hata nukta moja ya uwezo wa mtoto kupambanua na kuelewa masomo. na wala kelele zenu haziwez kuwafanya wafaulu manake kipimo cha mtihani ni akili na haipimwi na cdm bali na wasahihishaji mtihani.
sawa kabisa ccm ni hovyo kama ambavyo CDM ni Hovyo hasa katika maswala ya kuhadaa wananchi sio?? mnataka kuwaaminisha watu kwamba wanafunzi wa form 4 kufeli ni kosa la serikali pekee mkasahau kwamba hata hiyo mikutano na uhamasishaji wenu mnaoufanya kila siku uunakula na kupoteza muda wa wanafunzi kuwa mashulen badala yake wanakaa kuwaskiliza nyie.
Hivi hapa ndio umeandika kitu gani sasa gfsonwin?? are you out of your mind? Kuna watu huwa nawasoma wanakuita mwalimu nadhani wewe ndiye umeshiriki kikamilifu kuwafelisha kwakuwa kama mwalimu unaandika pumba kama hizi sitarajii mwanafunzi wako aambulie kitu mbele ya wasahihishaji makini.
Haya nakubaliana na wewe kwamba Chadema ndio chanzo cha wanafunzi kufeli mitihani ya kidato cha nne mwaka jana kwa kiwango hicho cha 60% kupata daraja zero. Sasa kawaambie wahariri wa magazeti yenu ya uhuru, jambaleo na habari leo waandika kurasa za mbele juu ya huu utafiti wako kwamba Chadema ndio chanzo cha kufeli kwa wanafunzi.
Hater..........jamani na saa 8ajadiliwe.kweli tumeflisika kifikra.huyu jamaa ni kilaza na mbumbumbu.hajui hata kama anaishi kwa kupumua.hajui chochote na ndio mana slaa kamgeuza kua jumbe na akida wake.yaani hajitambui.
hahahhahhahahhhhhahh!Sijawahi ona mtu mwenye kiboksi kidogo hivi cha fikra! ni kama hamna basi tu kwakuwa unaweza kuandika!
Mikutano ya uhamasishaji imechangia pia kufeli wanafunzi!!! Acheni ujinga bwana nchi hii mnataka kuipeleka wapi kama hamuipendi sie wengine tunaipenda sana, tuseme kweli bwana fitna ni mwiko inarudisha tu maendeleo ya nchi yetu nzuri!
Mkuu huyu anaonekana kapagawa kabisa!! Ni kama mtu aliekata tamaa hivi, anabwabwaja mno!
Anaweza kuwa Shonza huyu......
watu haniiti bana bali mimi ni mwl mwita maranya, nashangaa sana kuona kwamba hamkubali kuwa kelele zenu majukwaani hazimwongezei mto ufaulu hata siku moja zaid ya kumjaza jazba, na chuki nafsini.
hahahhahhahahhhhhahh!
Hebu leteni hapa jamvini sera yenu ya elimu tuone nyie mnasemaje kuhusu elimu?? badala ya kuendelea kubishana jambo la wazi??
Hapa ndipo umenisaidia kuujua ukweli, kwakuwa wewe ni mwalimu ni mmoja kati ya watu walio contribute kufeli kwa wananfunzi, na imebainika kwamba walimu wengi na wewe ukiwa mmoja wao ni failures au ukipenda unaweza kujiita reject, kwahiyo si jambo la ajabu kwa wanafunzi waenu kufeli vibaya. Na sisi tunawajaza jazba kweli ili ifikapo 2015 wasiogope hata kidogo kuwakataa manyang'au wa ccm.
Unacheka ujinga???
Yani wewe ni Mwalimu wa hovyo sana usiyejua kwamba sasahivi sera na ilani ya elimu inayotekelezwa ambayo ndiyo imewafelisha hawa wanafunzi ni ya ccm, kama ungekuwa na akili nzuri ungetuletea hapa hiyo sera yenu ili tukusaidie kukupa mawazo ya kuiboresha.
Nape Nnauye anafanya kile ambacho wana-CDM mnakipenda!Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.
CDM bana so unaona tatizo ni sera ya elimu ya CCM sio?? hebu acheni kupaka watoto wenu mafta kwa mgongo wa chupa.
nyie mmelea watoto kama mayai huku mkiwaleta watoto shulen mkitegemea waalimu tuwasaidie kulea mtasubiri sana sana.
anzeni kwanza kuwafunza wannu kuwa active citizen toka wakiwa home sio toto unalilea kila siku fb, na watsapp, toto halijitambui, baba yuko bize na siasa za majungu na ugomv hakai kumkagua mtoto wake hafwatilii maendeleo ya mwanae mbaya zaid mtoto anatoka home shulen hafiki, mzazi hufuatilii uko bize na siasa za chuki unategemea nini??
endeleeeni kupiga jalamba ila mtasubiri sana kuona wanenu wanafaulu ngojeni ya form six yaje ndo mtakoma na ya mwaka uu form 4.