Beautiful Africa-Angola.

Beautiful Africa-Angola.

Hiyo ni Sweden ya Angola au ulaya. Usije ukawa unafananisha bombardier na airbus
Lengo langu ni kuwa hiyo ya Angola ni upuuzi kama vijijini watu wanapukutika majivu. Hicho ni kijiji cha sweden, kijijini. na Angola ingelikuwa hivyo vijijini mbona tungelishangilia!
 
Bongo ni mwendo wa chuki na visasi. Maana halisi ni kuona namna wenzetu walivyoboresha miundombinu na si maisha ya mtu mmoja mmoja. Anataka kuona mtu mweusi anaishije. Ina maana hiyo miundombinu haimsaidii. Nyumbu ni Nyumbu
Unaweza kuwa na nchi ina miundombinu mizuri sana mjini, halafu hapo mjini maisha ni ghalisana kiasi Waafrika wazawa wa kawaida hawawezikuishi, wanaishinje yamji huko kwenye nyumba mbovu na miundombinu mibovu.

Sisemi kwamba Angolaipo hivyo, ilainaweza kuwa hivyo.

Nchi ambayoina maghorofa mazuri, lakini wanakaawazungu na waafrika wachache sana,barabara nzuri, lakinimagari wanaendesha wachache wenye hela.

Hii ni genuine concern, kwa hiyoswali hili si la kupuuzwa.

Maendeleo yanatakiwakunufaisha watu wengi, si wachache. Sasaswali limejikitakwenye kutaka kujua ukweli, huu ulimbwende wa Angola unanufaisha wengi?

Au kuna sehemuwatu weusi hata kufika hawafiki kwa sababu ya ubaguzi wa kiuchumi?
 
Soma heading ya Thread hii naona umejaa upepo kwa compresser,Vitu vya kawaida umevi complicate nimepost tu hizo picha kuna watu wameona wamepita muwe mnajifunza kusoma na kuelewa kwa haraka.
Heading ya thread umeikumbuka sasa baada ya kuona umeshindwa kutetea habari uliyotaka kuaminisha watu kwamba unaongelea fact na si fantasy?
 
Hiyo ni Sweden ya Angola au ulaya. Usije ukawa unafananisha bombardier na airbus
Ulaya hakuna neno village/kijiji wao wanaita mashambani na matajiri wengi ni wakulima tofauti na Afrika mabapo maskini wengi ni wakulima naomba tujisahihishe kiukweli Luanda maisha yake yapo ghali sana
 
Cabinda iko ndani ya DRC ndo maana unazani jamaa wanajiona wako mbali na Angola

4106c812e12b8f7cbc2a63af335398c4.jpg
911ed64fb149c9e728e05920f82f96ca.jpg
kama ni Cabinda hii basi iko angola na hyo bendera wanapeperusha itakua ya ACT-wazalendo.
 
Heading ya thread umeikumbuka sasa baada ya kuona umeshindwa kutetea habari uliyotaka kuaminisha watu kwamba unaongelea fact na si fantasy?

Kama uko kwenye foleni skiza music ila siwez endelea kukupa kampan hapa Jf unaachoona nimetuma heading inajielezea ndio mana kule juu nilisema sijaja kufanya comparison yoyote. Na kitu chochote
 
Nchi yenye maendeleo haiwezikuwa na GDP per capita ya $3600, tena hiyo imepandishwa na wenye hela wachache ,kiuhalisia ipo chini ya $2500.

Sasa mtu mwenye hii GDP per capita halafu anaishi mji wa gharama za kutumia hiyo hela kwa wiki moja tu atafurahia vipi matanuzi ya mji wake mwenyewe?

Inabidi aende kuishi madongokuinama tu awe anaangalia mji wake mwenyewe kama anavyoangalia Ulaya vile.
 
Kwani umeambiwa hii battle kati ya Dar yako na Angola?

Utanzania mzigo kwakweli watu wamekuja kufanya comparison na heading inajieleza vizur sana kua n picha za ile nchi basi sijandika kingine mara ooh Picha za Dar
 
Kama uko kwenye foleni skiza music ila siwez endelea kukupa kampan hapa Jf unaachoona nimetuma heading inajielezea ndio mana kule juu nilisema sijaja kufanya comparison yoyote. Na kitu chochote
Wewe unafikiri kwa kuwa ulipo wewe kuna foleni kila mtu alipo kuna foleni tu.

Umejizinga katika wigo wa udogo wa fikra.
 
Lengo langu ni kuwa hiyo ya Angola ni upuuzi kama vijijini watu wanapukutika majivu. Hicho ni kijiji cha sweden, kijijini. na Angola ingelikuwa hivyo vijijini mbona tungelishangilia!

Kwenu masumbwe Geita misigiri Tanangozi huko vepeeee
 
Jestkilla maendeleo lazima yawe peoples centered, siyo object centered. Objects ziwe aides to peoples development. ndio maana nimekuwekea vijiji vya Sweden ambapo maendeleo yako people centered!
 
Unaweza kuwa na nchi ina miundombinu mizuri sana mjini, halafu hapo mjini maisha ni ghalisana kiasi Waafrika wazawa wa kawaida hawawezikuishi, wanaishinje yamji huko kwenye nyumba mbovu na miundombinu mibovu.

Sisemi kwamba Angolaipo hivyo, ilainaweza kuwa hivyo.

Nchi ambayoina maghorofa mazuri, lakini wanakaawazungu na waafrika wachache sana,barabara nzuri, lakinimagari wanaendesha wachache wenye hela.

Hii ni genuine concern, kwa hiyoswali hili si la kupuuzwa.

Maendeleo yanatakiwakunufaisha watu wengi, si wachache. Sasaswali limejikitakwenye kutaka kujua ukweli, huu ulimbwende wa Angola unanufaisha wengi?

Au kuna sehemuwatu weusi hata kufika hawafiki kwa sababu ya ubaguzi wa kiuchumi?

Na HII THREAD HAIKUJA KUKAGUA NANI ANAISHI KWENYE MAKARAVATI SIJUI NYUMBA ZA UDONGO WALA KUJUA MIUNDOMBINU INAMSAIDIA NAN NA NANI HII THREAD IMELETA PICHA KAMA UTALII FULL STOP HAYO MENGINE SIJUI MAISHA MABOVU SIJUI UAFRICA NAWACHIA WANASIASA NYIE MAANA KILA MUDA N SIASA.
 
Nchi yenye maendeleo haiwezikuwa na GDP per capita ya $3600, tena hiyo imepandishwa na wenye hela wachache ,kiuhalisia ipo chini ya $2500.

Sasa mtu mwenye hii GDP per capita halafu anaishi mji wa gharama za kutumia hiyo hela kwa wiki moja tu atafurahia vipi matanuzi ya mji wake mwenyewe?

Inabidi aende kuishi madongokuinama tu awe anaangalia mji wake mwenyewe kama anavyoangalia Ulaya vile.

Hizi takwimu mpelekee magufuri sie wengine tulienda kutembea ndio maana tumetuma picha hizo tu bila maelezo meeengi. usipaniki hizo $ kadhaa wenzio tulijipiga piga tukaenda kutumia tuone kuna nini mpaka kuwe na gharama hivo
 
Back
Top Bottom