Beautiful Africa-Angola.

Beautiful Africa-Angola.

Angola haikustaili iwe hapo ilipo sasa hivi, hiyo nchi inamafuta lakini raia wake ni maskini wa kutupwa,

Kiufupi mazingira ya hiyo nchi haijaizidi Dar ya Makonda, jaman muwe mnatembea msidanganyike na picha..

Rais wa kwanza wa Angola rais José Eduardo dos Santos ndiyo aliyekuwa anajimilikisha rasilimali za Angola huko akimlimbikizia mali mtoto wake wa kwanza Isabel Dos Santos..

Maisha ya raia wa huko ni bora ya raia wa kigoma ujiji
Huyo Isabela mtoto wake ndo tajili mwanamke wa kwanza kwa ukwasi hapa Africa
 
Huyo Isabela mtoto wake ndo tajili mwanamke wa kwanza kwa ukwasi hapa Africa
Yaah... Kapitia mgongo wa baba yake, alicheza na fursa vizuri

Na rais aliyepo sasa hivi ni pandikizi la baba yake, africa kuendelea siyo leo wala kesho watu wapo kwaajili ya maslai binafsi na siyo nchi
 
Huyo Isabela mtoto wake ndo tajili mwanamke wa kwanza kwa ukwasi hapa Africa
Yaah... Kapitia mgongo wa baba yake, alicheza na fursa vizuri

Na rais aliyepo sasa hivi ni pandikizi la baba yake, africa kuendelea siyo leo wala kesho watu wapo kwaajili ya maslai binafsi na siyo nchi
 
Hopefully Tanzania tunaelekea huko mana resources zetu tumeanza kuzivalia njuga, mana Angola wameanza kustabilize peacefully hata 20 years haijapita, sababu ya civil war, wameamua kufa na mafuta ili yawatoe na watapiga hatua , kiukweli hata GDP yao inapaa sana, Big up!

Mtaelekea huko kwa mwendo wa kudai ela za Makinikia kibabe badala ya ela za Gold.

2.Mtaelekea huko kwa kupitisha Miswada ya gesi kama hati ya dharura bila kushirikisha raia.

3.Mtaelekea huko kwa kufunga viwanda na kuwakomoa matajiri kutwa kukaba kodi kwa raia hata wa chini kabisa.

4.mtaelekea huko kwa kua na sera mbov za madin mikataba mlisaini wenyewe leo mnasala mchawi POLENI SANA WATANZANIA
 
Siku uende ndio utakuja simulia ni simple tu kwa pipa me siwez kusimulia ntajaza Thread kibao hapa na ntachoka kuandika gazeti.kama ni mafuta Iraq/Saudia/Nigeria etc kungekua na maisha ya juu sana
Babake!!!!!! Ni pakawaida2 wala ucpapige promo.
MTU mshamba mshamba ndo ataenda kupashangaa huko
 
Hapafiki hata kwa dar hapo

Kwani kuna mtu hapa alikua anafanya comparison na Dar watu kama nyie ndio mlikua hamsomi instruction za pepa ndo wa kwanza kumaliza halafu chaka.
 
Leta picha za maisha ya Waangola weusi kama mimi, na siyo mapicha ya maghorofa, hayo hata Bongo yapo, nataka kuona maisha ya Waangola weusi!

640x350

1200x800.jpg
 
Back
Top Bottom