tonicJr
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 468
- 481
...Wewe ndiyo Una Ubongo taka, Usikurupuke siyo kila kitu unachukulia kwa muhemuko Bro.....Afu wewe ni Mwanamme wa Dar eti?Rubbish!
...Wewe ndiyo Una Ubongo taka, Usikurupuke siyo kila kitu unachukulia kwa muhemuko Bro.....Afu wewe ni Mwanamme wa Dar eti?Rubbish!
Sijajaja ku compare maendeleo ya huko yaliko na huku niliko hayo fungua thread yako halaf ndo ufanye hzo comparison na katika hii thread hakuna mahala nimesema mambo ya maendeleo kichwa cha thread kimejieleza vizur pale juuJestkilla maendeleo lazima yawe peoples centered, siyo object centered. Objects ziwe aides to peoples development. ndio maana nimekuwekea vijiji vya Sweden ambapo maendeleo yako people centered!
Kumbe hawa jamaa mji wao unazidi hadi Singapore expe..Wewe unafikiri kwa kuwa ulipo wewe kuna foleni kila mtu alipo kuna foleni tu.
Umejizinga katika wigo wa udogo wa fikra.
Mimi ninacho cha kutolea baraka nipite where?
...Kumekuwa na Tabia zinakera humu Jf unakuta mtu katoa mada yake vizuri tu...Sasa mtu anaitoa kwenye uhalisia na analazimisha iwe anavyotaka yeye.....Tujifunze kusikiliza/kuona tisiyopenda kuona/kusikiliza.....Kwani mleta uzi Kakosea kuonyesha Uzuri wa nchi ya Angola!??Sasa watu wamekurupuka na takwimu,GDP,kashfa,maendeleo,Ushindani....wengine ndo wakagoogle na picha za sweden kijijini....Hii ni Afrika yetu haijalishi ipo vipi ni kwetu tu...Hahaha... mbona unajihami saana comrade?
Haha haya.Ha ha haaaaaaa Daby
Pita kwenye mobile money 😀
Pweza nina allergy nao, kama nilivyona allergy na hadithi za kutungwa zinazotaka kupitishwa kama ukweli.Folen ya kula pweza Feri![]()
Haha haya.
Got you dude... Umesahau JF ni pale tunapokubaliana kutokubaliana....Kumekuwa na Tabia zinakera humu Jf unakuta mtu katoa mada yake vizuri tu...Sasa mtu anaitoa kwenye uhalisia na analazimisha iwe anavyotaka yeye.....Tujifunze kusikiliza/kuona tisiyopenda kuona/kusikiliza.....Kwani mleta uzi Kakosea kuonyesha Uzuri wa nchi ya Angola!??Sasa watu wamekurupuka na takwimu,GDP,kashfa,maendeleo,Ushindani....wengine ndo wakagoogle na picha za sweden kijijini....Hii ni Afrika yetu haijalishi ipo vipi ni kwetu tu...
kigoma ujiji ni nchi?
Singapore nimost expensive city period, huu wameuona waseme kwa expats kwa sababumaisha ya watu weusi na wageni ni tofauti sana kiasi kwamba huwezi kusemani mji expensive kama kuna watu wanaishi chini ya dola mojakwa siku, wameamuakuishi madongo kuinama huko.Kumbe hawa jamaa mji wao unazidi hadi Singapore.
Sicheki najaribu kubuni namba yako hapa.Usichekelee weka rekodi kuwa mtu mwema kwa dada mwema wa humu... mobile wallet yangu iongeeee utafika tu.
Singapore nimost expensive city period, huu wameuona waseme kwa expats kwa sababumaisha ya watu weusi na wageni ni tofauti sana kiasi kwamba huwezi kusemani mji expensive kama kuna watu wanaishi chini ya dola mojakwa siku, wameamuakuishi madongo kuinama huko.
...Kwa hiyo hizo ni picha za kariakoo dar,masaki na oysterbay au Soko matola Mbeya....!?Tuelezee ni picha za miji gani ambayo mleta Uzi ametunga ili kupitishwa kuwa kweli?!?....Pweza nina allergy nao, kama nilivyona allergy na hadithi za kutungwa zinazotaka kupitishwa kama ukweli.
Inawezekana kabisa unakerwa na ukweli, au hata kama siukweli, unakerwa na watu kuwa na mawazo tofauti....Kumekuwa na Tabia zinakera humu Jf unakuta mtu katoa mada yake vizuri tu...Sasa mtu anaitoa kwenye uhalisia na analazimisha iwe anavyotaka yeye.....Tujifunze kusikiliza/kuona tisiyopenda kuona/kusikiliza.....Kwani mleta uzi Kakosea kuonyesha Uzuri wa nchi ya Angola!??Sasa watu wamekurupuka na takwimu,GDP,kashfa,maendeleo,Ushindani....wengine ndo wakagoogle na picha za sweden kijijini....Hii ni Afrika yetu haijalishi ipo vipi ni kwetu tu...