Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,425
- 17,887
Umekatazwa kuanzisha thread yako?
Uwe unasoma na kuelewa. Jina lako linareflect ulivyo boya. Kenge we!
Umekatazwa kuanzisha thread yako?
Ndo godfather wa bongo flava. Hizi ndo midundo 5 bora toka kwa pfunky.
1.mikasi_ngwair
2.joanita _pingu na deso
3.cheza kwa step_ jay moe
4.bongo.com_ tng squad
5.mwanza mwanza _fid q
huu ni mtazamo wangu. Upi wako. Welcome
1:Kisa demu- sir nature
2:mapozi- mr blue
3:yote ni maisha-madee ft P. Funk majani
4:mtazamo- afande sele ft prof jay & solo thang
5😱peration ua mc- G solo
Sijawahi sikiliza beat mbovu toka kwa majani iwe ya wanaoimba au hip hop...
Napenda mwanza mwanza na agosti 13 kwa hip hop(na zingine sema ni nyingi)
Na latifa ya mb dog na ina maana....
Pia kuna ile beat ya wimbo wa mb dog nimeusahau anaanza "amini miujiza mchumba sauti ya nyuki inaskika,penzi kwa fujo my dear"
mapenzi kitu gani