Una uhakika?Series tu hamna jingine
@100%Una uhakika?
Aaah wapiii!!@100%
KumbeAaah wapiii!!
😂😂😂 channel nyingi tu.Kumbe
Unaangaliga nini cha zaidi mpk uunguze maharagwe
Au za ushoga 🤣🤣😂😂😂 channel nyingi tu.
Aisee wewe ndio mimi napenda sana zile makala ID na pia kuna CBS justice halafu ndio nakuja kwenye michezo sasa.Mmmh TV pia ina raha yake ,kuna baadhi ya vipindi havipo Online ,kwa mfano mimi ni mpenzi sana wa Documentary za ID na TLC ,ukienda youtube haupati hata moja ,unachoweza kupata ni zile ambazo zimekuwa streamed na Channel husika youtube.
Yeah zina mafunzo sana ,Bongo Bado sana ,we have a long way to go.Aisee wewe ndio mimi napenda sana zile makala ID na pia kuna CBS justice halafu ndio nakuja kwenye michezo sasa.
Ila jamaa wa ID ukizoea kuwaangalia utaona bongo kwenye investigation safari bado ipo sana
Wakose vipi wakati waneshusha bei? Au huna Dstv huelewi hata bei ya zaman ilikuaje.Kwa hali ya uchumi ya wabongo,watakosa wateja.