Beautiful Africa-Angola.

Beautiful Africa-Angola.

Mafuta kitu gani Kuna nchi ina rasilimali kama Tanzania ukiacha South africa na dRC..???? tz yako haina nini kwa mfano mn kila takataka lakin maisha holla
Asante kwa hili neno........analeta uswahili hapa
 
angalia kijijini sweden
Mo%CC%88lle.jpg

Visit-European-Sweden.jpg
..Sawa Tumeona kijijini Sweden ulaya Lkn sisi tunaongelea Angola Afrika....au ulitaka tujue unaishi Sweden Ulaya...Haya basi tumejua!
 
Hizi takwimu mpelekee magufuri sie wengine tulienda kutembea ndio maana tumetuma picha hizo tu bila maelezo meeengi. usipaniki hizo $ kadhaa wenzio tulijipiga piga tukaenda kutumia tuone kuna nini mpaka kuwe na gharama hivo
..Yaani amekariri tu Siasa,Uswahili,GDP,maendeleo.....ujinga huu sijui utatuisha lini watanzania wenzangu....Mtu umewekewa picha kwa ajili ya Utalii anaanza kutapika maneno cjui ili aonekane anajua saaana kuliko wengine....Lkn wanaojua wanamuona mjinga tu...Dada asante kwa kutuburudisha kwa Picha zenye mandhali nzuri nchini Angola.....Siyo kila kitu siasa na kupiga domo na ujuaji kimba tu
 
..Sawa Tumeona kijijini Sweden ulaya Lkn sisi tunaongelea Angola Afrika....au ulitaka tujue unaishi Sweden Ulaya...Haya basi tumejua!
Niko Manzese, humu kuna ID fake sasa nitatakaje wakati ID yangu ni fake. Think deep
 
..Yaani amekariri tu Siasa,Uswahili,GDP,maendeleo.....ujinga huu sijui utatuisha lini watanzania wenzangu....Mtu umewekewa picha kwa ajili ya Utalii anaanza kutapika maneno cjui ili aonekane anajua saaana kuliko wengine....Lkn wanaojua wanamuona mjinga tu...Dada asante kwa kutuburudisha kwa Picha zenye mandhali nzuri nchini Angola.....Siyo kila kitu siasa na kupiga domo na ujuaji kimba tu

kaenda Ku google GDP soon ataleta picha wa aangola wamekula nin jana mana waswahili kwa Umbea ni balaa.
 
Panavutia

Ngoja nipneshe nia ya kwenda huko.. nione kama kuna mkaka humu JF atanipa zawadi niende nikajilie raha na anipe ofa niende na shosti mmoja ili tufurahie..

Eeeeeeh

Kama huna cha kutolea baraka pita hukoooo

Mimi ninacho cha kutolea baraka nipite where?
 
Angola haikustaili iwe hapo ilipo sasa hivi, hiyo nchi inamafuta lakini raia wake ni maskini wa kutupwa,

Kiufupi mazingira ya hiyo nchi haijaizidi Dar ya Makonda, jaman muwe mnatembea msidanganyike na picha..

Rais wa kwanza wa Angola rais José Eduardo dos Santos ndiyo aliyekuwa anajimilikisha rasilimali za Angola huko akimlimbikizia mali mtoto wake wa kwanza Isabel Dos Santos..

Maisha ya raia wa huko ni bora ya raia wa kigoma ujiji
kigoma ujiji ni nchi?
 
Back
Top Bottom