Bei ya sukari nchini yashuka kwa Sh,1500

Sijaona cha kujadili na wewe bwana mdogo.. Endelea kuzungusha mikono na kumwandikia thread fisadi lowasa

Ushajigundua ulipost takataka lazima usepe unaleta upupu kwenye maisha watu funza linafurahia kuishi kwa wastani linashindwa hata kutambua uhalisia wa maisha ukiuliza linakwambia bei imeshuka hapo mwanzo bei ilikuwaje? kwa heri jamii ya funza.
 
Unapoandika jifunze kuweka vituo... Bahati nzuri tu ni kwamba nimeleta post za Bavicha wenzako wakisema wenyewe huko kwao bei zilifika 4000 mpaka 5000.

Hapo juu ya upupu ulioandika kuna wa Dodoma kajibu bei kwao imeshuka kuanzia 3500 mpaka 2300-2400. Kama imekuuma sana saga chupa unywe.. hehehehe BARAZA LA VICHAA CHADEMA
 
anaependa kubadilishana nami nipo moro mjini nataka kurudi dar mimi ni office assistant
Office Assistant leo umepanga meza ya boss vizuri?? Zile copy alizokupa umemtolea au unatumia computer ya ofisi kupiga porojo mitandaoni..
 
Unapoandika jifunze kuweka vituo... Bahati nzuri tu ni kwamba nimeleta post za Bavicha wenzako wakisema wenyewe huko kwao bei zilifika 4000 mpaka 5000.

Hapo juu ya upupu ulioandika kuna wa Dodoma kajibu bei kwao imeshuka kuanzia 3500 mpaka 2300-2400. Kama imekuuma sana saga chupa unywe.. hehehehe BARAZA LA VICHAA CHADEMA

Kwa hiyo watanzania waelekee dodoma kununua sukari angalia pumba unazoleta tena vituo ni smat fon yangu inateleza ipo safi ukija suala la kunywa sijui vipande vya chupa unadhihirisha namna unavyopenda kukaa vibarazani na dada zako wanavyopashana umbea wao hapa unakutana na me jaribu kujua tu upo jamii ya funza tanzania ina zaidi ya mikoa 25 sasa huko simiyu wafuate sukar dodoma unaishi kwa wastani unafurahia uhalisia wa maisha upoje?
 
Office Assistant leo umepanga meza ya boss vizuri?? Zile copy alizokupa umemtolea au unatumia computer ya ofisi kupiga porojo mitandaoni..

unaishi kwa kukalili humu ni jf jombaa na utapanic sana wenzio tunateleza kwenye ganda la ndizi shaaaa mi sipo huko kwenye huo upupu ulioandika hapa na sijawahi kuwa kwenye hicho ulichokiandika hapo.
 
Kwa hiyo watanzania waelekee dodoma kununua sukari angalia pumba unazoleta tena vituo ni smat fon yangu inateleza ipo safi ukija suala la kunywa sijui vipande vya chupa unadhihirisha namna unavyopenda kukaa vibarazani na dada zako wanavyopashana umbea wao hapa unakutana na me jaribu kujua tu upo jamii ya funza tanzania ina zaidi ya mikoa 25 sasa huko simiyu wafuate sukar dodoma unaishi kwa wastani unafurahia uhalisia wa maisha upoje?
Office Assistant sina cha kujadili na wewe.. Akili yako ni kupanga mafaili na kutoa copy..
 
unaishi kwa kukalili humu ni jf jombaa na utapanic sana wenzio tunateleza kwenye ganda la ndizi shaaaa mi sipo huko kwenye huo upupu ulioandika hapa na sijawahi kuwa kwenye hicho ulichokiandika hapo.
Office Assistant tafuta mpuuzi wa kumdanganya.. Akili yangu ni sawa na zako jumlisha na ukoo mzima.

Si Morogoro ulishahama na sasa umehamia hapo Kinondoni?? Vipi ile ATM ya Manyanya sasa inatoa pesa?? Najua Morogoro ulikuwa unakaa wakati ule Mvua ikinyesha umeme unakatika. Sasa Office Assistant hakikisha unamaliza kazi ya boss wako ndio uje kupiga porojo huku..
 
Office Assistant sina cha kujadili na wewe.. Akili yako ni kupanga mafaili na kutoa copy..

Huna cha kuandika mzee na unachokijua lazima upanic tu ukileta upupu lazima ushindwe kuutetea na sipo huko unakolazimisha labda mdogo wako ndo office assistant unafurahia kuishi kwa wastani
 
Office Assistant tafuta mpuuzi wa kumdanganya.. Akili yangu ni sawa na zako jumlisha na ukoo mzima.

Si Morogoro ulishahama na sasa umehamia hapo Kinondoni?? Vipi ile ATM ya Manyanya sasa inatoa pesa?? Najua Morogoro ulikuwa unakaa wakati ule Mvua ikinyesha umeme unakatika. Sasa Office Assistant hakikisha unamaliza kazi ya boss wako ndio uje kupiga porojo huku..

Ushaingia cha kike mzee ndo mana nkakwambia hapa ni jamii forum ndo mana nkakwambia unaishi kwa mazoea na kukalili ila kuupata uhalisia wa mtu ni kazi huna hoja lazima upanic tu utahamisha magoli lakin ukweli utabak kuwa wewe ni jamii ya funza huwezi kukwepa.
 
Hiki kifurushi ni jipu kwa ukulipia 500 unapewa mb 150 wakat mitandao mingine unapata mb 350 hebu jaribuni kuweka usawa hapo.
Yaani kabisaa unataka mimi nijadili hoja na wewe?? Wewe unayepiga kelele na bundle za 500 hahahahahahaha..

Bwana mdogo saka maisha kwanza...
 
Bei ya Sukari nchini imeanza kutengamaa baada ya kushuka kwa wastani wa sh 900 hadi 1,500 kwa kilo kutokana na viwanda kuanza uzalishaji pamoja Serikali kuingiza takribani tani 70,000 kutoka nje ya nchi kufidia upungufu uliyokuwepo.

Utafiti mdogo uliofanywa na gazeti la Mwananchi jijini Dar es Salaam na mikoani unaonesha kiwa sehemu kubwa sukari inauzwa kwa wastani wa sh.2400 kutoka zaidi ya sh.3,500 iliyokuwepo miezi miwili iliyopita.

Kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kunatoa ahuweni kwa Wananchi wengi waliolazimika kutoboa mifuko yao ili kumudu bidhaa hiyo muhimu katika uandaaji wa vyakula mbalimbali pamoja na chai.

Chanzo: Gazeti la Mwananchi.
Labda imeshuka dukani kwa mama yako!
 
Yaani kabisaa unataka mimi nijadili hoja na wewe?? Wewe unayepiga kelele na bundle za 500 hahahahahahaha..

Bwana mdogo saka maisha kwanza...

Cheki funza anavyohamisha magoli nkakwambia unafurahia kuishi kwa wastani na wewe ni jamii ya funza bando kwa siku nanunua bando ya jero napata mb 300 zinanitosha sana kuperuz net sifanyii cafe au kuangalia porn sasa niweke bando ya laki mi ya nini? unamlaumu mbowe na ukawa wakat akili yako finyu
 
ehehehehehe nimlaumu Mbowe kwani yeye ana effect gani hapa nchini bwana mdogo?? Huna cha kujadili na mimi, hatufanani kielimu wala kiuwezo.

Sasa mtu unakaa Kinondoni Manyanya na mateja utaniambia nini cha maana?? hahahahaha kwaheri, I've some business to take care..
 
kutambua kiwango cha elimu ya mtu hapa jf ni ngumu ni funza tu anaweza kufanya hivyo hapa hakuna cv za watu na huenda nimekutupa mbali sna ila huwezi kujua kwa kuwa hapa hakuna uhalisia kwa post unazotoa ni dhahir upo chini ya form four pia jambo lingine umeshindwa kutofautisha kati ya office assistant na office attendant bado unajitapa una elimu poor tanzania!!!
 
Acha mambo ya wastani wewe hesabu zisizo na hualisia,sema hiyo ya 1500 inapatikana wapi mi nikanunue kilo 10 fastafasta
hata wewe huelewi. hiyo 1500 ndio kiasi kilichopungua toka bei ya juu hadi bei ya sasa. ingekua shs 1500 hata mimi ningenunua fasta.
 
Back
Top Bottom