Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Mika mwamba nakumbuka beat za ndojo na kaya
Wanok nok, niaje hatupatani, beat ya d knob elimu mtaani, ebwana mziki wa long ulikuwa mzuri.
Majani kuna
Album nzima ya daz baba elimu dunia
Dah kitu nipe tano
Kuna ngoma flani ya madee fr pfunk "yote maisha" naikubari mpaka naenda chini uwa inanipa hope ya to move on kama ngoma ya the swahili shakespear vile

Hata ile ngoma ya dudu baya "Nakupenda mpnz" Ali produce mika mwamna
 
bbm ya ngwair ft blu&diamond,
famous ya moe
maarifa ya bonta
hakuna kulala,mgambo na mikikimikiki za nature
 
Beats 90% ya zote alizoimba Ngwea, Proffessor J, Nature, TMK, GWM,TNG,East Coast Team, Park Lane inshort hakuna mtu ambaye atavunja Record yake ya kutoa major Hits for 10 Consecutive Years! Na haiishi hapo tu, ni ngoma ambazo zinaishi toka enzi hizo mpaka vizazi na vizazi hazichoshi masikioni!
 
Back
Top Bottom