Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Ndo Godfather wa Bongo flava. Hizi ndo midundo 5 bora toka kwa P-funky;

1. Mikasi - Ngwair
2. Joanita - Pingu na Deso
3. Cheza kwa step - Jay moe
4. Bongo.com - TNG Squad
5. Mwanza mwanza - Fid q

Huu ni mtazamo wangu. Upi wako?

Welcome

6-50.beat zote za ngwea album ya kwanza,beat zote za nature zote za jay moe nk..
 
Halafu wewe ndio nini lakini!!!!!!!

enzi zile studio si zilikuwa chache Bongo records...,MJ Records

Labda zilizokua zinahit.....kumbuka kulikua na sound crafters ya enrico na kulikua na studio pale don bosco.
 
hizi midundo ni nadra kupatikana popote ata dr dre azigongi
1-RATIBA ZETU- SNALEE FT NGWEA
2.BILA SANAA- IMAM ABAS
3.JIRUSHE- FEROUZ FT JAY MOE.
4.LATIFA-MB DOGGY
5.HORSE-PFUNK MAJANI FT IMAM ABAS AND JAY MOE.
6.ACHA KUPIGA MAYOWE. AFANDE SELE FT JAY MOE.
7.MALARIA-AFANDE FT WATU PORI
8.SHE GOT GWAN-NGWEA FT DARK MASTER.
9.PLZ FORGIVE ME-PFUNK MAJANI FT DULLY SYKES.
10.NANATA-SOLO THANG.
11.HAYAKUHUSU-RAH P.
12. MSTARI WA MBELE- KIKOSI CHA MIZINGA
13. LIKE THAT -TNG SQUADS.
14.MTOTO IDDI -NATURE
15.KISA DEMU-NATURE.
YAPO MENGI KWA LEO NATAMATISHA PAUL ATABAKI KUWA JUU TU MILELE AMEEN.

HAKUNA NOMA ya Prof. J
 
P funk amefanya kila kitu kwenye hii sanaa,kumlinganisha na hawa madogo ni kumkosea heshima! Kitu kimoja mnakisahau umri umekwenda,majukumu yamekuja! So anafnya biashara nyingine,music imebaki passion tu! Na yote kwa yote music production sio dili sana miaka hii Tz,kuelekeza nguvu huko ni kuikaribisha njaa! Even Dr Dre kugonga beat ni kitu cha mwisho kabisa!
 
Hivi beat ya Ngwea ya mikasi mkono Wa profesa Ludigo si ndo ulihusika zaidi au?

Ile beat ya Ludigo, wimbo ulipotoka, P Funk akasema urudishwe aongeze vionjo. Zilikuwa zipo version 2. Moja ya Ludigo na nyingine ya P
 
Wapili kwa beat kali akitoka Pfunk ni Miika Mwamba na watatu ni Dunga. Over !!!

Hakuna beat nnayoikumbuka toka kwa Miika Mwamba kama ile ya Zay B Ft Inspekta Haroun-Gado. Nautafuta sana huo wimbo. Pia Kindumbwedumbwe-FDC, Mwamba alikuwa anagonga beat za Hip Hop balaa.
 
Mmenifanya nimeanza pitia nyimbo za zamani


Wengi hufyata wakisikia nimepita na beat za majani.... Mwanza Mwanza
 
Hakuna beat nnayoikumbuka toka kwa Miika Mwamba kama ile ya Zay B Ft Inspekta Haroun-Gado. Nautafuta sana huo wimbo. Pia Kindumbwedumbwe-FDC, Mwamba alikuwa anagonga beat za Hip Hop balaa.
Mika mwamba nakumbuka beat za ndojo na kaya
Wanok nok, niaje hatupatani, beat ya d knob elimu mtaani, ebwana mziki wa long ulikuwa mzuri.
Majani kuna
Album nzima ya daz baba elimu dunia
Dah kitu nipe tano
Kuna ngoma flani ya madee fr pfunk "yote maisha" naikubari mpaka naenda chini uwa inanipa hope ya to move on kama ngoma ya the swahili shakespear vile
 
Huyo sijui P Funk anajua hata gitaa ni nini? Amewahi kusikia G clef, tone au semi tone?
 
Back
Top Bottom