Msemo " Behind every man's success there is a woman" umewaponza watu wengi sana.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,025
2,000
Huu msemo ni ' code' ambayo unatakiwa kuifungua kwanza kabla ya kuifanyia kazi.

Kuna watu wamekimbilia kuoa ili wafanikiwe kimaisha kwa sababu ya msemo huo.

But je wamefanikiwa? Wewe ulie oa umefanikiwa ? Najua unaweza kuja na blah blah like " Definition ya success is subjective and stuff like that" Ni kujidanganya.

Mwanamke anatakiwa akukute tayari umeshafanikiwa.

Mwanamke hajaumbwa ku hustle. Ndio maana Mungu alimpa kwanza Adam Eden yenye kila kitu kisha baadae ndo akampa Eva.

Mwanamke anakuja kwako kama zawadi ya wewe kufanikiwa.

She come to you just to add value to ur arleady achieved success na sio kukusaidia kufanikiwa. Hiyo sio kazi yake.

Msemo huu unamaanisha nini kwangu?

Nyuma ya mafanikio ya kila mwanaume yupo mwanamke kwangu ina maanisha mengi. Baadhi ya mambo hayo ni kama ifuatavyo:

1. Mwanaume rijali anae jitambua anafahamu kuwa ili aweze kupata mwanamke wa maana na kuishi nae vizuri ni lazima awe na pesa na mali za kutosha kwa hiyo atapambana kupata pesa na mali ili aweze kukidhi vigezo vya kupata mwanamke wa ndoto zake.

Kwa hiyo mtu huyu akifanikiwa tunayo haki ya kusema nyuma ya mafanikio yake kuna mwanamke.

2. Mwanamke anae zungumziwa hapo sio " physical". Ni spirit. Yani " woman spirit" Ukifanikiwa ku i adopt na ku i apply spirit ya mwanamke katika harakati za maisha yako basi ur likely to be successful.

What am i talking about ?

1. Wanawake wapo very very selfish ( u dont need my explanation about this fact )

Huwezi kufanikiwa katika maisha haya kama wewe sio selfish. Ukiwa selfish huwezi kutapanya pesa zako kijinga jinga etc

2. Women are incubators and multipliers by nature. Hata Dr. MYLES Monroe aliwahi kuzungumza kuhusu nature hii ya wanawake.

U give her a sperm after nine months she gives u a baby.

U give her a house to live in and after sometimes she gives u a home. Etc etc.

In ur hustles unatakiwa kuwa an incubator and a multiplier like women.

3. Wanawake hawakai wala kutulia sehemu ambayo haina pesa. Women are not comfortable with a guy who has no money.

Yupo na Juma kwa sababu Juma ana pesa. Siku Juma akiishiwa basi atahamia kwa Paulo kwa sababu sio nature yao kukaa kwenye shida.

In ur hustles unatakiwa pia ku adopt this spirit but in a very positive way.

How comes una hangaika kufanya biashara hiyo hiyo miaka nenda miaka rudi wakati haikulipi?

Ur not a tree achana nayo hamia kwenye biashara nyingine ambayo inalipa zaidi. " Be like a bitch"

Apply the spirit of the woman thats behind ur success.

Wanawake wanasema "Ukiona mwanaume hana pesa au hakupi pesa basi huyo sio mwanaume sahihi " coz to them mwanaume alie kamilika lazima awe na pesa.

Na hii kwa sababu women are selfish by nature na siku zote hutaka kukaa sehemu wanayo pata faida.

Kwako mwanaume " Ukiona unafanya biashara halafu haikulipi basi jua biashara hiyo sio sahihi, achana nayo na tafuta biashara nyingine itakayo kulipa, kwa sababu kama.biashara haikulipi maana yake ni kwamba hiyo sio biashara sahihi. Be like women.

How comes unaendelea kung'ang'ania kuhustle kwenye mji huo huo au nchi hiyo hiyo miaka nenda miaka rudi wakati hupati breakthrough?

Why cant u be like women? Mwanamke akiona mwanaume wake hana pesa tena anahamia kwa mwanaume mwingine mwenye pesa.

Wewe unalalamika Tz biashara hazilipi but u still hustling in Tz. Why dont u shift ur hustles to another country? Go to Zambia, Kenya, South Africa, Dubai etc.

The same apply at regional level. Upo una hustle Dar biashara imekuwa ngumu kwa nini usijaribu mkoa mwingine ambao una amini mambo yapo vizuri zaidi. Nenda Mwanza, Kahama, Geita, Tunduma etc.

4. Mwanamke hata kama anakaa na mwanaume ambae ana hela hela akisikia sehemu kuna mwanaume ana pesa nyingi zaidi basi atafanya juu chini hadi ampate mwanaume huyo as long as ana amini ana vigezo vya kumnasa mwanaume huyo.

Somo kwa wanaume: Usiridhike na kidogo unacho kipata. Ukisikia sehemu kuna fursa ya kupata hela basi nenda kajaribu bahati yako as long as una amini una uwezo wa kuchekecha unufaike na fursa hizo.

Kwa mfano upo Dar lets say unamiliki kampuni ya Clearing and Forwarding halafu ukasikia Kahama kuna migodi imegunduliwa na watu wananunua mashimo na kupiga hela. Kwanini usiende na wewe Kahama kujaribu bahati yako? Be like bitches.

Vipo vingi sana vingine unaweza kuongezea mwenyewe.

MISEMO MINGI YA WAHENGA ILIKUWA NA CODES NYINGI SANA , BAHATI MBAYA VIJANA WA KIZAZI HIKI WE HAVE LEARNT THE OPPOSITE WAY.

KWA MFANO MSEMO " WANAWAKE NI KAMA WATOTO " KUNA WATU HUWA WANAAMINI WANAWAKE NI KAMA WATOTO KWA MUKTADHA WA AKILI NA UFAHAMU. KWAMBA ETI WANAWAKE WANA AKILI KAMA ZA WATOTO..

WAHENGA HAWAKUMAANISHA HIVYO. WALIVYOSEMA WANAWAKE NI KAMA WATOTO WALIMAANISHA UNAPOKUWA UMEMUOA MKE WAKO BASI MKE WAKO HUYO ANAKUWA KAMA MTOTO WAKO. MTOTO WAKO HATAKIWI KUWAZA ATAKULA NINI, ATAVAA NINI AU ATALALA WAPI ETC. WEWE KAMA BABA YAKE NDIO UNAE TAKIWA KUWAZA KWA NIABA YAKE. KWA UFUPI WALIMAANISHA MKE WAKO ANATAKIWA KUTUNZWA, KULINDWA NA KUPENDWA KAMA MTOTO. SASA WEWE ENDELEA KUAMINI " BEHIND EVERY MAN SUCCESS THERE IS A WOMAN " KWA MUKTADHA HUO HUO.
 
Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,635
2,000
Na hawa wapenda misemo ya kizungu ndio huwa yana wakuta ya kuwakuta hukitumia misemo yetu ya kiswahili huwezi kukuta ujinga huo
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
529
500
Huu msemo ni ' code' ambayo unatakiwa kuifungua kwanza kabla ya kuifanyia kazi.

Kuna watu wamekimbilia kuoa ili wafanikiwe kimaisha kwa sababu ya msemo huo.

But je wamefanikiwa? Wewe ulie oa umefanikiwa ? Najua unaweza kuja na blah blah like " Definition ya success is subjective and stuff like that" Ni kujidanganya.

Mwanamke anatakiwa akukute tayari umeshafanikiwa.

Mwanamke hajaumbwa ku hustle. Ndio maana Mungu alimpa kwanza Adam Eden yenye kila kitu kisha baadae ndo akampa Eva.

Mwanamke anakuja kwako kama zawadi ya wewe kufanikiwa.

She come to you just to add value to ur arleady achieved success na sio kukusaidia kufanikiwa. Hiyo sio kazi yake.

Msemo huu unamaanisha nini kwangu?

Nyuma ya mafanikio ya kila mwanaume yupo mwanamke kwangu ina maanisha mengi. Baadhi ya mambo hayo ni kama ifuatavyo:

1. Mwanaume rijali anae jitambua anafahamu kuwa ili aweze kupata mwanamke wa maana na kuishi nae vizuri ni lazima awe na pesa na mali za kutosha kwa hiyo atapambana kupata pesa na mali ili aweze kukidhi vigezo vya kupata mwanamke wa ndoto zake.

Kwa hiyo mtu huyu akifanikiwa tunayo haki ya kusema nyuma ya mafanikio yake kuna mwanamke.

2. Mwanamke anae zungumziwa hapo sio " physical". Ni spirit. Yani " woman spirit" Ukifanikiwa ku i adopt na ku i apply spirit ya mwanamke katika harakati za maisha yako basi ur likely to be successful.

What am i talking about ?

1. Wanawake wapo very very selfish ( u dont need my explanation about this fact )

Huwezi kufanikiwa katika maisha haya kama wewe sio selfish. Ukiwa selfish huwezi kutapanya pesa zako kijinga jinga etc

2. Women are incubators and multipliers by nature. Hata Dr. MYLES Monroe aliwahi kuzungumza kuhusu nature hii ya wanawake.

U give her a sperm after nine months she gives u a baby.

U give her a house to live in and after sometimes she gives u a home. Etc etc.

In ur hustles unatakiwa kuwa an incubator and a multiplier like women.

3. Wanawake hawakai wala kutulia sehemu ambayo haina pesa. Women are not comfortable with a guy who has no money.

Yupo na Juma kwa sababu Juma ana pesa. Siku Juma akiishiwa basi atahamia kwa Paulo kwa sababu sio nature yao kukaa kwenye shida.

In ur hustles unatakiwa pia ku adopt this spirit but in a very positive way.

How comes una hangaika kufanya biashara hiyo hiyo miaka nenda miaka rudi wakati haikulipi?

Ur not a tree achana nayo hamia kwenye biashara nyingine ambayo inalipa zaidi. " Be like a bitch"

Apply the spirit of the woman thats behind ur success.

Wanawake wanasema "Ukiona mwanaume hana pesa au hakupi pesa basi huyo sio mwanaume sahihi " coz to them mwanaume alie kamilika lazima awe na pesa. It is not even an exception.
Na hii kwa sababu women are selfish by nature na siku zote hutaka kukaa sehemu wanayo pata faida.

Kwako mwanaume " Ukiona unafanya biashara halafu haikulipi basi jua biashara hiyo sio sahihi, achana nayo na tafuta biashara nyingine itakayo kulipa, kwa sababu kama.biashara haikulipi maana yake ni kwamba hiyo sio biashara sahihi. Be like women.

How comes unaendelea kung'ang'ania kuhustle kwenye mji huo huo au nchi hiyo hiyo miaka nenda miaka rudi wakati hupati breakthrough?

Why cant u be like women? Mwanamke akiona mwanaume wake hana pesa tena anahamia kwa mwanaume mwingine mwenye pesa.

Wewe unalalamika Tz biashara hazilipi but u still hustling in Tz. Why dont u shift ur hustles to another country? Go to Zambia, Kenya, South Africa, Dubai etc.

The same apply at regional level. Upo una hustle Dar biashara imekuwa ngumu kwa nini usijaribu mkoa mwingine ambao una amini mambo yapo vizuri zaidi. Nenda Mwanza, Kahama, Geita, Tunduma etc.

4. Mwanamke hata kama anakaa na mwanaume ambae ana hela hela akisikia sehemu kuna mwanaume ana pesa nyingi zaidi basi atafanya juu chini hadi ampate mwanaume huyo as long as ana amini ana vigezo vya kumnasa mwanaume huyo.

Somo kwa wanaume: Usiridhike na kidogo unacho kipata. Ukisikia sehemu kuna fursa ya kupata hela basi nenda kajaribu bahati yako as long as una amini una uwezo wa kuchekecha unufaike na fursa hizo.

Kwa mfano upo Dar lets say unamiliki kampuni ya Clearing and Forwarding halafu ukasikia Kahama kuna migodi imegunduliwa na watu wananunua mashimo na kupiga hela. Kwanini usiende na wewe Kahama kujaribu bahati yako? Be like bitches.

Vipo vingi sana vingine unaweza kuongezea mwenyewe.

MISEMO MINGI YA WAHENGA ILIKUWA NA CODES NYINGI SANA , BAHATI MBAYA VIJANA WA KIZAZI HIKI WE HAVE LEARNT THE OPPOSITE WAY.

KWA MFANO MSEMO " WANAWAKE NI KAMA WATOTO " KUNA WATU HUWA WANAAMINI WANAWAKE NI KAMA WATOTO KWA MUKTADHA WA AKILI NA UFAHAMU. KWAMBA ETI WANAWAKE WANA AKILI KAMA ZA WATOTO..

WAHENGA HAWAKUMAANISHA HIVYO. WALIVYOSEMA WANAWAKE NI KAMA WATOTO WALIMAANISHA UNAPOKUWA UMEMUOA MKE WAKO BASI MKE WAKO HUYO ANAKUWA KAMA MTOTO WAKO. MTOTO WAKO HATAKIWI KUWAZA ATAKULA NINI, ATAVAA NINI AU ATALALA WAPI ETC. WEWE KAMA BABA YAKE NDIO UNAE TAKIWA KUWAZA KWA NIABA YAKE. KWA UFUPI WALIMAANISHA MKE WAKO ANATAKIWA KUTUNZWA, KULINDWA NA KUPENDWA KAMA MTOTO. SASA WEWE ENDELEA KUAMINI " BEHIND EVERY MAN SUCCESS THERE IS A WOMAN " KWA MUKTADHA HUO HUO.
Okey you be the bitch you ought to be and let men be men they ought to be.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,734
2,000
Nilikuwa nafikiria kuanzisha uzi fulani lakini nikawa nakosa maneno yakuandika nashukuru umeandika kitu kunisaidia..

Duniani kwa sasa kuna propaganda kubwa sana inaendelea kuwapa jeuri hewa wanawake, imefika mahali wanawake wanajiona kama wamejizaa vile na wanathamani kubwa kuliko wanaume na mwisho wa siku kuharibu malezi. Wanawake wanajaribu kwenda tofauti na nature bila kujua huwezi kupambana na nature. NATURE INASEMA MWANAUME NI KICHWA-UKIJARIBU KUPAMBANA NA HII NATURE LAZIMA UHARIBIKIWE WEWE NA FAMILIA, NATURE INASEMA MWANAUME ANAWEZA KUMILIKI WANAWAKE WENGI KAMA WAKE ZAKE-UKIJARIBU KWENDA TOFAUTI NA HII NATURE LAZIMA UINGIE KWENYE SHIDA, NATURE INASEMA MWANAMKE NI PAMBO-UKIJARIBU KUIPINGA UTAINGIA KWENYE SHIDA TU. nk, nk.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom