Bei ya sukari nchini yashuka kwa Sh,1500

hali ilikuwa hivyo.. Leo imeshuka hamna shukrani zaidi ya kurusha matusi.. Baraza la Vichaa Chadema..

Bw. Mkulu ebu tuangalieni hii siyo haki kabisa haiwezekani tununue sukari kwa bei hii.
Kwa kweli nimeshangaa maana wiki iliyopita nilinunu kwa 3500 leo tu imefika 5000

Wanajf vipi huko kwenu bei ya sukari ipoje??
 
Vipi bado inauzwa kwa hizo bei ulizotaja??

Hivi nyie vijana wa Lumumba ni nani kawaroga? Bei elekezi iliyopendekezwa na serikali ya Malaika ni Tsh. 1800 kwa kilo. Bei imekuwa Tsh. 2000 kwa kilo halafu unasema imeshuka. Are you serious? By the way kwenye miji iliyo mingi hapa nchini sukari bado inauzwa kwa Tsh. 3500 hadi 4000 kwa kilo until the moment.
 
Elewa kitu kabla hujabisha maanake hata kama una point haitaleta maana. Hajasema sukari inauzwa 1500/- kasema imeshuka kwa 1500/- yaani kutoka 3500-4000 sasa hivi imeshuka hadi 2400/-.

Ndiyo sababu nimesema nimenunua 3000 wiki jana tu.
 
Leo Nimenunua 2200,ninaimani itashuka hadi bei elekezi sasa mawakala wa ufisadi wa Chadema watakosa cha kuongea.
 
Bei ya sukari kabla ya agizo ilikuwa tsh 1800. Sasa kilichoshuka ni kitu gani?
 
Yaaani utafiti ukifanywa ukawa upande wa wazee wa UKUTA hapo watasema kua walkua fea ila ikiwa upande wa serikal watasema kua wamepewa bahasha, au iktokea mbunge wao akshnda kesi utaskia utaskia haki imetendeka ila ikiwa mbunge wa ccm kaahinda utaskia et walipendelea
 
Nilichoana kwenye huu uzi vijana wa UKAWA kichwani wana funza tu kama Mwenyekiti wao Mbowe.. Yaani hata neno "wastani" hamujui maana yake??

Mtu unaambiwa bei imeshuka kwa wastani wa 900-1500 mpaka bei elekezi sasa kuwa 2400 lakini wao akili zinawatuma eti bei ni 1500. Hivi hamusomi post yote au ndio mtindio wa ubongo? Bei ilivyokiwa 3500 mpaka 4000 si mlikuwa mkishabikia humu??
BAVICHA wanachekesha sana mkuu!!!
 
Kabla hujaziona funza vichwani kwa hao unaowachukia yaelekea hata wewe kichwani unao hao funza na upo kwenye jamii ya hao walio na funza vichwani una uhakika gani kama wote wanaojibu na kucoment uzi huu ni ukawa? Unataka kutuambia wote upinzani ni ukawa? ACT TLP CHAUMA CHEYO HAO NI CCM DAMU.

MMEJAA FIKRA POTOFU TU KUNA WENGINE WAPO KATI.
 
Kwani ID za Bavicha hazijulikani humu?? Post ndefu lakini na wewe funza tu...
 
Wewe funza jibu swali, bei imeshuka kwa wastani wa 900 mpaka 1500 au lah?? hehehehehe

Ndo nakwambia upo jamii ya funza bado unafurahia kuishi kwa wastani wakati bado sukar ni 2600 mwanzo kabla magufuli hajakurupuka ilikuwa bei gani? Huo wastani unauhalisia gani na kipato halisi cha mtanzania ambae anaishi chini ya dola moja usiwaite wenzio funza na wewe upo ktk jamii ya funza.
 
Kijana si mlikuwa mkishabikia sukari kuuzwa 4000.. Leo imeshuka mnaumia, na bado itaendelea kushuka..

Tangia uhame Morogoro na kuhamia Dar umekuwa na kiburi eeh wewe funza..
 
Ndo mana nkakwambia wewe ni sehemu ya hao funza unaishi kwa mazoea na kukalili unakimbia kimvuli chako kwa maovu yaliyofanywa sijawahi kushabikia sukar kuuzwa 4000 si mnywaji wa chai na sukar haijashuka huo ni wastani.mwanzo bei ya sukari ilikuwaje jibu hapo ? ndo utajua imeshuka wakazi wengi wa dar ni wahamiaji hizi ndo ishara za mtu mshamba anawaza dar halafu mm sipo dar huna hoja unahamahama kwa pumba ulizopost awali.
 
Sijaona cha kujadili na wewe bwana mdogo.. Endelea kuzungusha mikono na kumwandikia thread fisadi lowasa
 
Back
Top Bottom