manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Tusiweke siasa kwenye kila kitu...Kwani huko unapoishi wewe ni kweli sukari inauzwa 1500?UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
Tusiweke siasa kwenye kila kitu...Kwani huko unapoishi wewe ni kweli sukari inauzwa 1500?UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
WACHA WEE MWANDISHIView attachment 379442
Bei ya Sukari nchini imeanza kutengamaa baada ya kushuka kwa wastani wa sh 900 hadi 1,500 kwa kilo kutokana na viwanda kuanza uzalishaji pamoja Serikali kuingiza takribani tani 70,000 kutoka nje ya nchi kufidia upungufu uliyokuwepo.
Utafiti mdogo uliofanywa na gazeti la Mwananchi jijini Dar es Salaam na mikoani unaonesha kiwa sehemu kubwa sukari inauzwa kwa wastani wa sh.2400 kutoka zaidi ya sh.3,500 iliyokuwepo miezi miwili iliyopita.
Kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kunatoa ahuweni kwa Wananchi wengi waliolazimika kutoboa mifuko yao ili kumudu bidhaa hiyo muhimu katika uandaaji wa vyakula mbalimbali pamoja na chai.
Source: Gazeti la Mwananchi.
Soma tena bwege wee imeshuka Lumumba tena kwenye keyboardwe mbona huelewi..umeambiwa bei imeshuka toka zaidi ya shs 3000 na sasa wastani wa bei shs 2400. hiyo bei yako ni sawa. au ulitaka bure? teh teh.
Acha mambo ya wastani wewe hesabu zisizo na hualisia,sema hiyo ya 1500 inapatikana wapi mi nikanunue kilo 10 fastafastawe mbona huelewi..umeambiwa bei imeshuka toka zaidi ya shs 3000 na sasa wastani wa bei shs 2400. hiyo bei yako ni sawa. au ulitaka bure? teh teh.
Dah... Ile 61℅ ya wasomi inakuhusu [emoji4] [emoji4]NImenunua sukari week jana kilo 3000 hiyo ya 1500 iko wapi niifuate
Mkuu hesabu uliacha darasa la ngapi? yani wastani wa 2,500 na 5,000 iwe 1,500?Tuwe tunasoma na kuelewa, miezi 2 iliyopita kuna sehemu walinunua sukari hadi kwa tsh.5000 kwa 1kg hiyo 1500 ni wastani wa kupungua kwa bei toka bei ya miezi 2 iliyopita
Chai wanakunywa wengi ikiwemo wewe na familia yako, pombe wanakunywa wachache hasa wasiomcha Mungu!!Wanywa chai mna kelele kweli, bei ya sukari kupanda kiduchu makelelelelelel, mbona sie wapiga pombe bei zinapanda kila siku na hatulalamiki tena hata bajeti ya nchi inatutegemea sisi kuongeza pato!
wameambiwa waandike habari za kumfurahisha mkulu, jana kigogo kawatangazia kuwafungia kwa uchochezi ikiwa wataandika habari za kuwakosoa wakuu.Achana na story za magazeti,mwandishi anandika tu Wakati hata bei halisia ya sukari haifahamu
Ovaa
Walio andika hiyo taarifa wamepotosha
Bei imeshuka kwa sh 900 kutoka 3500 hadi kufikia 2400