Sio inategemea.... Every wise woman has a very steady home, relationship and family!!!
Yes, but she is better alone than under a stubborn husband. Wanaume wengine wabishi kiasi kwamba wanadumaza maendeleo ya familia.
Sio inategemea.... Every wise woman has a very steady home, relationship and family!!!
Kwa hiyo una advocate for single parents?? Sio kwamba ni vibaya naulizan tu sababu if you can why not.We should learn to live solitary life! Independent men and women are successful as they work for their ambitions and visions!
Mkiwa hamna anakua mpole na adabu tele, ukimpa idea ikakubali anakuficha maendeleo anajiona kidume cha impala wanawake 30 kidogo. Kwa wanaonelewa nikweli kabisa hilo ulosema.
Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote……
Kwahiyo kina dada wenzetu…. tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai… huenda wewe ndio tatizo…… au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)
Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family…. Lakini Pia wanasema Mwanamke ni Shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.
Gender yako tafadhali na hii wengi inawakilisha asilimia ngapi na study yako umeifanyia wapi?Yes, but she is better alone than under a stubborn husband. Wanaume wengine wabishi kiasi kwamba wanadumaza maendeleo ya familia.
Mchungaji hapo ulimaanisha special au ninasoma vibaya?Mkuu kwangu mimi naona behind every successful man there is a surprised woman
Mkuu kwangu mimi naona behind every successful man there is a surprised woman
Mkuu naomba ufafanue kidogo, yaani ni kwamba huyu dada atakuwa anashangaa maendeleo yako au?
Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote
Kwahiyo kina dada wenzetu . tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai huenda wewe ndio tatizo au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)
Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family . Lakini Pia wanasema Mwanamke ni Shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.
Mhh mwanaume anaefanikiwa ni yule aliye ambitious na mtaftaji haswaa,ht km wife galasa ye yumo,ukipata a man ambitionless unafkr utambadilisha??