Behind every successful man, there is a wise woman

Kuna wanaume ambao hawabebeki wala hawasukumiki!Mafanikio ya watu wawili yanategemea hao watu wawili kua kwenye mstari mmoja!!Weakness zipo ila zinakabilika...tatizo ni pale mtu anapokua anazifahamu weakness zake ila hataki kuzikabili!Hapo hata mwanamke afanye nini hawezi kukufanikisha bila ushirikiano!
 
he madhaifu yako beba huko
mie siwezi madhaifu daily
likiisha dhaifu hili
unazua dhaifu lile
loool mi ntaweza wapi mie
kukonda tu na madhaifu ya mtoto wa mwanamke mwenzangu
huyo ni mtu mzima mwenzangu...............wan jf msinifiki rie vibaya mi ni mwadhirika wa ndoa

Pole mama/dada, unajua nimekumbuka wimbo mmoja wa bahati bukuku "Heri mwathirika wa ukimwi kuliko mwathirika wa ndoa"
Lakini bado Mungu anakupenda, wala usikate tamaa, hapo ulipofikia mkabidhi Mungu njia zako na moyo wako, naye atakutendea kwa haki.

Happy new Wakuchakachua!!
 
Inategeme ndugu yangu. Wanaume wenyewe hawa wa kizazi kipya! Ni kweli mwanamke ana nafasi kubwa ya kumbadilisha mme tatizo cku hizi tumejuana mwezi tu tunataka kuwekana ndani. By the time unajua weaknesses za mwenzako unakuwa ushachoka unafungasha virago.
Mafanikio yatakuja sa ngapi.
Sio inategemea.... Every wise woman has a very steady home, relationship and family!!!
 
We should learn to live solitary life! Independent men and women are successful as they work for their ambitions and visions!
 
mwanaume mlev..akiambiwa haelewi
pesa zooooooooote anapombekaaa
stl anandai anakupenda hataki kukuacha bt uon pesa zake zoooooooote pombe
utamebebaje?mtafanya maendeleo sangap?
au ndo mwanamke anaweza tu kuvumilia?
KUNA MIZIGO HAIBEBEK ATA KM WEWE NI DADAKE SOLOMON KWA BUSARA A
 
Ni kweli ni kazi kumbadilishe lakini Je? utamtukana kila siku na kumfanya nyumbani apaone gerezani hata kurudi inakuwa tabu anaona akapotezee bar au utamshauri na kujaribu kumuonesha madhara ya pombe, au hata kujaribu kumshauri anywee nyumbani??? Kweli ni kazi ila unaweza ukapunguza makali..
 
daily wwaimba wimbo wa mpz punguza pombe lakin ndo anaongeza chupa
wampa plan za kufanya bt akipata ela ananyweaaaa2
unaongea unaongea unazungumza bt haelewi wala hatambui...uku sigara uku sgara 24 7 ahh namwoneaga huruma aunt yangu jaman yan nina anko chapoooooooooooooombe uyo balaaa
ant analia daily kamshaur anko kashndwa katafuta watu waongee nae wapiii ..alikuwa anatafuta dawa za mahosptalin au ata za kienyeji HERBAL ampe labda ztamsaidia..bt uyo aunt ni decent kinyama THOU alimkuta anakunywa lakin si kwa kiwango iki anasaka dawa tu ampe
 
Mamy huyo chapombe weka pembwni vuta mwingine alipe mpaka ada za watoto shule na bili za saloon
 
mwanaume mlev..akiambiwa haelewi
pesa zooooooooote anapombekaaa
stl anandai anakupenda hataki kukuacha bt uon pesa zake zoooooooote pombe
utamebebaje?mtafanya maendeleo sangap?
au ndo mwanamke anaweza tu kuvumilia?
KUNA MIZIGO HAIBEBEK ATA KM WEWE NI DADAKE SOLOMON KWA BUSARA A
mama... umkielewa kichwa cha sredi hii?! mtoa mada kamtazama mwanaume aliofanikiwa... na sio asieshaurika wala kueleweshwa!
 
Mamy huyo chapombe weka pembwni vuta mwingine alipe mpaka ada za watoto shule na bili za saloon

Haaa haaa kwangu apana
kuna aunt yangu ndo ana i shda
ahh umri u kuanza kuangaika na machapombe nan kasema?
so muda wa kulea u nimuda wangu wa kudeka labda aje achange tukishaingia ndoani +kanizalisha mitoto kumi iv lakin iv iv apana..
...NTAMVUMILIA AKIUMWA,HANA KAZ HANA PESA lakin kuvumilia ujinga km u ahh apana...
....ntazungumza nae bt km hanielewi ntamuacha na starehe zake na atafute ao atakaoweza kulala nao bar wasiojali maendeleo +gud tym 24 7 wakat hm mna matatizo kibaaaaaaaaaaaaoooo
 
mama... umkielewa kichwa cha sredi hii?! mtoa mada kamtazama mwanaume aliofanikiwa... na sio asieshaurika wala kueleweshwa!

baba umefatilia flow yangu ya chat kwa mama bg na voice sof no reason?
asante lakin umejitaid kunikumbusha rozar msikitini..
niaje lakin umekula sweeeeetie?avatar yako mtoto wako mzuri ana adabu nimempnda....
 
asante kwa kunikumbusha sweetito, ngoja nkakandamize nguna(ugali)... lakini majicho yako...mhhh yaniuaua.....!!:redfaces:
 
Mamy huyo chapombe weka pembwni vuta mwingine alipe mpaka ada za watoto shule na bili za saloon

Lakini unakubaliana na mimi kwamba mtu unaweza ukawa uko poa ila stress na kutokuelewana na mwenzio kukapelekea ukatumbukia kwenye matatizo.......... (mfano mwenzako anajua fika kipato chako lakini anataka saloon kila siku na maisha ambayo sio size yenu).

Pia nadhani kama mwenza wako hafai; basi hata iweje hauwezi fanikiwa, au hata ukifanikiwa basi mwenza wako angekuwa poa basi ungefanikiwa zaidi
 
asante kwa kunikumbusha sweetito, ngoja nkakandamize nguna(ugali)... lakini majicho yako...mhhh yaniuaua.....!!:redfaces:

nsubiri twende wote bwana...au km vp niagizie ugali+samak wa kukaanga+kachumbari na kijimchicha kdg pemben naja..
 
Lakini unakubaliana na mimi kwamba mtu unaweza ukawa uko poa ila stress na kutokuelewana na mwenzio kukapelekea ukatumbukia kwenye matatizo.......... (mfano mwenzako anajua fika kipato chako lakini anataka saloon kila siku na maisha ambayo sio size yenu).

Pia nadhani kama mwenza wako hafai; basi hata iweje hauwezi fanikiwa, au hata ukifanikiwa basi mwenza wako angekuwa poa basi ungefanikiwa zaidi

kweli 2pu.
 
Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote……

Kwahiyo kina dada wenzetu…. tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai… huenda wewe ndio tatizo…… au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)

Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family…. Lakini Pia wanasema Mwanamke ni Shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.

Mkuu unachosema ni kweli lakini kumbuka kuna wanaume hawa bebeki. Pia anajua kabisa mke ni mchakarikaji lakini hamna anacho msaidia hata ushauri yani anakufanya we ndo jembe lake na kujidai kwa wanaume wenzie mke wangu faita kishenzi. Ndo maana unaambiwa ukiwa na marafiki wanaokuzidi kiuwezo kidogo kipesa maarifa pengine hata elimu hata wewe nirahisi kua juu, ukiwa nawatu mnao lingana utabaki ulivyo na ukiwa na watu unaowazidi sana watakudidimiza chini. Hata kwenye swala ulongea ni hivyo hivyo, mume mwingine hana msaada zaidi ya ubinafsi na roho ya umaskini inayo mtawala, akikupa hata elfu kumi ataongea wee mpaka basi au akichukia anakunyang'anya alivokupa, huyo anaweza kubadilikaje jamani. Mkiwa hamna anakua mpole na adabu tele, ukimpa idea ikakubali anakuficha maendeleo anajiona kidume cha impala wanawake 30 kidogo. Kwa wanaonelewa nikweli kabisa hilo ulosema.
 
Back
Top Bottom