tonicJr
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 468
- 481
...ni Ujuaji Usio na maanaAnko kapanic mbaya kuweka na ma GDP ahaha hajui africa yote hii ina matatzo mwanzo mwisho lakin wachache wanaishi ndio hivo kila mtu Kapangiwa urefu wa kamba yake.
...ni Ujuaji Usio na maanaAnko kapanic mbaya kuweka na ma GDP ahaha hajui africa yote hii ina matatzo mwanzo mwisho lakin wachache wanaishi ndio hivo kila mtu Kapangiwa urefu wa kamba yake.
Akileta nitag plsLeta picha za maisha ya Waangola weusi kama mimi, na siyo mapicha ya maghorofa, hayo hata Bongo yapo, nataka kuona maisha ya Waangola weusi!
Mashallah ujiji kama zanzibar
Tatizo unajipigapiga bado.Hizi takwimu mpelekee magufuri sie wengine tulienda kutembea ndio maana tumetuma picha hizo tu bila maelezo meeengi.usipaniki hizo $ kadhaa wenzio tulijipiga piga tukaenda kutumia tuone kuna nini mpaka kuwe na gharama hivo
Kwa utajiri wake wa mafuta Na gesiHapo kuna jimbo linaitwa Cabinda hapakaliki
Is your shift key stuck or something?Na HII THREAD HAIKUJA KUKAGUA NANI ANAISHI KWENYE MAKARAVATI SIJUI NYUMBA ZA UDONGO WALA KUJUA MIUNDOMBINU INAMSAIDIA NAN NA NANI HII THREAD IMELETA PICHA KAMA UTALII FULL STOP HAYO MENGINE SIJUI MAISHA MABOVU SIJUI UAFRICA NAWACHIA WANASIASA NYIE MAANA KILA MUDA N SIASA.
Beatiful Africa-Angola.....!!kwa maana hiyo Kesho Anaweza Akaandika Beatiful Africa-Tanzania...etc....Kulinganisha,siasa,Umaskini,sijui GDP,sweden yote hayo yametoka wapi?!..mbaya zaidi yanaandikwa kwa kumnanga mleta uzi..Tujadili kilichopoInawezekana kabisa unakerwa na ukweli, au hata kama siukweli, unakerwa na watu kuwa na mawazo tofauti.
Hii sababu ya watu kuona mawazo tofauti ni keroni moja kati ya vitu vinavyosababisha umasikini wetu.
Ukweli ni kwamba, kitu chochote kikiangaliwa kijuujuu, kukubaliana si jambo gumu.
Na kitu chochote kikianza kuchunguzwa kwa undani, kutokubaliana ni rahisi.
Ukikataa kutokubaliana umekubali tuangalie mambo kijuujuu na umekataa kuchambua mambo kwa undani.
Na JF kama tunataka tuwe tunaishikwa motto ya "Home of Great Thinksers" na "Where we dare to talkopenly", kutokubaliana si jambo la ajabu.
Kwa sababu wabongo wengi kwanza hata kuandika kwa kauli nyoofu ni shida, mpaka tubalasane ndiyo mtu anakubali kwamba alichoandika hapa ni ushairi tu wa kuonesha mapenzi yake kwa Angola, si fact.
Fuatilia mjadala, kwani nanikakataa picha?...Kwa hiyo hizo ni picha za kariakoo dar,masaki na oysterbay au Soko matola Mbeya....!?Tuelezee ni picha za miji gani ambayo mleta Uzi ametunga ili kupitishwa kuwa kweli?!?....
Sicheki najaribu kubuni namba yako hapa.
Naona umebadilisha Avatar.. You look beauty.
Unajua kusoma?Beatiful Africa-Angola.....!!kwa maana hiyo Kesho Anaweza Akaandika Beatiful Africa-Tanzania...etc....Kulinganisha,siasa,Umaskini,sijui GDP,sweden yote hayo yametoka wapi?!..mbaya zaidi yanaandikwa kwa kumnanga mleta uzi..Tujadili kilichopo
...sijui...Fuatilia mjadala, kwani nanikakataa picha?
Unajua kusoma?
Sishangai....sijui...
Nilitaka kushangaa..Singapore nimost expensive city period, huu wameuona waseme kwa expats kwa sababumaisha ya watu weusi na wageni ni tofauti sana kiasi kwamba huwezi kusemani mji expensive kama kuna watu wanaishi chini ya dola mojakwa siku, wameamuakuishi madongo kuinama huko.
Ooh poa.. nasubiri uibuni eeeeh
Yes Avatar ya sikukuu nami nifurahie kuwemo humu JF

Luanda pa moto hata dunia inalijua hilo. Siyo hapa bongo hata mkaanga vitumbua anasavaivuNa ndio maana huwezi kukuta wajinga wajinga wameenda ule mji![]()
Nishanunua saa Zurich bei sawa na New York tu, labda kwa sababu ilikuwa duty free shop.Nilitaka kushangaa..
+ Zurich pia --ni kawaida wana Kutoka Zurich kufanya Manunuzi yaa kawaida Vienna au Germany.
shati au saa hazinunuliki.
...sijui!na ninakukumbusha tu siyo kila kitu lazima uwe unakijua Kama unajua hujui tulia ufundishwe...siasa na uswahili siyo nguvu/kipimo cha uelewa ulionao....!!Siyo mada hii tu ni nyingi tu unarefusha mdomo na kutuchanganyia madesa....Unajua kusoma?