Sio imelia?! 🙂Kuhusu sukari serikali imecheka
Wewe umeshanunua kwa bei hiyo..??UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
acha uongo wewe,hata padri wetu ana mcha Mungu anagonga valuuChai wanakunywa wengi ikiwemo wewe na familia yako, pombe wanakunywa wachache hasa wasiomcha Mungu!!
Umeelewa kilichoandikwa?1500 per kg iyo sukari labda imetoka China na imetengenezwa kutokana na chupa za maji zilizotumika
Asante mkuu kwa kuwafafanulia watu humu hawaelewi ila wanakurupuka tu na kuanza kupinga kitu wasichokielewa.Kwani wapi palipoandikwa kuwa sukari kilo moja ni sh 1500??
Ni vema ukasoma habari kabla kuanza kuchangia!!
Habari inasema bei ya SUKARI imeshuka kwa wastan wa sh 900 mpaka sh 1500, haisemi kuwa bei ya SUKARI ni sh 1500 laahasha!!
Kama ilikuwa ikiuzwa sh 4000 na sasa inauzwa sh 2500 na maeneo mengine ni 2400, Kuna kupungua kwa bei kwa wastan wa sh 900 mpaka 1500.
Leo nimeelewa kwanini watu wana feli Necta.. Kuelewa ni shida..Wewe umeshanunua kwa bei hiyo..??
Mkuu hakuna nilipo kuambia huna akili, Bali nimesema kuelewa kazi sanaMimi nachoelewa ni kwamba hapo awali tulikuwa tukinunua sukari shilingi 2000 kwa kilo. Baada ya matamko bei imepanda hadi 2300. Vipi hapo, bado sina akili?
Kuelewa ni gharama kubwa sana.. Hapa Tanzania.. Unashindwa nini kuomba kueleweshwa kama jambo ujaelewa.. 61% ya jambo LeoWap huko wanauza sugar 1,500/= uniletee hata kila hamsini kwa 2000/
Asante mkuu kwa kuwafafanulia watu humu hawaelewi ila wanakurupuka tu na kuanza kupinga kitu wasichokielewa.