Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,619
- 10,711
Mkaburu amekuja kuzinduka jua lishazama ama kumepambazuka!!
Baada ya kampuni ya Multichoice inayomiliki DStv kununuliwa na kampuni ya Canal+ sasa wameamua kuja na vifurushi maalum vya michezo, movie na documentaries. Hii ni baada ya unyonyaji wa miaka mingi waliokuwa wanatufanyia.
Mkipita huko kwenye kurasa zao za mitandao ya jamii wamekuwa wakitoa matangazo ya promo ya “expect more” ikiwa ni kampeni yao mpya vifurushi vipya ambavyo vitazinduliwa hivi karibuni.
Vifurushi hivyo vitakuwa ni Premium, Movies & Series, Sports, Select na Starter.
Vifurushi hivyo vitatengwa kwenye makundi maalum, mfano kifurushi cha Sports kwa sie watu wa mpira,
Utapata chaneli kama
SS Football Plus - Uefa
SS Premier League
SS Laliga
SS Kick Off
SS Africa
SS Action
SS Extra
Hapo utakuta chaneli zote za michezo hasa za football kwenye bei moja. Yaani Uefa na EPL chaneli zake zipo kwenye package moja.
Japo bado hawajata bei, ila za chini ya kapeti wanasema bei itakuwa 74,000/= ngoja tuine itakuaje.
DStv wamekuja kushtuka jua limezama, kutokana na maendeleo ya teknolojia.
Siku hizi watu wanalipia wifi nyumbani wanatazama mechi mitandaoni kwenye android tv, laptops, simu na tablets.
Mambo ya kuweka madish kwenye mabati ni zama zinazoenda kufutika miaka michache ijayo.
Hivyo ili afanikiwe na hivi vifurushi vyake vipya atakavyozindua siku chache zijazo, aweke bei rafiki kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
Kinyume na hapo atakuwa anapoteza muda wake tu, teknolojia haipo tena upande wake kwa sasa.
Adios Amigos.