Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Kama unataka to have fun, all alone with your wife, njoo beach iliyo karibu na kijijini kwetu, inaitwa Boza Beach, hakuna hoteli hapo, hakuna watu kupita pita hovyo, hakuna majumba karibu, its safe, quite and secluded for now. Carry your picnic gear. Uta enjoy sana.

Its around 65KM from Dar.

Ni moja katika beach nzuri sana Tanzania.

Kimbiji?
 
Mpeleke kidagaa beach ama puna beach..camping gears muhimu..
 
1.sunrise beach resort
2.kipepeo
3.baracuda beach
4.mikadi beach
5.ng'0nda
6.chadibwa
7.south beach
8.amani beach gomvu
9.The hunters
10.kijiji beach

The choice is yours.
 
navy beach kwa wajeda..ng'onda beach.mikadi beach na chadibwa zote zipo kigamboninoooo...kama kipato chako kinaruhusu nenda sun rise.kijiji beach..kipepeo..n.k....

Mikadi, chadibwa na beach zingine za watu wa kawaida za Kigamboni kuna VIBAKA WA KUTUPA. Yaani watu wanaotumia visu na screw drivers kupora! Endapo utaenda moja ya beach za watu wa kawaida za Kigamboni, hakikisha hautoki lile eneo kuu (eneo lenye watu wengi) kwenda mbali kidogo. Si wajua kuna yale matembezi ya mahaba wewe na wako kwenda kwa mguu mbali kidogo kama mita 100, 150 au 200 kutoka eneo kuu. Kuna vibaka nao wanazuga wamekuja beach. Ila kama utakaa eneo kuu, hizi beach za watu wa kawaida za Kigamboni utaji-enjoy poa tu.
 
Back
Top Bottom