+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,939
- 762
Nitajie beats walau 5 tu zilizohit kutoka bongo records ambazo hazokutengenezwa na p funk
Kibanda cha simu alitengeneza Soggy, na hata wimbo wa Mikasi Soggy alishawahi kuhojiwa akadai zaidi ya asilimia 80 walitengeneza yeye na Ludigo.