Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Beats kali toka kwa P. Funk Majani

Hujamtende P funk haki. Ungeweka 50 .!!

Kumi wape akina Lamar, mako etc.
 
Hivi beat ya Ngwea ya mikasi mkono Wa profesa Ludigo si ndo ulihusika zaidi au?
 
Peke yangu-Adili ft Mandojo/Domokaya. Watoto wa Mungu-Weusi na nyingine zote.
 
Kwahiyo mnataka kumfananisha P funk na Nuhu Mziwanda? Mazafanta zenu.
 
1.Pig black-nini mnataka 2.Juma nature-Hill game 3. Wachuja nafaka-Radhia 4.Daz Nunda-Barua 5.Kigetogeto-Juma Nature na nyingine nyingi.
 
Wapili kwa beat kali akitoka Pfunk ni Miika Mwamba na watatu ni Dunga. Over !!!
 
Wapili kwa beat kali akitoka Pfunk ni Miika Mwamba na watatu ni Dunga. Over !!!

yeah....pfunky amepotea kutokana na ujio wa kizazi kpya cha producers lakin hao wawili waliamua wenyew kupotea pale walipoondoka bongo.
 
Albam kali kabisa kuwah kutokea bongo fleva ni
1.aka mimi
2.wachuja nafaka

Biti2 zinaingia ktk all time ya majani
1.wife ngwea ft baba
2.wachuja nafaka,wachuja nafaka
3
 
Ratifa
Si uliniambia
Ningeweza - k sal
Mzee wa busara
Alikufa kwa ngoma
 
Nakupenda, na sifa nakupa Mnyakwibata,......hii ngoma ilisumbua sana jamani.

Yaani mpaka leo hainiishi hamu

Tusifuate ya wale wasiopenda maendeleo yetu Mpenzi wangu,
Nampenda mpenda, NANI?
Msichana mmoja, NANI?
Mweupe kidogo yaani, Nampenda Nampenda,

Nyuma kajaza, NANI?
Mfano wake, NANI?
Anakwenda kwa Pozi Yaani, Nampenda Nampenda!
 
Tusifuate ya wale wasiopenda maendeleo yetu Mpenzi wangu,
Nampenda mpenda, NANI?
Msichana mmoja, NANI?
Mweupe kidogo yaani, Nampenda Nampenda,

Nyuma kajaza, NANI?
Mfano wake, NANI?
Anakwenda kwa Pozi Yaani, Nampenda Nampenda!

Si unitaje tu kwamba ni mimi?
 
Ratifa
Si uliniambia
Ningeweza - k sal
Mzee wa busara
Alikufa kwa ngoma

Si ulinambia ya Mb Doggy.....nyimbo hii nikiisikia inanipa uchungu sana maana kipindi hiko ndo nilipoipoteza bikira yangu..... :frusty:
 
1.Pig black-nini mnataka 2.Juma nature-Hill game 3. Wachuja nafaka-Radhia 4.Daz Nunda-Barua 5.Kigetogeto-Juma Nature na nyingine nyingi.

Mkuu hizo ngoma achana nazo, huwa hazichuki, ni mwendo wa kutingisha kichwa tu.
 
Back
Top Bottom