SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Lusungo.
Msome Nyerere mwenyewe hapa chini.
Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Nyerere mwenyewe kakiri kuwa jina la TANU lilikuwpo siku nyingi.
Jiulize fikra za kuanzisha chama kazileta Nyerere? Hapa ndiyo watu wanapinga kuwa hawa wengine mbona historia inawatupa mbali ndiyo maana Mohamed Said kawarudisha kwenye kitabu chake.
Sasa historia kapotosha nani kama Nyerere anasema jina la TANU lilipendekezwa na kina Sykes ? Hoja ya Mohamed Said ya upotoshaji inaegemea kitu gani ? Kwa mantiki hii hizi simulizi za Mohamed Said zinavuta hisia lakini kimsingi hazina maana yoyote.
Last edited by a moderator: