Inawezekana kabisa unakerwa na ukweli, au hata kama siukweli, unakerwa na watu kuwa na mawazo tofauti.
Hii sababu ya watu kuona mawazo tofauti ni keroni moja kati ya vitu vinavyosababisha umasikini wetu.
Ukweli ni kwamba, kitu chochote kikiangaliwa kijuujuu, kukubaliana si jambo gumu.
Na kitu chochote kikianza kuchunguzwa kwa undani, kutokubaliana ni rahisi.
Ukikataa kutokubaliana umekubali tuangalie mambo kijuujuu na umekataa kuchambua mambo kwa undani.
Na JF kama tunataka tuwe tunaishikwa motto ya "Home of Great Thinksers" na "Where we dare to talkopenly", kutokubaliana si jambo la ajabu.
Kwa sababu wabongo wengi kwanza hata kuandika kwa kauli nyoofu ni shida, mpaka tubalasane ndiyo mtu anakubali kwamba alichoandika hapa ni ushairi tu wa kuonesha mapenzi yake kwa Angola, si fact.