mkuu hawa mamods wananibore kweli. wako so biased. wakiona kitu chochote ambacho kiko anti-chadema fasta wanakiondoa.Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).