Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

kalou;
kusema p funk kafunikwa na hawa ma producer wa sasa ni sawa na kusema dj jd kafunikwa na ma dj wa sasa....

Right on point mkuu! He may not be a very nice person, lakini kumfananisha P na hawa watoto wa leo is simply an insult!
Mpeni heshima anayostahili.Jamaa kuna kipindi alikuwa anaingiza ngoma saba (7) katika top ten za Redio karibu zote, nitajieni producer aliyewahi kufanya hivyo.

Katika creative industry huwezi kuwa at the top of your game kwa muda wote huo. Kumbukeni pia kila kitu kinakuwa na era ambapo kunakuwa na watu wanao-shine kwa kipindi hicho. Mbona kina kina Master J (namwongelea yeye mwenyewe na sio studio yake ambayo iko chini ya Marco Chali), Bonny Love, Miika Mwamba, Soundcrafters n.k hawatoi hits kama zamani? Hawa pamoja na akina Amit "Mental", Marehemu Roy, Ludigo na Said Comorien naweza kuwaita golden generation ya Bongo Fleva. Na ukiniuliza mimi standard iliyowekwa na hawa producers iko juu sidhani kama watoto wa leo wanaweza kuifikia na ndio maana ukisikiliza nyimbo za zamani bado zinavutia kuliko za sasa. Lakini era yao imepita hakuna la kufanya.

Kosa alilofanya Majani ni kumwachia Lamar aondoke, dogo alikuwa ndio future ya Bongo Records. Angemuandaa na kumkabidhi mikoba yeye abaki kwenye usimamizi tu. Master J (I guess he is a good businessman) aliliona hilo akaamua kumchukua Marco Chali na ndio maana studio yake bado inafanya vyema.
 
Nyimbo kali zimetengenezwa bongo records. Ila zeze ya TID,starehe ya Feruzi,She got agwan ya Mangwair,Mtazamo ya Afande Sele. Zimetengenezwa kwa kushirikiana na Bizzman.
 
pantheraleo;
Nyimbo kali zimetengenezwa bongo records. Ila zeze ya TID,starehe ya Feruzi,She got agwan ya Mangwair,Mtazamo ya Afande Sele. Zimetengenezwa kwa kushirikiana na Bizzman.

Bizman ni mtaalamu wa strings (wale wanaojua music production watakuwa wanaelewa). Producers kibao huwa wanamtumia sio Majani peke yake.
 
1 kibanda cha simu -soggy
2 nipe tano -daz nundaz
3 prof j ft -feruuz nikusadiaje
4 watu kibao-wateule
5 tid -zeze
na nyingine nyingi japo kipindi hicho nilikuwa namkubali mika mwamba vibaya mno
 
STALLEY;
1 kibanda cha simu -soggy
2 nipe tano -daz nundaz
3 prof j ft -feruuz nikusadiaje
4 watu kibao-wateule
5 tid -zeze
na nyingine nyingi japo kipindi hicho nilikuwa namkubali mika mwamba vibaya mno

Correction, watu kibao ni production ya Master J, sio Majani.
 
Pale ambapo zeze ya Tid inapoanza au pale she got a gwan inapoishia usikie kile kinanda. Duh! Yupo abroad now. Ingekuwa mziki unalipa bongo,angekuwa ndiye dr.beat kibongo bongo.
 
hizi midundo ni nadra kupatikana popote ata dr dre azigongi
1-RATIBA ZETU- SNALEE FT NGWEA
2.BILA SANAA- IMAM ABAS
3.JIRUSHE- FEROUZ FT JAY MOE.
4.LATIFA-MB DOGGY
5.HORSE-PFUNK MAJANI FT IMAM ABAS AND JAY MOE.
6.ACHA KUPIGA MAYOWE. AFANDE SELE FT JAY MOE.
7.MALARIA-AFANDE FT WATU PORI
8.SHE GOT GWAN-NGWEA FT DARK MASTER.
9.PLZ FORGIVE ME-PFUNK MAJANI FT DULLY SYKES.
10.NANATA-SOLO THANG.
11.HAYAKUHUSU-RAH P.
12. MSTARI WA MBELE- KIKOSI CHA MIZINGA
13. LIKE THAT -TNG SQUADS.
14.MTOTO IDDI -NATURE
15.KISA DEMU-NATURE.
YAPO MENGI KWA LEO NATAMATISHA PAUL ATABAKI KUWA JUU TU MILELE AMEEN.
 
Hzi beat hata mkapa anaweza tingsha kichwa!
Hapo vipi ya prof.jay
2.usinichukie_afande sele
mtoto wa jahkaya_ngwair.
4.gangstar ya langa
5.rahisa ya tid na binamu
5.alikufa kwa ngoma ya fa.
Khalfani adumu milele!
 
STALLEY;
1 kibanda cha simu -soggy
2 nipe tano -daz nundaz
3 prof j ft -feruuz nikusadiaje
4 watu kibao-wateule
5 tid -zeze
na nyingine nyingi japo kipindi hicho nilikuwa namkubali mika mwamba vibaya mno

Correction, watu kibao ni production ya Master J, sio Majani.

poa poa mkuu nimekusoma
 
1. mitaa ya kati --imamu abas feat juma nature
2.jinsi tulivyo --manyema family feat juma nature
3.mzee wa busara--nature&inspector haruni
4.dira --kikosi cha mizinga
5.mke wa mtu ni sumu --Lwp
 
1.Nini mnataka-Pigblack
2.Sitaki demu rmx-Kibla
3.Kama unataka demu-Jaymo ft Q-Chillah
4.Nampendampenda-Mike T ft Kibla.
5.Nakupenda tu-Dudu Baya ft Insp.Haroun.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu.. Hapo namba 5... Studio ni MJ records... Producer ni Said Comorien....
 
1 kibanda cha simu -soggy
2 nipe tano -daz nundaz
3 prof j ft -feruuz nikusadiaje
4 watu kibao-wateule
5 tid -zeze
na nyingine nyingi japo kipindi hicho nilikuwa namkubali mika mwamba vibaya mno

Vilevile kibanda cha simu imetengenezwa Bongo records ila producer ni Soggy doggy mwenyewe.
 
Back
Top Bottom