Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Halfu nawapa kifungua kinywa cha takwimu mahususi zakitaalam zilizofanywa na Mohamed Said, halafu tutaongee nikirudi kutoka shamba.

By Mohamed Said Salum

Table 1

Selection of Std.VII Pupils to Form I in Dar es Salaam Region 1978 -1981
Year Total Selected Muslims Percentage of
Muslims Selected
1978 956 216 23
1979 903 194 22
1980 1071 247 23

Source: Dar es Salaam City Council, Department of Education.

NB: In 1967 census Muslims in Dar es Salaam Region were 67%, therefore thenumber of Muslim students in Dar es Salaam Primary Schools is greater than thatof Christians. This should have reflected in the selection.

Hiyo "source" ina maanisha nini?
 
Mzee Said, mara zote unapojadili mambo jaribu kuwa mtulivu. Jitahidi kuongozwa na ukweli badala ya hisia na matamanio yako. Kuna waislamu na wakristo wamejipatia heshima kubwa sana kwa kusimamia ukweli bila jazba au mihemko ya kiimani. Ukiweka kando chuki za kidini, unayo maarifa mazuri mengi.

Soma tena ulichojibiwa, wewe unaleta utumbo ambao haupo kabisa:

quote_icon.png
By Mohamed Said
Manyerere,
Kuna mengi ningeweza kusema...
Prof. Hirji kaandika baada ya mimi kusema.

Alikuwa wapi siku zote?
Mimi huna haja ya kunihimiza.

Siku zote nimekuwapo.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Ungana na Yericko Nyerere na Mzee Mwanakijiji na Nguruvi3 na Mag3 na wengineo waliosema kama usemavyo wewe na wakaahidi watajumuika kuja na ukweli kuupinga na kuugaragaza huu "uongo" wa Mohamed Said.

Leo takriban miaka mitatu, kimyaaaaaaa. Wengine hata kupitia minakasha ya Mohamed Said wanaogopa kwani wanajuwa wataulizwa, vipiiiii?

Nakuuliza swali moja, umewahi kumsikia Mshume Kiyate?
ninachoweza kusema ni hahahaa , mungu akurehemu, kukufurahisha nasema sijamsikia
 
mimi mohammed ni kaka yangu sana kwa umri, elimu na ufikiri, lakini bado mimi hoja yangu iko pale pale, huwezi kuringa na maisha ya mfumo kristo na upande wa pili unaulanni mfumo huo huo nyumbani, mimi naona huu ni unafiki wa fikira unaokuja na dini, nasema dini siyo kisomo, kama picha hii ingekuwa saudia au yemen, au misri, kweli ningekubali kuwa huo mfumo kristo unamatatizo, mimi kwa kweli nashindwa, na ninashindwa kwa sababu mara zote wenzangu hawaja niconvince kuwa utawala wa wakristo na wazungu ni mbaya kiivyo, wao hawakai arabuni au nchi zenye uislamu wa kutukuta, na wakaringa kuwa oneni uislamu huo, imagine utajiri waote saudia, hata wakimbizi wa kiisilamu hawaendi. leo vita iko somalia, sudan nchi ya kiisalamu haina vita , lakini wasomali waote wanakimbilia kenya, tanzania , southa africa na kutafuta njia ya kwenda sweden , norway nk, siyo njia ya kwenda saudia. same na vita vya syria, wote italy, uingereza, ujerumani, saudia ata, hawataki, lakini kucha wakristo na wazungu wabaya, makafiri nk. mimi nilikuwa na kaka yangu marehemu sasa mungu amrehemu, yeye alikuwa engineer wa kutukuta, na akakaa sweden miaka ya 70, na akaajiriwa na kampuni ya pripps, hii kampuni ndiyo ilikuwa imepewa tenda ya kutengeneza mecca, mind you wa kristo ndiyo walifanya kazi hiyo , majengo , tiling, ablution facilities , air conditioning , sanitation nk, lakini kutwa hawa makafiri , hawa makafiri.ahsanteni, picha mumeiona kaka yangu yuko boston, kamkumbuka sana dada yake na anamlaani kwa nguvu zote mwanamke wa kizungu, ambaye baba na babu zake wametngeneza mazingara ya kumhifadhi, shukurani ya punda , mateke. hongera kaka, keep it up

You say Prof. Mohd Said is your brother and that you respect him and yet you are mocking him on the Boston thing! The analogy of this is the accusation you say about muslimans to Prips on building Mecca and the cry "makafiri makafiri makafiri". Now:

1) If prips realy built Mecca it was not on favour it was on contract (and you just proved that musliman don't choose trade partners even if they were pagans).

2) It could be Prips that built Mecca but is a lie that it was the Christians that entered Mecca to build it. Because before reaching Mecca city their is a highway diversion called "The Christian Bypass" that is used for non muslims to travel to places beyond Mecca. Christians and non-musliman personell are.not allowed to enter Mecca even if they were engineers, architects or labourers. This is a must part of the contractual agreements for Mecca. It is a must that all workers on site must be Muslimans.

I am giving you a challenge to 1 million Shillings if you can bring hard evidenced rebutal of what I just said.
 
Then tell

Vivid eveidences? Facts or hypothesis from your so called learned Karim Bhai?

Vivid = intense, powerful

Prof. M.Said has given the vivid proof non hypothetical research.

Una point nzuri sana kwenye michango yako ila kama unaweza kusoma kiswahili nina imani na kuandika unajuwa pia.

Jifunze utamaduni wa kuandika kwa kiswahili pia watanufaika wengi na michango yako. Ni ushauri tu utaki unaacha.
 
Maneno hayo unayema wewe,

WE NANI KAKUAMBIA MOHAMED SAID AU HATA WAISLAM WANASEMA MAKAFIRI NI WATU WABAYA??

NANI KAKUAMBIA??AFTER ALL KAFIRI SIYO TUSI NI NENO TUH LA KAWAIDA LINALOMAANISHA MTU ASIEAMINI KWAMBA ALLAH NI MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE HUYO NI KAFIRI..WALA SIYO TUSI,

MIMI BINAFSI NINA RAFIKI ZANGU WAKRISTO NA WA IMAN ZINGINE AMBAO SIYO WAISLAM NA TUNAISH NAO VIZUR SANA,,

KWA UPENDO NA AMANI

WAPO BAADHI YAO WABAYA NA WAPO BAADHI YAO WAZURI MNOO KITABIA TENA HATA KUSHINDA BAADHI YA WANAOJINASIBU NA UISLAM, NA WAISLAM

USITUWEKEE MANENO YAKO MDOMONI MKUU

HATUPO HAPA KUHUBIRI CHUKI AU KUBEZA WATU WA IMAN ZINGINE,,KAMA UTAKUWA UNAWAZA HIVYO BASI UTAKUWA UMEPOTEA SANA KIFIKRA

SISI NI WATANZANIA NA HAPA TUNADISCUSS KUHUSU HISTORIA YA NCHI HII,,HAKUNA LA ZAIDI

KAMA UNAWAZA SISI TUNADISCUSS CHUKI UMEPOTEA SANA
nakushukuru sana kuweka sawa hivyo, lakini neno kafiri kwa muelezo wako linategemea na mahali msimamo wa mazungumzo, kwa hakika unaweza kumuita mtu mjinga akacheka, na unaweza kumuita mtu mjinga , akaudhika kweli, na hata sasa hivi naogopa kukuita mjinga, kwani lazima utahisi ni kwa sababu ya mada hii, nikirudi kwenye neno kaffir, sijalisikia neno hili mkilitumia kwenye sherehe wala mahali pa salaam, ni kwenye kejeli na malumbano, kwa hiyo nilichosema ni ndicho ninachoamini. kweli sis ni watanzania na hata mimi, kwa mungu wangu marafiki zangu zaidi ya robo tatu ni waisilamu, watoto wote wa marehemu baba mkubwa bombambili songea ni waisilamu wa kutukuta. Utanzania wetu uko pale pale mada inaendelea- karibu
 
Mzee Said, mara zote unapojadili mambo jaribu kuwa mtulivu. Jitahidi kuongozwa na ukweli badala ya hisia na matamanio yako. Kuna waislamu na wakristo wamejipatia heshima kubwa sana kwa kusimamia ukweli bila jazba au mihemko ya kiimani. Ukiweka kando chuki za kidini, unayo maarifa mazuri mengi.

Hivi we nawe unajiita ni msomi??

Si naskia ni mwandishi wa habari wewe??unaandikaga nin hasa??

HAYA,

HEBU NIONESHE ENEO MOJA AMBALO MSOMI WETU MWANAHISTORIA MOHAMED SAID ALIPOWEKA CHUKI AU UDINI

JAPO SEHEMU MOJA

Na Waislam waliojipatia heshima kubwa kutokana na kusema ukweli huyu ni Mohamed Said ni miongoni mwao

Au wewe ulikuwa unawazungumzia waislam gani??

Nyinyi ndiyo vinara wa kuandika habari za uozo uozo katka tasnia yenu hiyo

Hovyo kbs.
 
Ritz naomba mpe huyu sadoliki kipande cha Mshume Kiyate siku nyingine akija asinifurahishe kwa kusema "sijamsikia".
nimekaa kimya kwa heshima ya huyu mzee, kwa heshima yangu ninamuita rafiki kubwa wa nyerere, nadhani mimi kama nina miaka 5 nimemuona kwa john rupia. kama wewe ulitaka mimi nisema alikuwa muuza samaki ferry mimi sikusema
 
Sibonike
Hujafikia makamu ya kufanya mnakasha na mimi. Toka mwanzo nilijua hutofika mbali.

Katika yote niliyokuwekea hapo mchango wako ndiyo huo? Basi nimekuwia radhi.

Ilitakiwa ujipime kwanza kabla.

Hiyo paper, "Tanzania a Country Without Heroes," niliitoa Nairobi
kwenye kongamano la kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa nchi za
Afrika ya Mashariki.

Watayarishaji walikuwa IFRA French Institute for Research in Africa /BIEA British Institute in East Africa.

Hawa jamaa ndiyo walionialika na kutoka Tanzania nilikuwa peke yangu.

Hili peke yake ingekujulisha moto wa maji unayotaka kuoga.

Pili paper yangu aliyepiga "critique," ni profesa. Sasa wewe hapa unaingiaje?

Hata ujanja huo huna?

DSC00413-001.JPG

Sibonike,
Semina niliyotoa paper, "Tanzania: A Nation Without Heroes," ilihudhuriwa na hao hapo juu.

Je wewe unaweza kusogezewa kiti hapo ukakaa?

Unasema kuna shule zilitaifishwa ili Waislam wasome...
Msikilize Mzee Kitwana Kondo aliyozungumza Bungeni mwaka 1999:

"Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21. Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini."

Nisisogeze kiti kwa nini? Unaujua undani wangu? Hivyo ni vitu vya kawaida kwangu. Kila mtu na taaluma yake na tuheshimiane. Wewe kwenye taaluma yako ya tu historia twa Kariakoo umewahi kufanya review ya paper ngapi?

Narudia, tatizo lako kubwa ni kuangalia kila kitu kwenye kurunzi ya dini na upande mmoja. Unadhani hao wengine kwenye picha walikuchulia vipi wakati unamwaga sumu zako za udini?
 
Maneno hayo unayema wewe,

WE NANI KAKUAMBIA MOHAMED SAID AU HATA WAISLAM WANASEMA MAKAFIRI NI WATU WABAYA??

NANI KAKUAMBIA??AFTER ALL KAFIRI SIYO TUSI NI NENO TUH LA KAWAIDA LINALOMAANISHA MTU ASIEAMINI KWAMBA ALLAH NI MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE HUYO NI KAFIRI..WALA SIYO TUSI,

MIMI BINAFSI NINA RAFIKI ZANGU WAKRISTO NA WA IMAN ZINGINE AMBAO SIYO WAISLAM NA TUNAISH NAO VIZUR SANA,,

KWA UPENDO NA AMANI

WAPO BAADHI YAO WABAYA NA WAPO BAADHI YAO WAZURI MNOO KITABIA TENA HATA KUSHINDA BAADHI YA WANAOJINASIBU NA UISLAM, NA WAISLAM

USITUWEKEE MANENO YAKO MDOMONI MKUU

HATUPO HAPA KUHUBIRI CHUKI AU KUBEZA WATU WA IMAN ZINGINE,,KAMA UTAKUWA UNAWAZA HIVYO BASI UTAKUWA UMEPOTEA SANA KIFIKRA

SISI NI WATANZANIA NA HAPA TUNADISCUSS KUHUSU HISTORIA YA NCHI HII,,HAKUNA LA ZAIDI

KAMA UNAWAZA SISI TUNADISCUSS CHUKI UMEPOTEA SANA

The nicest namesake they could accept is Mpagani because it is a derivative of English words "a Pagan" it is "mild" and Kafiri is Arabic and too harsh and fiery to them.😀
 
Jibu swaliiii,,,kisha PIGA MAGOTI..!!:heh:

Longo longo za nin sasa Mkuu??

Umeulizwa kwenye hilo jopo la hao wasomi wewe unaweza ruhusiwa hata kwenda kukaa hapo na kudumia japo chai na kahawa??

Hata uwaitor hapo huambulii,

Kuangalia kitu kwa udini kivp sasa

Ndiyo angepewa mualiko na hao wasomi waliobobea kias hicho??

Kalubandika naweee....!!aaah wacha mambo yako wewe.
Nisisogeze kiti kwa nini? Unaujua undani wangu? Hivyo ni vitu vya kawaida kwangu. Kila mtu na taaluma yake na tuheshimiane. Wewe kwenye taaluma yako ya tu historia twa Kariakoo umewahi kufanya review ya paper ngapi?

Narudia, tatizo lako kubwa ni kuangalia kila kitu kwenye kurunzi ya dini na upande mmoja. Unadhani hao wengine kwenye picha walikuchulia vipi wakati unamwaga sumu zako za udini?
 
Jibu swaliiii,,,kisha PIGA MAGOTI..!!:heh:

Longo longo za nin sasa Mkuu??

Umeulizwa kwenye hilo jopo la hao wasomi wewe unaweza ruhusiwa hata kwenda kukaa hapo na kudumia japo chai na kahawa??

Hata uwaitor hapo huambulii,

Kuangalia kitu kwa udini kivp sasa

Ndiyo angepewa mualiko na hao wasomi waliobobea kias hicho??

Kalubandika naweee....!!aaah wacha mambo yako wewe.

Siwezi kuambulia uwaitor, hata kama ungekuwa uwaiter. Hapo upo sahihi kabisa. Labda kama una lingine.
 
Mkuu Nguruvi3 ikiwa African Assocition kilianzishwa na Bwana Abdulwahid Sykes mwaka 1929 kumbukumbu zangu zinaonyesha wakati huo alikuwa na miaka 5 tu je hili liliwezakana vipi ?.Kweli nimeamini Ustadhi Mohamed Said yupo daraja ya juu ya uongo.

Jamani ndugu zangu,
Mimi huyu Ngongo nilishamuwia radhi kabisa.

Leo kanijia na habari ati mimi nimesema ati Abdul Sykes alianzisha
TAA 1929.

Afadhali angeishia hapo akanyamaza.
Kasherehesha.

Tena ananifedhehesha mbele yenu kwa kuniita mimi "muongo daraja
ya juu na mpotoshaji."

Sasa ndugu zangu mimi naomba msaada kwenu mnikinge na shari ya
huyu mtu.

Alete ushahidi kuwa mimi nimesema Abdul Sykes ndiye aliyeasisi
TAA 1929.

Faiza
ndiyo maana anauliza nyinyi mmesoma kitu gani?
Ujinga?

Hivi huyu ndugu yangu hajasoma kitabu changu?
Au hizi nyuzi zinazomzungumzia Abdul na baba yake Kleist hazisomi?

Hebu mjibuni huyu mtu nyie ndugu zangu.
Mimi nimekaukwa na mate kinywani.

Siamini.
Huyu ndiye anataka kufanya mnakasha na mimi...

Lakini kanikuna na nimecheka hadi machozi yamenitoka pale katika
hiki kichekesho kamtia ushahidini Mkuu Nguruvi3.

Hapo hapo ikanijia zile senema za Chale Mnene na Chale Mbwambwa
(Stan Laurey na Oliver Hardy) tukiangalia Mnazi Mmoja tulipokuwa watoto.

laurel-and-hardy__131203142224.jpg

Labda Mkuu Nguruvi3 atanisaidia kumjibu Mkuu Ngongo.

Goodness me.
There is never a dull moment in JF.

Long Live JF.
 
nimekaa kimya kwa heshima ya huyu mzee, kwa heshima yangu ninamuita rafiki kubwa wa nyerere, nadhani mimi kama nina miaka 5 nimemuona kwa john rupia. kama wewe ulitaka mimi nisema alikuwa muuza samaki ferry mimi sikusema

Hata ulichokiandika sijakuelewa, kweli kabisa, hebu rudia kuandika ueleweke, au jamani waliomuelewa huyu kijana wanifahamishe. Honest.
 
Mkuu Nguruvi3 ikiwa African Assocition kilianzishwa na Bwana Abdulwahid Sykes mwaka 1929 kumbukumbu zangu zinaonyesha wakati huo alikuwa na miaka 5 tu je hili liliwezakana vipi ?.Kweli nimeamini Ustadhi Mohamed Said yupo daraja ya juu ya uongo.

Haya Ngongo na Nguruvi3 tuwekeeni ushahidi kwa hilo.

cc Chale ndute na Chale Mbwambwambwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom