QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
Labda ya kuchoraNImenunua sukari week jana kilo 3000 hiyo ya 1500 iko wapi niifuate
Labda ya kuchoraNImenunua sukari week jana kilo 3000 hiyo ya 1500 iko wapi niifuate
kwa hiyo 5000-1500=3500/=Tuwe tunasoma na kuelewa, miezi 2 iliyopita kuna sehemu walinunua sukari hadi kwa tsh.5000 kwa 1kg hiyo 1500 ni wastani wa kupungua kwa bei toka bei ya miezi 2 iliyopita
Huu uduanzi sijui utaisha lini, hivi kwani UKAWA ndio pekee wanaotumia sukari?UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
Dah...halafu wakiambiwa masomo ya sayansi ni lazima hadi kidato cha nne wanaanza kulialia hapa🙂🙂Upo sahihi kabisa, Habari inasema bei ya SUKARI imeshuka kwa wastan wa sh 900 mpaka 1500 lakini ****** walio wengi wameelewa ndivyo sivyo kwamba bei ya sukari ni sh 1500 [emoji1]
Soma nilichoandika alafu soma niliyemjibu..Umeambiwa bei imeshuka kwa wastan wa sh 900 mpaka 1500,
Kuna maeneo sukari iliuzwa mpaka sh 5000
Hilo neno wastan lina maana pana!!
Vipi miezi miwili mitatu iliyopita hukuwahi kununua kilo 3500 mpaka 4000??We huo utafiti unefanyika wapi mimi nipo kimara kg ni 2500
Dah...na wewe pia lazima utakuwa ndani ya ile 61% ya wasomi 😎😎1500 per kg iyo sukari labda imetoka China na imetengenezwa kutokana na chupa za maji zilizotumika
Labda ya kuchora
Hiyo sukari imeshuka lini? Wapi?
Utafiti mdogo uliofanywa na gazeti la Mwananchi jijini Dar es Salaam na mikoani unaonesha kiwa sehemu kubwa sukari inauzwa kwa wastani wa sh.2400 kutoka zaidi ya sh.3,500 iliyokuwepo miezi miwili iliyopita.
😎😎We huo utafiti unefanyika wapi mimi nipo kimara kg ni 2500
Bavicha sukari mlikuwa mnasema wenyewe ni 4000 leo hii imeshuka mpaka 2500-2400.. Sasa mko hapa mnatoa povuKama vile issue ya sukari leo ni sh 4000 kwa kilo
Huku dodoma leo nimenunua sukari kilo 3500/=
Wakiwa upende wenu wanakua fea ila wakiwa upande mwngn bas wamepewa bahashaHuyo mwandishi na mhariri wake wamepewa bahasha hao!!. Huo utafiti wameufanya eneo gani au kwa familia za wafanyakazi wa viwanda hivyo!.
**vinginevyo mtoa mada utakuwa ume_take chance "kuwa wa kwanza ku_post" wkt dip wameeleza eneo la utafiti.
Nini 2400!
Kwetu sukari 3500 kwa kilo moja.
Waliotoa bei elekezi wametoweka pia,
Hapa kazi Tu
Bei ya Sukari nchini imeanza kutengamaa baada ya kushuka kwa wastani wa sh 900 hadi 1,500 kwa kilo
Utafiti mdogo uliofanywa na gazeti la Mwananchi jijini Dar es Salaam na mikoani unaonesha kiwa sehemu kubwa sukari inauzwa kwa wastani wa sh.2400 kutoka zaidi ya sh.3,500 iliyokuwepo miezi miwili iliyopita.
Mkuu hesabu uliacha darasa la ngapi? yani wastani wa 2,500 na 5,000 iwe 1,500?
Kumbe 3500-2400 ni sawa na 1500????
Dah...Mungu ibariki Tanzania 🙄🙄Sasa 3500 mpaka 2400 ni 900 au 1100??