Tetesi: Bei mpya za vifurushi vipya vya DStv

Tetesi: Bei mpya za vifurushi vipya vya DStv

Kwa hali ya uchumi ya wabongo,watakosa wateja.
Na pia hadhi ya subscription TV imeshuka sana, watu wanachaguo la IPV.
Kwa bei hiyo Premium yao, imewakata.
Sioni sababu ya kulipia kiasi chote hicho ili hali TV inaangaliwa masaa machache kwa siku
 
Kwa quality ya DSTV, angeonesha ligi ya Bongo, angewachukua Watanzania wengi sana.

Wale jamaa upande wa tamthilia wapo vizuri, tamthilia zao zina quality kubwa, pure HD, Sound Quality iko juu sana.
DSTV yuko bora kila idara, angechukua na ligi ya Bongo, basi Azam soko lao lingekua kwishney.

Azam hata camera zao mbofu mbofu tu.
Ukungu mwingi, Lol 😂😂😂
 
Nipe bei zao, nione lini naweza kuikamata hiyo.
4f143b42-4e9c-4970-85d7-ca1550baed47.jpeg
 
Inawezekana ikawa kweli na ukawa ni mpango wa mmiliki mpya wa multichoice ambaye ni canal + s.a kurudisha wateja waliopotezwa na dstv na bei zao za ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom