Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

Bei ya SUKARI mikoa mbalimbali Tanzania

ya sukari hayajaisha huyo kasimu kapiga tena marufuku kuingiza mchele watanzania viongoz wetu wameamua kutuua kabisa sijui tumlilie nan atusaidie hili janga
 
Sema wa tz ni watulivu sna na waoga, kama nchinyingine kwa hii ishu ya sukari ilitosha kusababisha maandamano kila kona
 
Sasa maandamano ndo yataleta sukari au kupunguza bei.......mpaka lini tuagize sukari wakati kuna mashamba kibao ......bila hvyo uzalishaji wa sukari utakuwa ndoto
 
Mliambiwa sakata la sukari ni hatari kuliko sakata la madawa ya kulevya mkabisha.
 
ya sukari hayajaisha huyo kasimu kapiga tena marufuku kuingiza mchele watanzania viongoz wetu wameamua kutuua kabisa sijui tumlilie nan atusaidie hili janga
Anafanya maamuzi kwa mihemko anaumiza wananchi.
CCM mmelogwa na nani mbona hamna Mwenye afadhali?
 
Aliyeificha sukari anajulikana ila nashangaa wanamchekea chekea tu badala ya kumtumbua! besides dawa ya uhaba si kuagiza,bali uzalishaji uongezwe vijana na wakulima wapate ajira.
 
Sasa maandamano ndo yataleta sukari au kupunguza bei.......mpaka lini tuagize sukari wakati kuna mashamba kibao ......bila hvyo uzalishaji wa sukari utakuwa ndoto
Maandamano ni njia mbdala ya kufikisha ujumbe kwa viongozi ,tena sio tz tu sehemu mbalimbali duniani ,mfano rais dilma mwanamke wa brazil kapigiwa kura ya kutokuwa na imani na bunge la brazil lakin yalianza maandamano kwanza lakin hakujirekebisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom