Behind every successful man, there is a wise woman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Behind every successful man, there is a wise woman

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VoiceOfReason, Dec 13, 2010.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote

  Kwahiyo kina dada wenzetu tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai huenda wewe ndio tatizo au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)

  Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family…. Lakini Pia wanasema mwanamke ni shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Inategeme ndugu yangu. Wanaume wenyewe hawa wa kizazi kipya! Ni kweli mwanamke ana nafasi kubwa ya kumbadilisha mme tatizo cku hizi tumejuana mwezi tu tunataka kuwekana ndani. By the time unajua weaknesses za mwenzako unakuwa ushachoka unafungasha virago.
  Mafanikio yatakuja sa ngapi.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kila mtu anaweaknesses sasa hata huko utakapoenda utakuta matatizo je utahama mara ngapi si bora ukabaki pale na kuzifanyia kazi hizo weaknesses
   
 4. J

  J Lee Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mi nakuunga mkono ni kwel kabisa ili mwanaume aweze kuwa na mafanikio anahtaji kuwa na mke mwenye hekima na busara.
   
 5. J

  J Lee Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa katika mahusiano lazima kila mmoja azitambue weakness za mwenzake na kuzikubali na kurekebishana. pia kumuona mwenzako mbaya kwa weakness zake hiyo nayo ni weakness pia, so tunapaswa kuchukuliana madhaifu yetu kila mmja.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nasema kina dada kuliko kulalamika kuhusu partners wao na kutafuta mwingine au kumuongezea stress kwa malalamiko ni bora wamsome mwenza wao na kujaribu kuwa rafiki na sio kuwa strangers wanaoshare kitanda
   
 7. J

  J Lee Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  La msingi tunapaswa kutambua kuwa mke au mume sahihi ni yule aliye tayar kuwa na wewe ktk hali yoyote na sio yule asie na kasoro. kwa sabab hakuna asiye na kasoro.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa Mkuu
  "Perfect Love is not Finding a Perfect Partner, but Loving an Imperfect one Perfectly"
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Practically imposible!
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Its comes from the notion that nobody is perfect therefore unless you agree me there is no such thing as perfect love. Otherwise the only way around it is to love someone with all their imperfections.
   
 11. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mh jamani, wapo watu very wise and admirable lakini wake/waume zao ni vimeo hadi unashangaa...
   
 12. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh yani minecheka kwa sauti ya juu mpaka jamii iliyonizunguka ikanishangaa
  we haka kamsemo ka shingo nani kasema jamani, mara tuitwe michomoko mara shingo mara moyo mmmh sasa bado dekio tu maana vingastu ni sie na kwa sasa jina linalo vuma ni KINGAMUZI...
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Wisdom ina categories nyingi..... mfano mzuri ni Bill Clinton alivyopata ile kesi yake na Monica... ni kwamba mke wake alistand by his man na in public alikuwa anamtetea lakini ndani Jamaa alipewa faini ya kulala kwenye kochi for some time. Hapa point yangu ingekuwa Hilary angekuwa mapepe nayeye angeanza kulalamika kwenye vyombo vya habari na kumuangamiza zaidi mume wake.

  Je najiuliza mke wa Tiger Woods angekuwa Hilary na Mke wa Bill angekuwa mke wa Tiger kungekuwa na different outcomes ???
   
 14. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  he madhaifu yako beba huko
  mie siwezi madhaifu daily
  likiisha dhaifu hili
  unazua dhaifu lile
  loool mi ntaweza wapi mie
  kukonda tu na madhaifu ya mtoto wa mwanamke mwenzangu
  huyo ni mtu mzima mwenzangu...............wan jf msinifiki rie vibaya mi ni mwadhirika wa ndoa
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kuna watu hawabebeki.... na wana visa vya ajabu ajabu inakuwa vigumu kuvumilia..... lakini wengine wanaume ni wakawaida wana weaknesses ndogo ndogo lakini badala ya wake zao kuwasaidia na kuwaweka sawa wanazidi kuwasimanga na kuwaongezea stress. Wanawake ni viumbe walioumbwa na huruma.... ni rahisi kusamehe, na kama wakitumia busara wanweza kumbadilisha mtu asiyefaa akawa mtu wa mafanikio mfano unakuta mtu anakazi ambayo sio nzuri na haina kipato sana, kuliko mwanamke kumsimanga kwamba jamaa mvivu anaweza kumpa moyo na ushauri kwamba atafute kazi bora au afanye bidii....
   
 16. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  In principle nakubaliana na wewe, japo issue ya Woods na Clinton sidhani kama zinaweza kulinganishwa... Woods alizidi, unless ni nymphomaniac so achukuliwe kama mgonjwa.

  Pia niliposema "vimeo" it included ulevi kupindukia, kutohudumia familia, ugomvi etc. Kwa kweli kuwa watu wamebeba mizigo mikubwa maishani mwao...
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  If you can avoid many imperfection (patner) avoid sooner than late

  Go for least imperfect

  Imperfection is a relative term though..
   
 18. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This Topic is very good i wish all members could bring such topics here in JF so that every one could lerab from here, cheers to VoiceOfReason for your Topic!
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Behind Every Stupid and unresponsible man..............................there is.......................
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Depends kama kuna mdau mmoja hapo juu alisema kuna mizigo mingine haibebeki mtu anakuwa useless kabisa.

  Lakini ukweli ni kwamba kama ndoa nyumbani inasumbua hata ukiwa jasiri vipi lazima effect zake zitakwenda kwenye kazi zako nyingine.
   
Loading...