Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Mkuu kama hii history ni ya uongo ni vizuri wewe sasa kama msomi utufahamishe ukweli ili tupate kujua ukweli.

naamini wakati umefika, bahati mbaya itachukua muda lakini tutafanya juhudi kubwa kuanza kuweka vitu sawa, najua wakati mwing umepita lakini archives ziko, wazee wachache wapo, watoto wasikivu na simulizi wapo. Lakini natoa angalizo ambalo lina methali moja , its an early bird who enjoy the fruits, Historia ya ku repeat inakuwa na matatizo makubwa sana ni heri kusahihisha historia iliyopo kulioko kuanza kufanya review ya mambo ya miaka ya hamsini au arobaini, hatari zake na athari zake wakati mwingine huwa hazifutiki.
 
...Nadhani ni Muhimu kumuomba Prof Hirji aitafsiri makala yake kwa kiswahili ili wote tumuelewe vizuri.

Chintu,

Mimi mpaka sasa SIAMINI kama paper hiyo imeandikwa na Prof kwani kuita Mau mau kuwa ni Maji maji ni KOSA LISILOVUMILIKA kwa mwana historia yoyote ulimwenguni sio tu kwa level ya Prof basi hata mwanafunzi kwani hizo ni kharakati mbili tofauti zilizotokea sehemu tofauti kwa miaka tofauti na madhumuni tofauti.

Lakin vile vile KITAALAM unapoandika paper kwa madhumuni ya kuwasilisha kwa wasomi au jamii kijumla unakuwa na MUDA wa kuisoma tena na tena na kujiandaa ikiwa pamoja na kuwapa wasomi wenzako waipitia kukukosoa makosa madogo madodo na makubwa kabla hajapanda kwenda kuwasilisha.

Lakin pia nilikuwa na wasi wasi hata hao watu aliowasilisha kwao je walikuwa na weledi kweli? JE KOSA LA wajerumani kupambana na Mau mau hawajaliona hilo mpaka ligundulike hapa JF.

Hivyo vyote vinatia mashaka kwa Prof Hirji na nashawishika kuomba CV yake na kuona kama ni Kweli huyu ni Prof wa Historia au ...

Lakin pia napongeza sana JF members kwa kuliona KOSA ambao kitaaluma tunaita UONGO aliotaka kutuongopea Prof Hirji. Kwani humu kuna watu mahiri sana waliobobea katika masuala ya Historia hususan za Dunia, Afrika na Tanzania kijumla wake.

Napenda Kumhasa Prof Hirji wasomi wooote tuna fani zetu na huko ndiko tulikozama kwa kina. Mathalan mimi nimebobea katika mas'ala ya Uchumi ma hivyo kwenye uchumi tutakesha katika mnakasha wowote LAKIN ukinitumbukiza katika HISTORIA basi mimi Udaktari wangu nauweka kando nabaki tu KUFYONZA ILMU.

Hivyo shikiria U Prof wako kwa jambo uliosomea na SIO Prof wa KILA kitu. Kwani umetudhalilisha wasomi

Pole sana na umefedhehesha sana wasomi wa kariba yako.

Maulana Barubaru, Nafyonza Ilm kaka.
 
Last edited by a moderator:
Ktk uandishi Wa paper makosa ya. kiuchapaji au ya kimsamiati kuwepo ni kawaida Sana na ndio maana uhariri...

Kwa kawaida MTU muelewa angeelewa tu kwenye mau mau palistahili maji maji kwa kufuata mtiririko Wa matini.

Nilipo Pigia Mstari.

Hilo alilofanya hapo NI KOSA LA UELEWA na sio KOSA la Uandishi.

Kumbuka kuwa unapowasilisha paper laazima uipitie tena na tena na kujiridhisha kabla kuwasilisha. Hivyo kosa la Majimaji kuita Mau mau angelibaini kwani hilo sio kosa la Kheruf.

Lakin pia hata hao aliowasilisha paper hiyo nina wasi wasi na weledi wao. Wangekuwa wana Historia laazima wangeligundua kosa hilo kwani ni sawa na mbingu na ardhwi kusema Mau mau na maji maji. Kharakat hizo zina tofauti kubwa sana.

Naendelea kusema Mimi siamini kama kweli Hirji ni Prof wa History. Nafikiri amedandia Train kwa mbele hivyo ameumbuka.

Hapana al hakir, usighafilikiwe ukapoteza maana.
Mohamed tupo naye, kila mmoja ana hiari ya kusoma na kuelewa.
Wengine tumesema, aa ! taaluma upande huu, ngano na hekaya upande ule., ehee! kisha twazungumza bila tafrani.

Al hakir, unatoka nje ya mstari sheikh, walianganieni watu kwa kauli thabiti, mujarabu na zenye ulinganifu.

Tuchunge ndimi zetu waungwana, hata Mohamed anajisikia mnyonge akinasibishwa na kauli zenye karha.

Wasalimie hapo Mikindani

Spinning s za kitoto hizo NGURUVI3

Wa kwanza kuzungumza lugha za kebehi ni wewe au umesahau??

WEWE SI UMESEMA KWAMBA WATU WAKAE KARIBU NA MALIWATO SI NDIYO??

SISI HATUNA AKUPIGAE SHAVU LA KUSHOTO MGEUZIE LA KULIA HILO HALIPO HAPA

UNAAMBIWA KILE KILE ULICHOKISEMA WEWE

Na kwa kweli hii ni ishara tosha kabisa ya kuonesha hoja umeishiwa??

Unatia huruma Nguruvi3 ulidhani unaweza kusafiria NYOTA YA LE PROFESERI WAKO TOO BAD KAVULIWA NGUO NA MBAYA ZAID NYOOTE MMEBAKIA UCHI

MNAKASHA NDIYO KWANZA UNAANZA.

USIKIMBIE HAPA

Mtaalm Mohamed Said yupo hapa kajaa tele

Mwambie LE PROFESERI WAKO AKAE SAWA SAWA.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh

Alhabiby Baru baru,

Salaam aleykum,

Wallahi nimecheka sna kwa bayana yako pale juu

Huyo chakubimbi anajaribu kumpigia chapuo leprofeseri wake siyo??

ANAJARIBU KUSEMA KWAMBA MTU KUANDIKA MAU MAU BADALA YA KUANDIKA MAJI MAJI NI TYPING ERROR SIYO??

HA HA HA

HIVI PALE PROF WAKE ALIPOSEMA ANAOMBA RADHI KWA KUFANYA UTOTO HAJAPAONA NA KUBAINI KUWA
MTU MZIMA KESHACHUTAMA??

HA HA HA HA
Nilipo Pigia Mstari.

Hilo alilofanya hapo NI KOSA LA UELEWA na sio KOSA la Uandishi.

Kumbuka kuwa unapowasilisha paper laazima uipitie tena na tena na kujiridhisha kabla kuwasilisha. Hivyo kosa la Majimaji kuita Mau mau angelibaini kwani hilo sio kosa la Kheruf.

Lakin pia hata hao aliowasilisha paper hiyo nina wasi wasi na weledi wao. Wangekuwa wana Historia laazima wangeligundua kosa hilo kwani ni sawa na mbingu na ardhwi kusema Mau mau na maji maji. Kharakat hizo zina tofauti kubwa sana.

Naendelea kusema Mimi siamini kama kweli Hirji ni Prof wa History. Nafikiri amedandia Train kwa mbele hivyo ameumbuka.

Afadhali sasa umekubali kwamba kuna masuala ya fursa za kiuchumi/kielimu maana hiyo nukuu nilikuwekea hapa mwanzo ila ukaipotezea, sasa naona mwenyewe umeileta na kuishibisha na kina Bergen, tena huyo Bergen ndiyo kabisa anathibitisha maana kuna ile barua kule nyuma ya kitabu chake kwenye ma-ambato ambayo naona huwa hamtaki kuigusa sijui kwa nini.

Nukuu yako ulikuwa una justify cooked up data za "Professor" wako, umesahau? wakati hakuna kitu kama hicho katika nukuu nzima ya Al Alama Mohamed Said uliyoleta.

Unarudia tena ujinga ule ule wa kuleta vitu pasipo na mpango wala mantiki ya ukisemacho na unachojaribu kukitetea.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Last edited by a moderator:
Spike lee,

Kama kawaida yako,

You dont talk much.

Za masiku kaka?

Tupo hapa kwa raha zetu si unajua awapo Mtaaalam na mwanahistoria msomi Mohamed Said sisi wanafunzi wake tunaweka kambi??

Teh Teh Teh wallahi Mohamed Said Allah ampe umri mrefu zaid,

Kwa hakika kawafungua wengi sana.

Ni hazina kubwa sana hii kwa Taifa hili.

Hivi bila Al Akhiy Mohamed Said kutupa ilmu hapa ya historia ya uhuru wa Tanganyika, NI nani leo hii angeweza kumjua MSHUME KIHATE na wengine katika mchango wake katika uhuru.

Je ni kitabu gani cha historia ya uhuru wa Tanganyika kimetamka jina la mpigania uhuru huyu.

Ahsantum maalim Mohamed Said kwa Darsa zako tumejifunza na tunazidi kujifunza mengi zaidi Allah akubarik saaana.

Historia ya nchi hii haiwezi valishwa kijambakoti,makubazi wala kibandiko. Never!

Hii nchi ni yetu, sote tuelewe. Iwe kwa rangi za kijani na njano au nyekundu na blue.

Shule mzikimbie wenyewe alafu mnasumbua watu hapa.
 
naamini wakati umefika, bahati mbaya itachukua muda lakini tutafanya juhudi kubwa kuanza kuweka vitu sawa, najua wakati mwing umepita lakini archives ziko, wazee wachache wapo, watoto wasikivu na simulizi wapo. Lakini natoa angalizo ambalo lina methali moja , its an early bird who enjoy the fruits, Historia ya ku repeat inakuwa na matatizo makubwa sana ni heri kusahihisha historia iliyopo kulioko kuanza kufanya review ya mambo ya miaka ya hamsini au arobaini, hatari zake na athari zake wakati mwingine huwa hazifutiki.

Itakuwa ni vyema sana ukaja na historia ya "kuweka vitu sawa". Wapenda historia tutafaidika.

Hebu kahakikishe hapo nilipokuwekea nyekundu naona kama pana walakin kiduchu.
 
Kama watoto wa kiislamu walivizwa madrasa ya elimu akhera pekee unatarajia muujiza gani wa kuwapeleka sekondari kwa elimu dunia? Baada ya kuliona hilo sasa watoto wa kiislamu wengi wanakwenda sekondari. Mzee said asaidie kuhiniza waislamu wawapeleke watoto shule za kidunia sanjari na zile za kiimani.

Manyerere Jackton.

Siku zote unapoandika jitahidi sana kuepuka ushabiki katika maandiko yako.

Uislam umehimiza saana ilmu na ndio maana waislam wanasoma.

Chukulia mfano mdogo Znz ambayo zaidi ya 99% yake ni waislam. Je unaweza ukaamini Znz ilikuwa na wasomi wengi kuliko Tanganyika wakti wa muungano wenu.

Je unaamini kuwa mpaka sasa Znz kuna graduates wengi sana kuliko Tanganyika?

Je uislam wa Tanganyika na ule wa Znz una tofauti gani?

Think out of the box na kujiuliza waislam wa Tgk walikosa nini mpaka wasiweze kupata ilmu hizi za skuli?

baada ya hapo jiulize kwanini waislam wa TGK walikosa fursa hiyo.

NB.
Kumbuka kuwa watoto wa kiislam wakti wa miaka 1950 mpaka 1963 katika Eastern Province yote ambayo ilichukua mikoa ya Dar , Pwani, Morogoro mtwara na Lindi kulikuwa na Sec moja tu ya Serikali kwa wanaume nayo ilikuwa ni MZUMBE tu ambayo waislam na wakristo walikuwa wanasoma hapo. Na kwa wanawake ilikuwa moja tu nayo ni Mang'amba Girls Sec (siku hizi inaitwa MTwara Girls Sec) ambayo nayo ilikuwa inachukua waislam na wakristo.

Lakin katika Province hiyo hiyo kulikuwa na skuli za wakristo waswahili pekee yao nazo ni Pugu, Minaki, Forodhani etc.

Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Ni kweli banian mbaya kiatu chake dawa.

Huyu ndio mwasisi wa TANU, baba wa taifa letu Mwl JK Nyerere aliyemwezesha ata Mohammed Said kwenda shule aloitaifisha akafute tongotongo. Bila hivyo Sydney, ata Boston angeisikia kwenye bomba.
 
Hajat faiza Fox, al maarufu punjab Sing, Shariif Ritz ,Al akly THE BIG SHOW, na Al Alma Mohamed Said. Ahadi ni deni, na huwa sitoi kauli bila kuwa na msingi wa kauli hiyo.
Nipo tayari, nimekusanya makabrasha, panya wameyaparaza kidogo lakini sehemu za MS zipo intact. Ninakuja tuongee. Kabla sijamwaga kinachoitwa takwimu za Mohamed, napenda niwape kionjo kuwa mambo yamekaa uzuri, halafu jioni nawapa data zake. Zipo ili nina udhuru kidogo, nakwenda kuchukua madafu sehemu, jua kali
Niwaonyeshe kuwa Ms kafanya makosa mengi zaidi si ya logic bali ya upotoshaji. Nashangaa mnaposema Hirji ambaye amekiri kukosea mau mau na maji maji ametenda dhambi kuu. Hii ya Mohamed saidi si kuwa ni dhambi tu…

  1. Nilimuuliza Mohamed Said mwaka 2011, kutokana na kauli yake kuwa EAMWS iliuawa na wakatoliki na Nyerere, je ana ushahidi wowote.

Mohamed Saidi akajibu hivi: Ukisoma ukursa huo hakuna mahali paliposema Wakatoliki walishirikiana na Nyerere kuua EAMWS. Hii maana yake ni kuwa Mohamed Said ametunga hadithi kama kawaida, kaiweka kwa lugha nzuri akijua anapotosha. Sikuwa alighafilikiwa kwa maneno, bali alisema maneno yasiyo na ukweli na ukurasa ni shahdi.

Nitaendelea maana niliwaonya kuwa mzee atakaa karibu na uani

Sikuweza kuupload ukurasa, ninao hapa

Prof Nguruvi3.

Ushahidi huu hapa kiduchu ni mrefu tukipata wasaa tutakuwa tunauweka kiduchu kiduchu nikipata nafasi saizi nipo mtaani nauza kahawa.

Waislamu iweze kufanya kazi yake vyema na bila upendeleo, ilikuwa lazima ile tume ya Waislamu iiombe serikali izuie propaganda iliyokuwa ikiendeshwa na wale waliokuwa wamejitenga na EAMWS, wakitumia jukwaa la radio ya serikali na magazeti ya TANU. Tume ya Waislamu ilikutana na Waziri wa Habari na Utangazaji, Hasnu Makame, ofisini kwake tarehe 20 Novemba, 1968, kujadili tatizo lile.-50Hii haukusaidia kitu. Propaganda dhidi ya uongozi wa EAMWS iliendelea kwa nguvu zote. Mashambulizi kutoka pande tatu yaliyopangwa vyema yalikuwa kazini. Benjamini Mkapa akitumia gazeti la-Nationalist-ataandika habari yoyote ya Adam Nasibu, Martin Kiama akitumia-Radio Tanzania-atatumia habari ile kama habari muhimu katika radio na habari hiyo itatangazwa kutwa nzima huku ofisi ya rais ikiwa kimya kwa fitna ile. Lile kundi la waliojitenga na umma wa Waislam Adam Nasibu akiwa kama msemaji wao mkuu wakawa wakati mwingine kwa mastaajabu makubwa wakawa wanakiuka hata misingi ya akida ya Tanzania, wakitoa madai ya ubaguzi a rangi, wakikazania lazima EAMWS ivunjwe. Adam Nasibu alinukuliwa na-The Nationalist-akisema kuwa:Waislam lazima wafahamishwe kwa nini East African Muslim Welfare Society iwe na katiba ambayo inaendana na mwelekeo wa nchi. Hatujui nafasi ya Aga Khan katika nchi yetu na ndiyo maana tunamkataa.-51Lakini cha kushangaza zaidi ilikuwa ule ukimya wa serikali kuhusu matakwa ya kundi la Adam Nasibu lililokuwa likidai kuwa Waislam wachanganye dini na siasa katika suala hili, wakati ilikuwa ikijulikana wazi kuwa kufanya hivyo ni mwiko mkubwa katika siasa za Tanzania. Haya yote mbali, lile la kushangaza hasa na kitu ambacho kilikuwa kigeni katika Tanzania ilikuwa yale madai ya kuingiza ubaguzi wa rangi katika siasa za Tanzania. Ilikuwa inastaajabisha kuona magazeti ya TANU yaliyokuwa na sifa ya kuheshima haki za binadamu yakichapisha na kuzipa uzito wa hali ya juu habari za kundi dogo la Waislam waliokuwa wanawalaumu Waislam wenzao wa Kiismailia kwa kutozaliwa weusi. Miaka kumi iliyopita watu wa Tanganyika, Waislam wenyewe waliokuwa ndiyo walioanzisha na kuijenga TANU, walipambana vikali dhidi ya siasa za kibaguzi za Zuberi Mtemvu na chama chake cha African National Congress. Mtemvu alishindwa na matokeo yake ikawa Tanganyika kuwa na serikali ya watu wote isiyobagua rangi na ikitawala raia wa rangi zote kwa misingi ya haki. Kwa ajili hii nchi ikawa haina msuguano kwa ajili ya ubaguzi wa rangi. Haya matokeo mapya yalikuwa hayaendani na misingi ya TANU.Ilipofikia hali hii, rais wa EAMWS, Tewa Said Tewa na makamo wake Bibi Titi Mohamed, waliamua kulipeleka suala hili kwa Julius Nyerere, Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa TANU, chama tawala. Watu hawa walikuwa wakichekeana jino pembe. Lakini ili tuelewa chanzo cha uadui huu inatulazimu turudi nyuma hadi mwaka wa 1963, katika siku za mwanzo za uhuru, katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya TANU-52-uliofanyika Ukumbi wa Karimjee.Kama ilivyokwishaelezwa hapo mwanzoni kuwa mwaka 1963 ulikuwa mwaka wa mambo mazito. Ilikuwa ndiyo mwaka ambao Kanisa Katoliki liliteua wagombea wake wapambane na wagombea wa TANU waliokuwa Waislam katika uchaguzi wa serikali za mitaa kule Kigoma na Bukoba. Ulikuwa ndiyo mwaka ambao Rais wa TANU, Nyerere alipombana na EAMWS kupitia Bilali Rehani Waikela. Mwaka wa 1963 ndiyo ulikuwa mwaka ambao Halmashauri Kuu ya TANU ilivunja Baraza la Wazee wa TANU lililokuwa limetawaliwa na Waislam kwa madai kuwa baraza hilo lilikuwa 'likichanganya dini na siasa'. Mwaka 1963 ulikuwa mwaka muhimu kwa Halmashauri Kuu ya TANU kwa sababu ilikuwa mwaka ambao ilifanya maamuzi nyeti ya kidini. Mwaka ule Bibi Titi na Nyerere walishambuliana kwa maneno ndani ya Halmashauri Kuu yA TANU kuhusu jambo jingine tena la dini lililokuwa likihusu EAMWS.Wanakamati wawili wa Halmashauri Kuu ya TANU, Selemani Kitundu na Rajab Diwani, waliiomba Halmashauri Kuu ya TANU imjadili Aga Khan na nafasi yake kama patroni wa EAMWS. Kitundu na Diwani walidai kuwa wana habari Aga Khan anataka kuitawala Tanganyika kupitia Waislam na EAMWS. Kwa ajili hii basi wakapendekeza EAMWS ifungiwe. Nyerere aliwaunga mkono Selemani Kitundu na Rajab Diwani. Bibi Titi akasimama kishujaa dhidi ya Diwani, Kitundu na Nyerere, akasema hakuna kati yao aliyekuwa na haki ya kuifungia jumuiya yoyote ya Waislam. Kama walikuwepo watu ndani ya EAMWS ambao walikuwa wanakwenda kinyume na sheria basi watu hao wapelekwe mahakamani na sheria ichukue mkondo wake. Bibi Titi akaendelea na kusema kuwa EAMWS imekuwepo kabla ya TANU na siku zote imekuwa ikitoa huduma kwa Uislam. Inasemekana hasira zilipanda na kukawa na kutoleana maneno kati ya Bibi Titi na Nyerere. Bibi Titi akamwambia Nyerere yeye hamuogopi yeyote ila Allah.Tuhuma zile dhidi ya Aga Khan na EAMWS hazikuweza kuthibitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU ikaliacha jambo lile kwa wakati ule. Lakini Nyerere alikuwa amefedheheka. Kuanzia hapo akajenga chuki dhidi ya Bibi Titi na kumweka Rajab Diwani na Selemani Kitundu karibu yake. Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1965 Bibi Titi na Tewa wakapoteza viti vyao kwa watu ambao walikuwa hata hawafahamiki - A.M. Mtanga na Ramadhani Dollah. Iliaminika kuwa Nyerere alikuwa anahusika na kuanguka kwa Bibi Titi na Tewa. Kuanzia hapo mambo yakawa dhahiri. Nyerere alikuwa amewatangazia vita wote wawili, Bibi Titi na Tewa. Nyerere alikuwa sasa ana imani kuwa wale maadui zake wawili walikuwa wamekwisha kisiasa. Lakini kilichokuwa kikimuudhi Nyerere zaidi ilikuwa taarifa ambazo alikuwa akizipata kuwa Tewa alikuwa akipewa mapokezi makubwa sana na Waislam katika ziara zake huko mikoani kama rais wa EAMWS.-53Sasa mwaka wa 1968, Bibi Titi na Tewa walipokwenda kumuona Nyerere kuhusu jambo lililokuwa linawahusu Waislam, Nyerere alikuwa amejitayarisha vyema. Kiwanuka ameueleza mkutano huu vizuri sana:Viongozi hawa wawili wa Waislam walimueleza Mwalimu masikitiko yao jinsi radio ya serikali na magazeti ya TANU yalivyokuwa yakiandika habari kuhusu matatizo yale ya Waislam. Walidai kuwa TANU ilikuwa ikichanganya dini na siasa. Waliokuwa wakimtahadharisha kuhusu jambo hilo hawakuwa wengine ila marafiki zake wa zamani na wa kutumainiwa, Tewa na Bibi Titi. Marafiki wa kutumainiwa kwa sababu ilikuwa Titi aliyemuunga mkono Nyerere katika siku za mwanzo za TANU, pale Suleiman Takadir - mmoja wa wazee wa TANU - aliposema kuwa TANU ilikuwa na Ukristo kama Mwalimu na Rupia, rais na makamo wake walivyokuwa Wakristo. Yeye mwenyewe akiwa Muislam hasa, aliipatia TANU ushindi kwa kuthibitisha kuwa Tanzania, Tanganyika kama ilivyokuwa ikijulikana wakati ule, ilikuwa mbele, na Uislam unafuata nyuma. Leo, alikuwa anazungumzia jambo ambalo yeye mwenyewe alilishinda katika miaka ya 1950. Jibu walilopata kutoka kwa Mwalimu lilikuwa la kusisimua. Mpashaji wangu habari anasema lilikuwa jibu la mkato. 'Mmeamua kunipiga vita, jiandaeni.'-54Mwalimu Nyerere alikuwa anawaambia Tewa Said Tewa na Bibi Titi Mohamed uso kwa macho wajiandae kwa kile kilichokuwa dhahiri: vita ya msalaba dhidi ya umoja wa Waislam. Sheikh Suleiman Takadir aliyaona haya na aliiomba TANU toka mwaka wa 1958 pawepo na uhakika kuwa Wakristo hawatakuja kuwafanyia uadui Waislam pale Waislam watakapokuwa sasa wanataka kugawana madaraka ya kuongoza nchi sawa na Wakristo baada ya uhuru. Tewa Said Tewa, muasisi wa TANU, waziri katika serikali ya kwanza ya uhuru, balozi katika Jamuhuri ya watu wa China na Rais wa baraza la Tanzania la EAMWS, pamoja na Bibi Titi, mwanamke aliowakusanya wanawake wote nyuma ya Mwalimu Nyerere na TANU, walikuwa wakisemwa na Nyerere kama vile watoto wadogo wa shule waliokuwa watukutu kwa sababu tu, walikuja kumfahamisha Rais kuhusu kukiukwa kwa maadili ambayo ilihitaji yeye ashughulikie mara moja na kutoa uamuzi.Ulipofika mwezi Oktoba, 'mgogoro' ukachukua mwelekeo mpya pale Makamo wa Rais wa Tanzania, Abeid Amani Karume, alipoishambulia EAMWS kuwa ni chombo cha unyonyaji.-55-Kutokea hapo Karume akawa anafanya mashambulizi na kutoa shutuma kwa EAMWS, wakati mwingine akijaribu kufananisha uhusiano wa EAMWS na Waislam katika mtazamo wa Ki-Marxist, akidai kuwa jumuiya ile kilikuwa 'chombo cha makabaila wakubwa na kilikuwa chini yao kikiwanyonya watu wa chini'.-56-Mgogoro ulipozidi kukua mashambulizi yakahama sasa kutoka EAMWS na kuhamia kwenye mafunzo ya msingi katika Qur'an Tukufu. Katika mkutano wa hadhara Zanzibar, Karume alitoa changamoto kwa Muislam yeyote ajitokeze bila ya woga kupinga kauli zake mbili kuwa 'Hakuna tofauti kati ya Uislam na Ukristo', na 'Kufunga siyo lazima'.Lakini juu ya mashambulizi dhidi ya uongozi wa Waislam kutoka serikalini, Nyerere alikuwa hana uwezo wa kumgusa Mufti Sheikh Hassan bin Amir.-57-Sheikh Hassan bin Amir alikuwa na nguvu sana kiasi cha kwamba si Nyerere au yeyote yule kuweza kumgusa kwa wakati ule. Sheikh Hassan alikuwa kwenye siasa kabla ya vijana waliokuwa katika TANU na nafasi yake katika umma wa Kiislam na uzalendo wake ulikuwa hauna shaka. Sheikh Hassan bin Amir aliingizwa TAA kwa mara ya kwanza mwaka 1950 na Abdulwahid Sykes akiwa mwanakamati katika Kamati ndogo ya siasa ya TAA. Kwa ajili hii basi, akawa mmoja wa wale waliotia sahihi ile memorandam iliyotayarishwa na TAA kwenda kwa Gavana wa Tanganyika, Edward Twining kuhusu mabadiliko ya katiba ya Tanganyika.----

Inaendelea....

Tunaomba na wewe utuwekee ukweli Wanaukumbi wafyonze ilm kutoka kwa Prof.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3 ikiwa African Assocition kilianzishwa na Bwana Abdulwahid Sykes mwaka 1929 kumbukumbu zangu zinaonyesha wakati huo alikuwa na miaka 5 tu je hili liliwezakana vipi ?.Kweli nimeamini Ustadhi Mohamed Said yupo daraja ya juu ya uongo.

Huu ni upotoshaji mwingine wa Mohamed Said. Kama kunaanyebisha kuwa si upotoshaji basi aje hapa tuongee naye. MS alishakubali kuwaalitetereka, sasa nasubiri dagaa Ndugu zangu, mumefungua pandora box,nitahangaika na MS machweo na mawio
 
Last edited by a moderator:
Alhabuby Baru baru

Ndiyo wasomi wetu hao wa MKOMBOZI BANK

Wala usipate nao shida

Wao wanachojua ni kukariri tuh na kushinda maofisni kuiba pesa za umma

HUSHANGAI NCHI HII WANASEMA WASOMI NI WAO TUH??

NA SISI TUNASEMA HAYA BASI NI KWELI WASOMI NI NYINYI,,,ENHEE MTUAMBIE SASA KULIKONI NDAN YA MIAKA 50 YA UHURU CHINI YA WASOMI KAMA NYINYI TAIFA MBONA BADO MASKIIN??

MMESOMEA NIN HASA??WIZI TUH KAMA ULE WA MKOMBOZ BANK NA KINA ASKOFU KILAINI AU??

WANASHINDWA KUELEWA KWAMBA AMRI YA KWANZA KABISA KUPEWA MTUME WETU KIPENZ MUHAMMAD NA MALAIKA JIBRIL NI KWAMBA '''SOMA KWA JINA LA MOLA WAKO ALIEUMBA HUU ULIMWENGU''

SO KATIKA UISLAM ELIMU NI SUALA LA LAZIMA PASI NA KUCHAGUA KUWA NI ELIMU YA DINI AU KIROHO NA ELIMU YA DUNIA HII

YAN HUYO MANYENYERE JACKTON NASKIA NI MWANDISHI WA HABARI WA KUETEGEMEWA HUYO

TEH TEH TEH

SASA JIULIZE KUNA MTU HAPO?
Manyerere Jackton.

Siku zote unapoandika jitahidi sana kuepuka ushabiki katika maandiko yako.

Uislam umehimiza saana ilmu na ndio maana waislam wanasoma.

Chukulia mfano mdogo Znz ambayo zaidi ya 99% yake ni waislam. Je unaweza ukaamini Znz ilikuwa na wasomi wengi kuliko Tanganyika wakti wa muungano wenu.

Je unaamini kuwa mpaka sasa Znz kuna graduates wengi sana kuliko Tanganyika?

Je uislam wa Tanganyika na ule wa Znz una tofauti gani?

Think out of the box na kujiuliza waislam wa Tgk walikosa nini mpaka wasiweze kupata ilmu hizi za skuli?

baada ya hapo jiulize kwanini waislam wa TGK walikosa fursa hiyo.

NB.
Kumbuka kuwa watoto wa kiislam wakti wa miaka 1950 mpaka 1963 katika Eastern Province yote ambayo ilichukua mikoa ya Dar , Pwani, Morogoro mtwara na Lindi kulikuwa na Sec moja tu ya Serikali kwa wanaume nayo ilikuwa ni MZUMBE tu ambayo waislam na wakristo walikuwa wanasoma hapo. Na kwa wanawake ilikuwa moja tu nayo ni Mang'amba Girls Sec (siku hizi inaitwa MTwara Girls Sec) ambayo nayo ilikuwa inachukua waislam na wakristo.

Lakin katika Province hiyo hiyo kulikuwa na skuli za wakristo waswahili pekee yao nazo ni Pugu, Minaki, Forodhani etc.

Ukumbi huu unamuhitaji Profesa aje azungumze ili tumskie

Haitoshi tuh kwake kuomba radhi bali inapaswa aje afundishwe historia na Mtaaalam Mohamed Said

Hawa kasuku waliopo hivi sasa tushawazoea hawana jipya ni wale wale vihiyo wa siku zote.

Profesa au umetupa Taulo Ulingoni??

ATya8jW1FY16AAAAAElFTkSuQmCC
 
Last edited by a moderator:
Ukumbi huu unamuhitaji Profesa aje azungumze ili tumskie

Haitoshi tuh kwake kuomba radhi bali inapaswa aje afundishwe historia na Mtaaalam Mohamed Said

Hawa kasuku waliopo hivi sasa tushawazoea hawana jipya ni wale wale vihiyo wa siku zote.

Profesa au umetupa Taulo Ulingoni??

ATya8jW1FY16AAAAAElFTkSuQmCC
 
Last edited by a moderator:
Alhabuby Baru baru

Ndiyo wasomi wetu hao wa MKOMBOZI BANK

Wala usipate nao shida

Wao wanachojua ni kukariri tuh na kushinda maofisni kuiba pesa za umma

HUSHANGAI NCHI HII WANASEMA WASOMI NI WAO TUH??

NA SISI TUNASEMA HAYA BASI NI KWELI WASOMI NI NYINYI,,,ENHEE MTUAMBIE SASA KULIKONI NDAN YA MIAKA 50 YA UHURU CHINI YA WASOMI KAMA NYINYI TAIFA MBONA BADO MASKIIN??

MMESOMEA NIN HASA??WIZI TUH KAMA ULE WA MKOMBOZ BANK NA KINA ASKOFU KILAINI AU??

WANASHINDWA KUELEWA KWAMBA AMRI YA KWANZA KABISA KUPEWA MTUME WETU KIPENZ MUHAMMAD NA MALAIKA JIBRIL NI KWAMBA '''SOMA KWA JINA LA MOLA WAKO ALIEUMBA HUU ULIMWENGU''

SO KATIKA UISLAM ELIMU NI SUALA LA LAZIMA PASI NA KUCHAGUA KUWA NI ELIMU YA DINI AU KIROHO NA ELIMU YA DUNIA HII

YAN HUYO MANYENYERE JACKTON NASKIA NI MWANDISHI WA HABARI WA KUETEGEMEWA HUYO

TEH TEH TEH

SASA JIULIZE KUNA MTU HAPO?

Kama ni mwaandishi wa habari BASI NI MAJANGA HAYO kwa jamii.

Mtu wa namna hii mwenye dhima ya KUIILIMISHA JAMII, na KUIHABARISHA jamii mambo ya kweli bila CHUKI wala Ushabiki anaandika bila kufanya utafiti japo kiduchu.

Inna Lillahi wainna ilaihi rajihunna.

Back
Top Bottom