Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,350
- 8,837
Acha unafki,we umenunua sukari 1500,au Unakula home hujui hata bei ya chupi?hapa huwezi waona hata kidogo wako busy kujenga ukuta
Acha unafki,we umenunua sukari 1500,au Unakula home hujui hata bei ya chupi?hapa huwezi waona hata kidogo wako busy kujenga ukuta
Nipo home kweli mwezi uliopita nilipotumwa na mzee dukani kununua sukari nilinunua kg 1 kwa Tsh.5000 wiki iliyopita nimenunua kg 1 kwa tsh 2400Acha unafki,we umenunua sukari 1500,au Unakula home hujui hata bei ya chupi?
kama ukiwa na Tsh.5000 mwezi uliopita ulikuwa unaweza kupata kg 1 tu leo ukiwa na Tsh.5000 utapata kg ngapi?? kwamba hapo hamna utofauti mkuukwa hiyo 5000-1500=3500/=
Hapa hakuna unafuu wowote.
lilikuwa ni tatizo ambalo watu walizani wanaweza kuiteteresha serikali MUNGU amekuwa mkubwa, kuwa awamu hii si ya kutetemekaMnatengeneza matatizo wenyewe halafu mnawalaumu ukawa, sijui huwa mnawaza kwa kutumia makalio.
Wewe vipi, umefurahi baada ya kununua 1500?UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
nimeweka bei ya miezi iliyopitaMkuu hesabu uliacha darasa la ngapi? yani wastani wa 2,500 na 5,000 iwe 1,500?
Kwa sasa 2500/=Vipi bado unanunua kwa 3500?? Maana Nyumbu wanabisha huku kwamba sukari haijashuka..
Na wamevuruga watu kweli kweli [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaha magazeti bwana yaani wameandika mahesabu yao ili watuvuruge tu tusielewe ukisoma fasta fasta utafikiri wamesema kilo ni 1500 kumbe sio
Kaanzia sh 900_1500 nadhani mleta mada kasahau hii ni Tanzania labda habari ni ya Kenya [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1500 per kg iyo sukari labda imetoka China na imetengenezwa kutokana na chupa za maji zilizotumika
We unaonekana ni mzito kweli kwenye hesabu hasa za mafumbo, yani kama hesabu ndogo tu ya mtoa post inakushinda kuielewa kweli tuna safari ndefu!Kaanzia sh 900_1500 nadhani mleta mada kasahau hii ni Tanzania labda habari ni ya Kenya [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna sukari ya sh 900 aisee
Mzito kweli kama weweWe unaonekana ni mzito kweli kwenye hesabu hasa za mafumbo, yani kama hesabu ndogo tu ya mtoa post inakushinda kuielewa kweli tuna safari ndefu!
Daaaa umenifurahisha sana aiseeeeeNo sense mwambie awaombe radhi watanzania kwa kuwasababishia usumbufu!!!
Wapi umeambiwa sukari 1500, kuelewa kazi sana.. Umeambiwa upungufu wa bei ni wastani 1500Wewe vipi, umefurahi baada ya kununua 1500?
Wap huko wanauza sugar 1,500/= uniletee hata kila hamsini kwa 2000/UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
Bei ya Sukari nchini imeanza kutengamaa baada ya kushuka kwa wastani wa sh 900 hadi 1,500 kwa kilo kutokana na viwanda kuanza uzalishaji pamoja Serikali kuingiza takribani tani 70,000 kutoka nje ya nchi kufidia upungufu uliyokuwepo.
Utafiti mdogo uliofanywa na gazeti la Mwananchi jijini Dar es Salaam na mikoani unaonesha kiwa sehemu kubwa sukari inauzwa kwa wastani wa sh.2400 kutoka zaidi ya sh.3,500 iliyokuwepo miezi miwili iliyopita.
Kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kunatoa ahuweni kwa Wananchi wengi waliolazimika kutoboa mifuko yao ili kumudu bidhaa hiyo muhimu katika uandaaji wa vyakula mbalimbali pamoja na chai.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi.
Mimi nachoelewa ni kwamba hapo awali tulikuwa tukinunua sukari shilingi 2000 kwa kilo. Baada ya matamko bei imepanda hadi 2300. Vipi hapo, bado sina akili?Wapi umeambiwa sukari 1500, kuelewa kazi sana.. Umeambiwa upungufu wa bei ni wastani 1500