Daah uko mbal, panafaa for holidays, ukienda ukrud unajua kesho ntapumzka tu
Barabara ndio inachosha sana,ni rough road mwanzo mwisho,na mchanga mwingi sana njiani. Ila ni kuzuri kama una chapaa.
Daah uko mbal, panafaa for holidays, ukienda ukrud unajua kesho ntapumzka tu
Sehem gan?
Kama unataka to have fun, all alone with your wife, njoo beach iliyo karibu na kijijini kwetu, inaitwa Boza Beach, hakuna hoteli hapo, hakuna watu kupita pita hovyo, hakuna majumba karibu, its safe, quite and secluded for now. Carry your picnic gear. Uta enjoy sana.
Its around 65KM from Dar.
Ni moja katika beach nzuri sana Tanzania.
Haswaaa ndugu. Umeeleza ukweli kabisa. Niliwahi ibiwa camera, simu na hela zangu pale Chadibwa wakati nimechepuka ili nifanye snapshot mara vibaka wakatuvamia na mavisu wakatupukutisha kila kitu asee siwez kusahau siku ile.Mikadi, chadibwa na beach zingine za watu wa kawaida za Kigamboni kuna VIBAKA WA KUTUPA. Yaani watu wanaotumia visu na screw drivers kupora! Endapo utaenda moja ya beach za watu wa kawaida za Kigamboni, hakikisha hautoki lile eneo kuu (eneo lenye watu wengi) kwenda mbali kidogo. Si wajua kuna yale matembezi ya mahaba wewe na wako kwenda kwa mguu mbali kidogo kama mita 100, 150 au 200 kutoka eneo kuu. Kuna vibaka nao wanazuga wamekuja beach. Ila kama utakaa eneo kuu, hizi beach za watu wa kawaida za Kigamboni utaji-enjoy poa tu.
Duh!!!!!!mie pia ni pazuri
nimewah kulala kwenye zile tents...
Daah aisee hata mimi boni hia hia lakini sijaipata iko wapi. Nimegugo pia hola. Hebu tujuze basi iko pande zipi?Ewe punguani, Pangani ni 65KM kutoka Dar.? Soma vizuri kabla hujakurupuka.
Hii mijitu mingine sijui ikoje! halafu atakwambia anaishi Dar., hata Boza Beach, haijui, huko wakuja hawapajui. Kumbuka hilo.
Duh!!!!!!
Haswaaa ndugu. Umeeleza ukweli kabisa. Niliwahi ibiwa camera, simu na hela zangu pale Chadibwa wakati nimechepuka ili nifanye snapshot mara vibaka wakatuvamia na mavisu wakatupukutisha kila kitu asee siwez kusahau siku ile.
mambo ya kurudi na kichupi mkononi na tz11 hapana lol
lini mnaenda tena?
Tutakufahamisha..