BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 2,755
- 4,365
Bei ya sukari imepaa kutoka wastani wa shs 3000 kwa kilo kufikia elfu tano baadhi ya mikoa ya pembeni. Kila ikifika wakati wa viwanda vya ndani kusimamisha uzalishaji hali hii hujirudia na si bahati mbaya.
Jambo hili linanikumbusha Luhaga Mpina aliposimama kidete kuhusu kampuni ya vocha kupewa tenda kuagiza cheap sukari toka Brazil na ikamtokea puani.
Kampuni hiyo ya vocha ilihusishwa na mke mdogo wa mtoto wa mtu mkubwq nchini, je tunashuhudia marudio.