Beautiful Africa-Angola.

Beautiful Africa-Angola.

Kama kweli wewe ni vacuum kabisa, maana unagalagazwa na empty box.
...Kwa hili Umefail mkuu! Kama Mwanamme Kubali kuwa Umekurupuka. na wengi wanaokurupuka kiuhalisia ni wajinga.....usitake kutunisha msuli wakati Wenye Akili wameshakujua wewe mwisho wako wa kufikiri unaishia wapi....!Tulia,Jifunze,Tafakarina ndipo Utoe maoni yako ukiwa na Utulivu la sivyo sitaacha kukuita MJINGA
 
Sijui kweli ama la maana nackia kagame eti alisema yy akiwa rais wa tz atatumia bandari pekee yake kuifnya tz nchi tajiri.....wa kwetu kitu cha mwanza ni kuharibu bandari
 
Sikupost kuja kufanya comparison na miji mingine ndio mana heading inasomeka vile pale juu hakuna mahala nimeandika TZ vs Angola.sorry.
Ukiweka mandhari ya miji ya watu, wengine tuna unganisha doti, tunajiuliza kwetu pakoje. Sorry.
 
Sijui kweli ama la maana nackia kagame eti alisema yy akiwa rais wa tz atatumia bandari pekee yake kuifnya tz nchi tajiri.....wa kwetu kitu cha mwanza ni kuharibu bandari

Kagame tena kweli vichwa vimevurugwa na siasa
 
Panavutia

Ngoja nipneshe nia ya kwenda huko.. nione kama kuna mkaka humu JF atanipa zawadi niende nikajilie raha na anipe ofa niende na shosti mmoja ili tufurahie..

Eeeeeeh

Kama huna cha kutolea baraka pita hukoooo
Mwambie Makonda akupe ofa.

Alikua Brazil majuzi kati hapa.
 
Na HII THREAD HAIKUJA KUKAGUA NANI ANAISHI KWENYE MAKARAVATI SIJUI NYUMBA ZA UDONGO WALA KUJUA MIUNDOMBINU INAMSAIDIA NAN NA NANI HII THREAD IMELETA PICHA KAMA UTALII FULL STOP HAYO MENGINE SIJUI MAISHA MABOVU SIJUI UAFRICA NAWACHIA WANASIASA NYIE MAANA KILA MUDA N SIASA.
Nyamaza wewe, .. kwanza salute kwa wote mliotangulia kuchangia kwenye huu uzi... nimejaribu kusoma michango ya wachangiaji wengine but majibu ya muanzisha thread c ya kiungwana coz kama angeapply kukaa kimya ingekuwa jibu zuri, kama watu wanauliza maswali jaribu kuheshimu mawazo na michango yao na si kuleta uswahili wako wa kipuuzi hapa JF...

wewe huna busara mana una majibu ya kipuuzi humu ndani, umejibu upuuzi kwenye maswali ambayo c lazima ujibu wewe wangejibu wachangiaji wengine... humu humu yanaibuka maswali ambayo yanatanau huu uzi na yananogesha ktkt kujua zaid... so kama yanakukera au kama unahisi yamekaa kisiasa acha kujibu..

USIWE UNAKURUPUKA SEKUNDE KWAKO DAKIKA......

Kumbuka ukishaanzisha thread c ya kwako tena....
 
Ulijua hii thread tunagawa kande au Kiporo cha Pilau cha Xmass Angola hatukula Pilau wala Kande na vilivofanyika kule vikaishia kule kule.Povu ruksa maana nina Baking soda ya kuchanganyia.
 
Inatusaidia nini sisi watanzani. Hebu tuondolee uzuzu wako hapa. Bora uzunguke dar upige picha utuletee.
 
USIWE UNAKURUPUKA SEKUNDE KWAKO DAKIKA..
 
Inatusaidia nini sisi watanzani. Hebu tuondolee uzuzu wako hapa. Bora uzunguke dar upige picha utuletee.

Kureply hapa umewasaidia nin Watanzania.halafu acha kutumia parody hii rudi kwenye acc yako ya zaman utasomeka tu
 
Panavutia

Ngoja nipneshe nia ya kwenda huko.. nione kama kuna mkaka humu JF atanipa zawadi niende nikajilie raha na anipe ofa niende na shosti mmoja ili tufurahie..

Eeeeeeh

Kama huna cha kutolea baraka pita hukoooo
Kwanini usiwaambie ma ccm wenzako waijenge dar ivutie zaidi ya huko kuliko kuanza kufunga masafari yasiyokuwa na kichwa wala miguu?
 
Kamera za kisasa siku hizi zinadanganya kweli kila kitu kikipigwa picha kinaonekana kizuri Hapo hakuna tofauti na BUGARIKA au BAJUBERI
 
Back
Top Bottom