Beautiful Africa-Angola.

Beautiful Africa-Angola.

Crime rate ikoje huko kama unalijua hili.

Sikua n muda wa kuangalia takwimu suala ilikua kula maisha fullstop mengine hayo tumeewaachia wazee wa takwimu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwanini usiwaambie ma ccm wenzako waijenge dar ivutie zaidi ya huko kuliko kuanza kufunga masafari yasiyokuwa na kichwa wala miguu?

Katiba inakataza kusafiri au .?
 
Kamera za kisasa siku hizi zinadanganya kweli kila kitu kikipigwa picha kinaonekana kizuri Hapo hakuna tofauti na BUGARIKA au BAJUBERI

Kuna utofauti wa kamera lakin ndio maana kamera ya tecno sijui huawei haiwez fanana na kamera ya Iphone ujue hilo pia kingine uzuri haujawaijificha.
 
Sijui....Suala ni exposure ni muhim na inaonekana umeishia chalinZe Ndio maana unaandika huu upupu anyway sio ishu mda wa kulala
Naona umeanza kunitolea maneno ya shombo!
Loh,!Nikiamua kukinukisha hapa Uzi utakuwa mchungu ndugu yangu.
 
Naona umeanza kunitolea maneno ya shombo!
Loh,!Nikiamua kukinukisha hapa Uzi utakuwa mchungu ndugu yangu.

Anza kwani kwa kila Reply unalipwa .?? Me hapa kwaaanza n saa kumi jioni haya endelea.
 
Back
Top Bottom