• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Huu msemo Behind every successful man there's a woman behind UFUTWE ni uongo uliokubuhu

py thon

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
2,470
Points
2,000
py thon

py thon

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2016
2,470 2,000
Behind every successful man there's a woman behind them


Leo imenibidi nizungumzie msemo huu maarufu ambao unapendwa sana kusemwa pale mwanaume anapofanikiwa kwenye maisha "Eti behind every successful man there's a woman behind.

1.Huu msemo naupinga sana wanaume hufanikiwa bila sapoti ya mwanamke ,msemo huu ungesomeka behind every successful woman there's a man behind ningesapoti 100%....vijana wengi wa kiume wana hustle na kupitia magumu mengi mpaka anafanikiwa na akisha fanikiwa ndipo anapopata mwanamke kama unabisha waulize vijana wengi watakuambia subiri nipate pesa mbona nitaheshimika ,mbona nitampata yeyote yule nk na kwasasa hakuna mwanamke akae na kapuku mpaka huyo kapuku afanikiwe wanawake wa sasa wanata ready made mwanaume awe vizuri kwahiyo msemo huu hauwezi kuwa applicable.

2.kijana wa kiume mfano wale wasiobahatika kupata elimu kubwa hutaabika kutafuta kazi ya kumpatia rizki hapo atajiingiza kwenye Sanaa ata-hustle huku akiishi gheto na washikaji mpaka akabahatika kutoboa na kuwa na maisha nafuu au mazuri na hapo atamtafuta msichana ampendaye au kijana kaingia kwenye mpira ,au kazi yeyote ile au biashara akiwa zero mpaka akiwa 100 au 70 ndio mwanamke hujitokeza .

Wapo waliopitia elimu ame-hustle mpaka chuo na siku zote msichana anaweza kupatiwa maksi za bure na lecture ,akamlegezea macho na akapata ila mwanaume maisha yake yote ni hustling mpaka anamaliza chuo na kuanza kusaka kazi hapo atakaa mtaani miaka kadhaa ila msichana kuna privilege wanakuwa nayo fasta kazi anapewa ila mwanaume ata hustle mpaka kazi anapata .

Kwahiyo mafanikio ya mwanaume hayana behind Mwanamke ni uongo tu ,mwanamke anaibuka kipindi cha mafanikio


3.MAMA ni mwanamke na anahusika 2% ya mafanikio ya Mwanaume kwa fadhila ya kumlea na kumsimamia mpaka pale Mtoto wa kiume akisha balehe na kufikisha miaka 18 kwa huku mjini ila vijijini miaka 16.,na sapoti zinginezo na Mtoto wa kiume akiwa nyumbani kuanzia miaka 20 asiwe na shughuli atasakakwa ila wa kike yeye kila kitu kuna mtu nyuma wa kumsapoti ,hata mwanaume akitoka kwao na kwenda kutafuta maisha mjini tuseme Dar anamuacha mama huku ata hustle ili apate mafanikio arudishe fadhila nyumbani


Huu msemo

Behind every successful man there's a woman behind naomba ufutwe au ubadilishwe Behind every successful woman there's a man behind


97% ya wanawake wanaoendesha magari wamenunuliwa na wanaume na 3% wamenunua wao ila 100% ya wanaume wanaomiliki magari wamenunua wao

90% ya waajiriwa wanawake wamewekwa kwa upendeleo kazini

98% wamewapata wenzi wao waliofunga nao ndoa baada ya kupata mafanikio

100% ya wanawake wameolewa na wanaume waliopata mafanikio

0% ya wanawake wametoka pamoja na wanaume from nothing to everything kwa dunia ya sasa.

Mama anachangia 2% tu ya mafanikio ya mwanaume
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
3,021
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
3,021 2,000
Huo msemo uko sahihi, sema context tu ndio inakuchanganya! Behind every successful man there is a woman. Kwa sababu hakuna mwanamke anaemtaka mwanaume alie fukara(broke).
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
14,620
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
14,620 2,000
mimi napambana kivyangu, heshima iwepo
 
Mapensho star

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
2,222
Points
2,000
Mapensho star

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
2,222 2,000
Hii hoja ina utata kidogo kwanza nataka nijue huyu mwanamke anayezungumziwa ni yupi ni lazima awe mke?
 
Daudi1

Daudi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
6,824
Points
2,000
Daudi1

Daudi1

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
6,824 2,000
Msemo uko poa, yaani nyuma ya mwaume aliyefanikiwa yupo mwanamke, maana yake mwanaume ambaye hana mafanikio nyuma yake kiko kivuli chake hapo umeelewa? Zisake tuu nyuma yako watakaa wanawake wakijifanya kukushauri maisha
 
A

anophelesi

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Messages
866
Points
1,000
A

anophelesi

JF-Expert Member
Joined May 25, 2012
866 1,000
Hiyo misemo ni zao la slogan za siasa uchwara.
 
kadovela

kadovela

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
463
Points
1,000
kadovela

kadovela

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
463 1,000
chunguza mfumo wa maisha kwenye shule za bweni jinsia moja na mchanganyiko. penye mchanganyiko wanaume kila kitu wanajali, usafi, kufaulu kuliko wanawake, kufanya mambo yatakayompa sifa kuliko wote ile awe kivutio kwa wanawake. njoo za boys tupu, watu hawaogi hata mwezi, wanasoma ili tu hasifeli wastani, ubunifu unakuwa mdogo kwani mwanaume mwenzio akusifie ili iweje. ila kama msemo ulilenga kwamba huyo mwanamke ni wife basi wamekosea japo bibilia inasema apatae mke amepata kitu chema na kitu chema chaweza kukupa mafanikio
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
11,652
Points
2,000
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
11,652 2,000
Dah....na nyuma ya mwanaume aliyeshindwa yupo nani?
 
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
5,852
Points
2,000
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2015
5,852 2,000
Mwanamke anaweza kuwa sababu ya mafanikio ya mwanaume kama atakua sahihi! Pia ataweza kumdestroy mwanaume kama hatakua sahihi... na hapo ndio ule msemo "Kosea vyote ila usikosee kuoa"
 
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
5,852
Points
2,000
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2015
5,852 2,000
Mwanamke anaweza kuwa sababu ya mafanikio ya mwanaume kama atakua sahihi! Pia ataweza kumdestroy mwanaume kama hatakua sahihi... na hapo ndio ule msemo "Kosea vyote ila usikosee kuoa"
 

Forum statistics

Threads 1,402,694
Members 530,969
Posts 34,402,487
Top