Sio UKAWA acha siasa kwny maslah ya wananchi we familia yako inahudumiwa mpk kiberiti sie tunaonunua ndo tunajua bei!UKAWA watakua wamenuna huko waliko.. Wanatamani watanzania wapate shida ili wao wapate kura 2020
1500 per kg iyo sukari labda imetoka China na imetengenezwa kutokana na chupa za maji zilizotumika
I see 😀Kwenye soko la hisa.....😀😀
hapo sawa nimekuelewa!Kwani wapi palipoandikwa kuwa sukari kilo moja ni sh 1500??
Ni vema ukasoma habari kabla kuanza kuchangia!!
Habari inasema bei ya SUKARI imeshuka kwa wastan wa sh 900 mpaka sh 1500, haisemi kuwa bei ya SUKARI ni sh 1500 laahasha!!
Kama ilikuwa ikiuzwa sh 4000 na sasa inauzwa sh 2500 na maeneo mengine ni 2400, Kuna kupungua kwa bei kwa wastan wa sh 900 mpaka 1500.
ahahahhah kweli kabisaNo sense mwambie awaombe radhi watanzania kwa kuwasababishia usumbufu!!!
Mnatengeneza matatizo wenyewe halafu mnawalaumu ukawa, sijui huwa mnawaza kwa kutumia makalio.hapa huwezi waona hata kidogo wako busy kujenga ukuta
Upo sahihi kabisa, Habari inasema bei ya SUKARI imeshuka kwa wastan wa sh 900 mpaka 1500 lakini vilaza walio wengi wameelewa ndivyo sivyo kwamba bei ya sukari ni sh 1500 [emoji1]Dah... Ile 61℅ ya wasomi inakuhusu [emoji4] [emoji4]
nimecheka sanaBila kutaja UKAWA basi wewe unajiona kama umebanwa na mavi eeenh...
MwehuuhuyualieandikahilogazetNchi gani hiyo na imeshuka lini? Mimi nipo Madale nimenunua sukari Tshs 2500 leo.
WehuuuKimara kuelekea bonyokwa ni 2600tsh/kg , mbona hilo punguzo halijafika... Tusubir tuone hiyo neema...
Umeambiwa bei imeshuka kwa wastan wa sh 900 mpaka 1500,Sasa 3500 mpaka 2400 ni 900 au 1100??
NImenunua sukari week jana kilo 3000 hiyo ya 1500 iko wapi niifuate
Elewa kitu kabla hujabisha maanake hata kama una point haitaleta maana. Hajasema sukari inauzwa 1500/- kasema imeshuka kwa 1500/- yaani kutoka 3500-4000 sasa hivi imeshuka hadi 2400/-.1500 per kg iyo sukari labda imetoka China na imetengenezwa kutokana na chupa za maji zilizotumika